Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

mkopo ndio hela ya watanzania mburula wewe!!!! mkopo ni hela yako, fact kuwa umekubali kupewa, na utalipa it makes it yours,
 
Hiyo ilikuwa ni lugha tu. Kiswahili nacho ni kigumu. Alikopa sana akijua atalipa kwa fedha za ndani. Hakutarajia kuzunguka duniani kuomba msamaha wa madeni.

Serikali endeleeni kukopa deni likifika Trillioni 120 muanze kuzingatia maneno ya Spika Ndugai. Kwa sasa bado sana. Jambo la muhimu mikopo ielekezwe kuboresha maeneo yanayogusa Wananchi walio wengi. Msikope kulipana posho.

Deni likiwa kubwa zile kauli za malimbukeni wa kisiasa za kazi na bata hazitakuwa na nafasi. Kauli itakayo baki ni kazi kazi. Ukitaka uongozi wa nchi uwe umejipanga vilivyo pamoja na majukumu mengine magumu hili la jinsi ya ku kulipa deni la taifa.
 
Jpm alikuwa anakopa Sana tu Ila akatuona watanzania uwezo wa kuhoji Ni mdogo akawa anatupiga fix na ukihoji unampotezwa au unauawa. Rejea azory na bensaanane. Hivyo alichokiweza jpm ni kuenfesha nchi kwa uongo mwingi
Azory was a journalist embedded in the terrorists contingent so that he could report and record their progress and the operations in general so the questions of how or who killed Azory ask the terrorists if you know them and Saanane's death was an internal job as there are stories regarding.
In short there was some serious terrorism activities in Kibiti to say the least and remember MP Bwege once said 400 civilians were killed in his constituency in just one day so follow him as that was his propaganda for their mission,, I live in Kilwa but I cant remember even 10 people being killed in a single day ,,,So I'm sure now you will know who are the terrorists nukta
 
Is that what jpm was using to fool some people especially when he intends to kill a person for criticising him? You also support this nonsense of jpm on killing civilians through terrorism justification?

If that is what you proove, then jpm was more than a sartan. He killed many people and most deads were found alongside the ocean banks floating.
 
Boga wewe,pesa ipi ya ndani alijenga? Alimaliza miradi gani? .
 
You fool, trying to spin things here. Do you think we are all as fool as you are ?
 
It is your CDM propaganda again,, nobody came out complaining of the fake disappearances of which only CDM witnessed
The negative propaganda machines worked harder but JPM was solid even when an MP said in parliament that 400 people were killed in a single day they never got any mileage,,, They, CDM still till to date are talking of people killed but without any evidence no names no family members coming forward
JPM never killed anybody for criticising JPM only went hard on TAX dodgers and he made understand the importance of paying taxes he was really hard on tax and you saw many projects done
 
Usimwamini mwanasiasa yeyote kwa Kiafrika. Ni wanafiki na waongo wakubwa. Muda wote huo walikuwa wanatudanganya. Walikuwa wanakopa kimyakimya halafu wanatoka hadharani na kubwabwaja bila aibu kuwa wanajenga miradi kwa fedha za ndani.
 
Usimwamini mwanasiasa yeyote kwa Kiafrika. Ni wanafiki na waongo wakubwa. Muda wote huo walikuwa wanatudanganya. Walikuwa wanakopa kimyakimya halafu wanatoka hadharani na kubwabwaja bila aibu kuwa wanajenga miradi kwa fedha za ndani.
JPM, Magu, Meko, Jiwe, Muhutu. Mwendazake, Mwendakuzimu, Mwanakwendazake. Mtu mmoja majina kibao sababu ya UKUDA.
 
No any project was run instead he opened them hopping to still money from accounts directly without abiding to the laws. Therefore jpm was above the laws of Tanzania. That's why even the chadema candidates were hijacked by the police when handling over their forms ready for election. Eg devotha minja of morogoro. Therefore God has helped us to get rid of his dictatorial regime.
 
Tatizo mliweka imani zenu gizani...
Mliaminishwa yasiyokuwepo!
 
Nikichoelewa miki ni kwamba fedha za nje ukishakopa zinakuwa zako. Hivyo unachanganya na ownsource yako unaongez kitu fulani? Ndipo unajifariji kwa kusema hizi hela zote zetu. Kwa kuwa tutalipa. Hivyo yaani
 
Umemuelewa mtoa mada LAKINI?
 
Umemuelewa mtoa mada LAKINI?
Mimi namuelewa klko wewe
Huyu Dada ni Mwandishi ha habari za Kimahakama na sijui anamuandikia nani
Juzi kati hapa alitueleza kuwa anaumwa na akapona sijui ni faili au ni nini
kuna habari ya Dada kajipiga picha akawalaumu Polisi kwa kumuongezea picha
Mada aliyotoa ni ya uongo kwani anamtetea Mwendazake wakati Mwendazake kamdhulumu Kabendera kwa kumkosoa mpaka Mama wa Mwandishi huyo katutoka na jamaa hakujali akamlipisha mapesa ndio hayo anayajengea Chato mnasema kakusanya Kodi, kisa tu Ndugai anawasha moto
wote ni wasaliti na dawa yao inaanzia hukohuko CCM
mpaka watu wanyang'anywe makadi ndio wajue ni usaliti
Your browser is not able to display this video.
 
J
Ila magufuli aiseee...

Nilitaka kumuoa binti yake Jesca lakini nikifikiri uongo na roho ya baba yake nakosa hamu nae kabisa
Jesca John Magufuli na John P. Magufuli ni nafsi mbili tofauti bwana mdogo!
 
Sawa. Kuhusu kauli kwamba '... tunajenga kwa fedha zetu za ndani' unasemaje?
 
Ni fedha za ndani hizo hizo tunapolipa madeni. Pengine wana maana hiyo. Sasa tusemeje au zikishakopwa zinakuwa za ndani.
Ila kwa nini hasa ilisemwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…