Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Ungemsoma na kumuelewa wala usinge andika post yakoFikirisha akiri yako kwanza.
Wacha uoga kama upo tayari nenda kabebe toto la ikuluIla magufuli aiseee...
Nilitaka kumuoa binti yake Jesca lakini nikifikiri uongo na roho ya baba yake nakosa hamu nae kabisa
Kinachoitwa fedha za ndani ni trilioni 23 tulizokopa awamu ya 5 na wananchi waliambiwa watembee vifua mbele kwa sababu sisi ni donor country na tulishawasaidia chakula Msumbiji na Zimbabwe wakati fulani japo baada y a tetemeko Kagera waliambiwa kwamba Serikali haina shamba.Awamu iliyopita Raise,Makamu,Waziri mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani.
Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndan...
Magufuli alikuwa MWONGO na mwizi mkubwa. Alitumia umbumbumbu wa Watanzania na kuwaita wanyonge na yeye ndiye mtetezi wao.Jpm alikuwa anakopa Sana tu Ila akatuona watanzania uwezo wa kuhoji Ni mdogo akawa anatupiga fix na ukihoji unampotezwa au unauawa. Rejea azory na bensaanane. Hivyo alichokiweza jpm ni kuenfesha nchi kwa uongo mwingi
Hiyo miradi yote amejenga kwa mkopo uliza uambiwe. Aliwafool nyie mliotoka vichakani mkaamini.Awamu iliyopita Raise,Makamu,Waziri mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani.
Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani...
Mhhhhh!!!!Ila magufuli aiseee...
Nilitaka kumuoa binti yake Jesca lakini nikifikiri uongo na roho ya baba yake nakosa hamu nae kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tapeli dictator hakuna alikuwa na jeuri ya kusema suuu! Kanusha mambo yake uoneTapeli wa kimataifa asiyejua lugha ya kimataifa alitutapeli