Hayati Magufuli aliwezaje ku-trend kila siku??

Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.

Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.

Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.

Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.

Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.

Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.

Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.

Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".

Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.

Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Huyu Mwamba achana nae kumpata mtu wa namna hiyo inahitaji nusu karne ni mara baada ya kushuhudia changamoto mbalimbali kama Taifa.RIP JPM WETU SISI WANYONGE
 
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.

Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.

Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.

Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.

Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.

Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.

Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.

Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".

Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.

Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Huyu inashindikana kwa sababu vyombo vyetu vya habari haviwezi kumfuata Washington, Dubai, Hongkong, Nairobi, Yemen, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi trend kila siku kwa kazi za mkuu wa nchi tu. Lazma uchukue na kazi za walio chini yako uzifanye wewe.
 
Sanaaa aisee...pamoja na mapungufu yake Ila watz wengi tulikua tunapenda hotuba zake... 😆 😆 😆
Aliwahi kufika mkoa nilipo, saa 10.00 asubuhi katangaza kesho anazindua mradi mkubwa😂😂😂😂😂 wakati hiyo ratiba haikuwepo na hakuna mtu alitarajia.
Watu walitafutana, na wakatoka pande zote za Nchi kuhudhuria na kila kitu kikawezekana, jiwe la msingi likaandaliwa, hotuba na kila kitu. Na mradi ukazinduliwa!
 
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.

Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.

Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.

Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.

Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.

Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.

Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.

Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".

Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.

Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Bro, huyo ni marehemu haisaidii kitu
 
Umepambanua vizuri jinsi mtawala wa kiimla(dictator) anavyokuwa, rejea tawala za akina Hitler na dictators wengine trends zilikuwa hivyo hivyo na bado wana-trend mpaka leo.
Baada ya kukopa serikali imejenga madarasa hahahahaha nchi ya misukule inakishwa unga inashangilia
 
Umepambanua vizuri jinsi mtawala wa kiimla(dictator) anavyokuwa, rejea tawala za akina Hitler na dictators wengine trends zilikuwa hivyo hivyo na bado wana-trend mpaka leo.
Acha uongo huna hoja
 
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.

Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.

Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.

Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.

Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.

Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.

Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.

Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".

Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.

Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Alikuwa mbunifu na mchapa kazi simple.
 
sema mama hawezi sanaa kama za jiwe Mara kapiga picha kalala Kwenye miamba ya ikulu, Mara katokea CRDB kapanga foleni yakutoa hela, kwa mama hizi drama sijaziona bado
Mama yako ye ni nani katika nchi hii mwache atoe penzi kwa baba Yako
 
Back
Top Bottom