Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani.
Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani.
Bunge na units zilizopo chini yake walituambia tuNajenga kwa fedha za ndani
Miezi Tisa baadaye hakuna yeyote anayetuambia tunatumia fedha za ndani, je Nani kabadili matumizi ya fedha za ndani Kwenye ujenzi? Amebadili kazipeleka wapi hizo fedha? Alipata wapi ridhaa yakubadili matumizi ya fedha za ndani? Upi msimamo wa CCM kuhusu Kuanza kufanya miradi kwa fedha za nje?