Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

Kuna kitu kinaitwa critical thinking, na kwenye hicho kitu kuna kitu kimoja

1. Reasoning
 
Uchaguzi Mkuu tutasimamisha mgombea wetu wa Wapumbavu, wewe presha ya nini?
Jamaa wa hovyo sana Mkuu, tunachotaka ni balance, CCM walete hoja zao mezani na wapinzani walete hoja zao mezani, wananchi waamue wanataka nini, bila upendeleo wowote, hicho ndicho cha kupigania, mengine ni makelele tu ya kusaka chakula
 
Lakini yote hayo yamepita sasa Tanzania ipo katika mikono salama ya Rais Samia Suluhu
Haya hua hayapiti. Miaka na miaka, kizazi na kizazi. Kisasi kikipoa ndio hua kitamu zaidi kuseviwa. Kwasasa tunachoweza kusema ni viongozi wetu waliokufa kwa hila za binadamu wapumzike kwa amani.
 
Alipoitwa kuhojiwa hizi Hela ulitoa wapi, akafa kwa pressure ,hata daraja la Busisi yeye ndiye alichora, lazima Kuna upigaji, Standard Gauge, Umeme wa Rufiji, yaani tanroad ilifanya Kila kitu
 
Alipoitwa kuhojiwa hizi Hela ulitoa wapi, akafa kwa pressure ,hata daraja la Busisi yeye ndiye alichora, lazima Kuna upigaji, Standard Gauge, Umeme wa Rufiji, yaani tanroad ilifanya Kila kitu
Unadhani Magufuli alikuwa hajui kama jamaa anapiga,alijua ila akamlinda,matokeo ya kulindwa ndio hayo akawa amemponza mwenzake,
Magu aligeuza Tanroads kampuni yake na Mfugale akawa kama mfanyakazi wake binafsi
 
Haya wewe mtu WA MAANA NA MJANJA unakipi ambacho umelisaidia hili taifa la watunga maneno
Nimelipa Kodi ya PAYE wakati nikilitumikia Taifa. Hiyo inatosha kunifanya raia mwema
 
Kabisa!

Aliganga umeme,
Maji
Bei za bidhaa

Alikuwa mganga mzuri sana

Maji yalikuwepo kwa neema za Mungu, maana hata yeye ukame ulipotokea bado maji hayakuwepo. Mgao wa umeme ulianza rasmi mwaka wake wa mwisho, ufahamu hilo kwani kumbukumbu bado tunazo.
 
Maji yalikuwepo kwa neema za Mungu, maana hata yeye ukame ulipotokea bado maji hayakuwepo. Mgao wa umeme ulianza rasmi mwaka wake wa mwisho, ufahamu hilo kwani kumbukumbu bado tunazo.
Uongo kama hata Mbowe akiusoma atacheka sana
 
Ushawahi ona ile picha bwana pompeo alipoona kumpa pole mke wa lupaso?, Yule maza alivyokua anamkong'otea pimpeo kwa jicho kali? 😒
 
Umegicha nini kusema kampuni ya Pompeo ndio iliojemga uwanja ule inaitwa mayanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…