Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

Walikuja na tafsiri kuwa ukikopa maana yake ni fedha za ndani!
Fedha za misaada ndio fedha nje😅😅😅!
Daaah,Lumumba Mungu anawaona!
 
Jiwe alikua Ntu ya fiksi sana japo alichokopa kwa asilimia 40 tumeona matumizi yake..Fly over,Madaraja,Barabara,Vituo vikubwa vya mabasi,Mahospital na zahanati nk
 
Kama alifikia hatua ya kukuambia corona hakuna,na akaenda kuyapima had mapapai akakuta Koro utaweza vip kukuamin mtu kama huyo,fix tuh zile
 
Hiyo miradi yote amejenga kwa mkopo uliza uambiwe. Aliwafool nyie mliotoka vichakani mkaamini.

Watanzania mnapenda kudangamywa sana mama amewaambia ukweli mnamuona hafai Yule mwizi alikuwa anafanya kimyakimya anawadanganya eti anajenga kwa pesa zetu. Zipi???

Hawa wanapenda story za abunuasi zile,za kupima corona kwenye mapapai na mbuzi
 
Kila zama na kitabu chake!

alivyo ingia tu bungeni kwa mara ya kwanza alianza kunanga zama Ilizopita kuwa kiguu na njia, hawatulii ikulu

unaumia nn na yy akijibiwa.

nyie ndie mnampa tabu mama, inabidi achague watu wake na wote waape kwake, ndio mtaelewa
 
Ukweli ni kwamba hajawahi kutumia fedha za ndani kwa hii miradi. Tulipigwa kamba na jwasababu kuhoji hatujui, alitufaidi. Leo hizo fedha za ndani hazionekani. Hatujui yy ndo alitupiga au hawa ndo wanatupiga.
 
Awamu iliyopita Raise,Makamu,Waziri mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani.

Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani.

Bunge na units zilizopo chini yake walituambia tuNajenga kwa fedha za ndani

Miezi Tisa baadaye hakuna yeyote anayetuambia tunatumia fedha za ndani, je Nani kabadili matumizi ya fedha za ndani Kwenye ujenzi? Amebadili kazipeleka wapi hizo fedha? Alipata wapi ridhaa yakubadili matumizi ya fedha za ndani? Upi msimamo wa CCM kuhusu Kuanza kufanya miradi kwa fedha za nje?
Bado,una muota marehemu Muongo😂😂😂
 
Tatizo hamsemi kwamba serikali ilichukuwa mikopo tena mibaya 8% kwa miaka sita kujenga reli $1.5 B . Muda ni mfupi sana maana yake pesa nyingi inaenda kwenye kulipa deni. Mkopo kama hii inatakiwa kuwa ya muda mrefu na riba ya chini
 
Mada kuwa Mwendazake alijenga na pesa za ndani inaonesha usomi wako wa Sheria umekutoka
Fly over zote alitudanganya ni fedha za ndani wakati ilikuwa ni Mikopo ya Nchi za Japan USA world Bank nk zipo pesa zilitolewa na Mashirika km JICA, ADB kwa ajili ya barabara za shortcut Bagamoyo Pangani Tanga na uwanja wa Ndege km Msalato zote zilipelekwa Chato Tan road wakamalize Hospital kubwa Afrika mashariki na kati
Mwendazake alikopa kupindukia na alimaliza mifuko yote ya kijamii sembuse watu binafsi, kuna jirani yako ambaye katoka na Mwendazake huko kwenu anaitwa KABENDERA akaunti zao zilichotwa, kina Harbinder, Ruge
Mwendazake alikuwa dhulumati aliyetaka kujinifaisha kwa kutangaza uongo
Kunywa K VANT nakuja kulipa
 
Awamu iliyopita Raise,Makamu,Waziri mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani.

Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani.

Bunge na units zilizopo chini yake walituambia tuNajenga kwa fedha za ndani

Miezi Tisa baadaye hakuna yeyote anayetuambia tunatumia fedha za ndani, je Nani kabadili matumizi ya fedha za ndani Kwenye ujenzi? Amebadili kazipeleka wapi hizo fedha? Alipata wapi ridhaa yakubadili matumizi ya fedha za ndani? Upi msimamo wa CCM kuhusu Kuanza kufanya miradi kwa fedha za

Si kweli kila mradi alikuwa anasema pesa za ndani nyingine alisema kabisa Japan fuatilia video clip zake…

Halafu kwani kukopa unakopa utalipia pesa zipi…mimi sioni shida kukopa wasiwasi hizo pesa zitatumika kwenye miradi yenye tija?!..JPM tulimuamini sana kwa ufuatiliaji na utekelezaji….#kataawahuni
 
Hiyo miradi yote amejenga kwa mkopo uliza uambiwe. Aliwafool nyie mliotoka vichakani mkaamini.

Watanzania mnapenda kudangamywa sana mama amewaambia ukweli mnamuona hafai Yule mwizi alikuwa anafanya kimyakimya anawadanganya eti anajenga kwa pesa zetu. Zipi???
Hatari Sana..
 
Ila kwa pesa za ndani inabidi uwe makini kiuchumi, angalia Amini wa Uganda ali- print pesa kwa wingi na matokeo yake ni uchumi kuangukia kifo cha mende.
 
Nchi hii jiwe aliijulia sana. Ukisema ukweli utachukiwa sana. Dawa ya hawa watu wa nchi waambie kile wanapenda kuskia, kamwe usiwaambie ukweli.

Si unaona mama anavyopata tabu kwa kuusema ukweli.
 
Jpm alikuwa anakopa Sana tu Ila akatuona watanzania uwezo wa kuhoji Ni mdogo akawa anatupiga fix na ukihoji unampotezwa au unauawa. Rejea azory na bensaanane. Hivyo alichokiweza jpm ni kuenfesha nchi kwa uongo mwingi
Ulikua na ujinga wa kujiondolea elimu kwa kusoma taarifa ya kifedha ya BOT angalau ya robo mwaka kama sio ya kila mwaka wa fedha? NB: sijakosea kuandika heri ya mjinga kuliko mpumbavu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jpm alikuwa anakopa Sana tu Ila akatuona watanzania uwezo wa kuhoji Ni mdogo akawa anatupiga fix na ukihoji unampotezwa au unauawa. Rejea azory na bensaanane. Hivyo alichokiweza jpm ni kuenfesha nchi kwa uongo mwingi
wewe ndio mpumbavu, ukienda kukopa hela benki unaacha hela counter?? au zinakuwa zako??
 
Back
Top Bottom