Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

Unaumia eeee!
Na bado!!1
 
Ila hizo zote umetaja bado top wao ni rais tu ndo mwenye maamuzi ya mwisho
 
Ilibaki kidogo asababishe kifo cha kiongozi mmoja kwa kumlazimisha afanye press kudanganya haumwi hili hali kovidi ilikua imemkaba akaanza kukohoa hadi kamera zikazimwa upesi, behind the scene akarudishwa kwenye mtungi wa oxygen kumnusuru.
Daa, ule ulikuwa ni uchizi wa hali ya juu, woga wa namna hii ni kero
 
Lakini yote hayo yamepita sasa Tanzania ipo katika mikono salama ya Rais Samia Suluhu
 

Acha watu waongee. Mwenye kusifia na kumponda.
 
Ukweli ni kuwa magufuli ni shujaaa hawez kusaulika alikuwa mzalendo wa kweli acha apumzike na circke nzima taifa halitakuja kumsahau

Alikuwa juha tu. Mtu muoga anaiogopa CHADEMA mpaka kuharibu uchaguzi. Akifikia hatua ya kuzima mtandao wa internet siku ya kupinga kura ili aibe vizuri. Zanzibar yenye watu milioni moja ilipiga kura siku mbili ili tu Maalim asiwe Rais. Yule jamaa alipata kinachomstahili.

Alivyo juha akaharibu uchaguzi akidhani ataishi milele kumbe hakuna kitu.
 
Jpm ana bahati mbaya Sana. Nyerere anasifiwa kila Kona ya nchi na hakuna anayemsema vibaya kwa lolote lakini jpm anaandamwa kila kitu. Hilo ni funzo kubwa sana kwamba tuwsiwe Kama yeye kwa kujitakia sifa at the expense of other's sufferings.

Halafu alikosea Sana kujilinganisha na Nyerere. Akawa anauliza kwanini hapakujengwa ukuta mererani mwaka 1961. Bila kujua Tanzanite imegundulika mwaka 1980s. Kisa tu aonekane Bora kuliko Nyerere.
 
Nimesoma nimebaki kusikitika natamani niandika chanzo cha kifo chake lakini ngoja tuache .......inshort Eng mfugale amekufa akipambania nchi yake Tz
 

Kama yeye alikuwa anaona halali kuua basi aliyemuua naye alikuwa halali.
 
Ndio na 2025 hata sisi machadema tutaungana na ccm kumpitisha kwa kishindo Samia ili kumkomoa marehemu jiwe!

Lisu tupa kule yani.

Punguza stress kijana. Magufuli kafa kamuacha Lissu akiwa hai huo ni ushindi tosha.
 
Nimesoma nimebaki kusikitika natamani niandika chanzo cha kifo chake lakini ngoja tuache .......inshort Eng mfugale amekufa akipambania nchi yake Tz
Hakuna aliyemsema vibaya Mfugale vyovyote vile alivyokufa aliponzwa na John
 

Mtu alisema hashairiki, ungemwambia Nini?. Nimeamini kiburi ni anguko kubwa. Alijiona yeye ndio mmiliki wa Tanzania. Kaondoka kaiacha Tanzania inaendelea. Ibilisi mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…