The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ilimsaidia Sana kutoka kuwa na utaifa wa Nyerere,akaja Mwinyi na MKapa kutufundisha ubepari na kujitafutia vyetu,akaja JK ajatufundisha demokrasia,kuvumiliana na kujiajiri then akaja mwehu kavuruga kila kitu cha awali ,sasa tumeanza upya na Samia 😁😁Miaka 60 ondoa ya JPM imemsaidia nini mtanzania wa kawaida….
Wewe ni mtoto wa Mama unakula bure,Jpm alifundisha watu kuchapa kazi,sio kutegemea kusaidiwa kila siku,kila mtu alikula kwa jasho lake mwenyewe,labda nyinyi mliokuwa na veti feki na wezi wa Mali za umma ndio mlipata shida,kama unabisha funga safari nenda mikoani usikie wanavyolia baada ya kifo cha Magufuri.Ilimsaidia Sana kutoka kuwa na utaifa wa Nyerere,akaja Mwinyi na MKapa kutufundisha ubepari na kujitafutia vyetu,akaja JK ajatufundisha demokrasia,kuvumiliana na kujiajiri then akaja mwehu kavuruga kila kitu cha awali ,sasa tumeanza upya na Samia 😁😁
Kazi gani utachapa ikiwa unaua uchumi? Kuchapa kazi hufundishwi kupo tuu automatically with incentives..Wewe ni mtoto wa Mama unakula bure,Jpm alifundisha watu kuchapa kazi,sio kutegemea kusaidiwa kila siku,kila mtu alikula kwa jasho lake mwenyewe,labda nyinyi mliokuwa na veti feki na wezi wa Mali za umma ndio mlipata shida,kama unabisha funga safari nenda mikoani usikie wanavyolia baada ya kifo cha Magufuri.
A live dog is better than a dead lionTangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin mobutu ,kagame,bokassa na wengineo.
Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?
Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.
Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.
Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Rais yeyote akiamua saiv mbona watz watanyamaza tu.kuna mtz anaeweza kukabiliana na mkono wa dola.Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin mobutu ,kagame,bokassa na wengineo.
Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?
Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.
Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.
Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Hajui hata mama akiamua saiv,wote ni kimyaNi Kazi ndogo Sana kwa Nchi kama Tzn yenye wasomi wachache na matajiri wachache pia.
Mkuu hivi mkono wa chuma huwa ukoje! Mi sijawahi kumuona mtu ambaye mkono wake ni wa chuma kabisa. Huwa naskia watu wanasema mikono ya vyuma sielewagi kabisa. Au inawezekana na Mimi Nina mkono wa chuma Ila sijauchunguza vizuriTangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin mobutu ,kagame,bokassa na wengineo.
Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?
Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.
Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.
Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Hakuna aliyekuwa anaishi maisha halali kipindi cha Magufuri akamchikia Magufuri,Magu alikuta wizi umekidhili,mpaka majizi walikuwa wanafuata watu kwenye daladala wanawanyanganya pesa zao kwa jeuli,Selikalini ndio usiseme,mpaka nchi jirani zilikuwa zimeisha acha kupitisha mizigo, sababu wizi wa watanzania,makontena yanapotelea njiani, petroleum wanachanganya na mafuta ya taa, mpaka Kikwete aliamua kupandisha mafuta ya taa ili kukomesha uchakachuaji.magufuli kwa kipindi chake vyote vilikoma,wote waliokuwa wakiishi kwa njia hizo wakainua chuki kwa Magufuri, kuwa ni mtawala mbaya, kumbe kaziba mianya ya wiziKazi gani utachapa ikiwa unaua uchumi? Kuchapa kazi hufundishwi kupo tuu automatically with incentives..
Kuchapa kazi hupati chochote inakusaidia nini? Ukiwa na tupesa kidogo bank mna ceace kwa visingizio vya Kodi na upuuzi kama huo.
Wanalia wakiwa nyumbani kwako au? Mbona Niko mkoani,mkoa gani huo wanakolia?
Kichaa ashtakiwi popote ndo tatizo lilianzia hapoTangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin mobutu ,kagame,bokassa na wengineo.
Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?
Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.
Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.
Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Ni kwa sababu hatupendi vurugu. Tuko tayari kunyamaza hata tukifanyiwa ndivyo sivyo. Waweza kusema ni mabwege, misukule na majina mengi tu ila waweza kusema Watanzania wana busara sana kwa kuchagua kunyamaza!Ila kwa miaka mitano tuliufyata kama misukule hata angesema kulala saa mbili tungelala
Aliweza kutunyamazisha kwa sababu alikuwa hana hofu ya Mungu yeye kuua kwake ilikuwa poa tuTangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto Iddi Amin mobutu ,kagame,bokassa na wengineo.
Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga?
Hata nikadhani labda wananchi wao ni mazezeta.
Ila alichotufanya bwana yule nilikuja kuelewa somo kwa vitendo,nilipenda sana story za hawa wababe ila ghafla nilijikuta nabadili mtazamo wangu.
Kiukweli kabisa watanzania wote tuliufyata kasoro mtu mmoja tu Tundu Lissu nadhani kwa sababu alishaonja kuzimu labda akaona kumbe hakutishi kivile, tuliobaki tukubali tuliufyata mpaka wengine kufikia kumuita Mungu, nikikumbuka nacheka mwenyewe
Kwenye issue ya kagame Ni swala la muda tu hiyo nchi itarudi kuwa maskin wa kutupwa ,Rwanda Ni Kama nyumba ya vioo muda wowote jiwe likirushwa tu nyumba yote inashuka chini.Thread imemtaja Kagame, nchi yake unaiona inavyokata mawinbi ya maendeleo?
Umenikumbusha miaka ya 90 kabla ya ARV kuna dereva mmoja alikuwa anaendesha gari spidi sna kumbe alikuwa na ukimwi,na kweli akaja kufa kwa ajaliAliweza kutunyamazisha kwa sababu alikuwa hana hofu ya Mungu yeye kuua kwake ilikuwa poa tu
Nahisi kwasababu alijua hata yeye hana maisha marefu, OGOPA SANA MTU ALIYEPOTEZA TUMAINI LA KUISHI MAISHA MAREFU. ANAWEZA KUONDOKA NA WW USIPOMUEPA
Uko sahihi kabisaKwenye issue ya kagame Ni swala la muda tu hiyo nchi itarudi kuwa maskin wa kutupwa ,Rwanda Ni Kama nyumba ya vioo muda wowote jiwe likirushwa tu nyumba yote inashuka chini.
Niungane na mdau hakuna maendeleo endelevu chini ya uongozi wa kidikteta ,Libya saiz Wana Lia na kusaga meno.
Hapo Rwanda siku yakimkuta ya kumkuta tall man basi elewa ngoma itaanza upya ya watusi na wahutu.
Kwenda huko,mbona wewe hukufuatwa na kunyang'anywa pesa zako?Hakuna aliyekuwa anaishi maisha halali kipindi cha Magufuri akamchikia Magufuri,Magu alikuta wizi umekidhili,mpaka majizi walikuwa wanafuata watu kwenye daladala wanawanyanganya pesa zao kwa jeuli,Selikalini ndio usiseme,mpaka nchi jirani zilikuwa zimeisha acha kupitisha mizigo, sababu wizi wa watanzania,makontena yanapotelea njiani, petroleum wanachanganya na mafuta ya taa, mpaka Kikwete aliamua kupandisha mafuta ya taa ili kukomesha uchakachuaji.magufuli kwa kipindi chake vyote vilikoma,wote waliokuwa wakiishi kwa njia hizo wakainua chuki kwa Magufuri, kuwa ni mtawala mbaya, kumbe kaziba mianya ya wizi
Mjomba Magufuli alituhadaa wengi,hata CCM yenyewe aliwahadaa.Historia yake kabla ya kuwa mbunge ingetusaidia kumuelewa Mjomba Magu kabla ya kumpachika Uraisi.Kwenda huko,mbona wewe hukufuatwa na kunyang'anywa pesa zako?
Kama Nchi jirani ziliacha kupitisha mizigo serikali ilitoa wapi pesa ya kuajiri na kuendeshea miradi? 😁😁.
Sasa Kwani uchakachuaji uliisha? Mbona wafanyabiashara walikimbia na wakaacha kuwekeza ilikuaje?
Una uhakika mianya iliisha au propaganda? Alitewaruhusu polisi kuomba rushwa barabara alikuwa nani?
Aliyebambikia watu pesa na hawafikishi mahakamani anadai walipe pesa alikuwa nani? Acha kuropoka mambo usiyoyajua wewe..
Halmashauri zilikuwa zinatumia pesa hovyo na hakuna cha Kuwafanya kwa sababu alijaza ndugu na maofisa usalama..DED ananunua gari ya zaidi mil.400 afu Rais anasema muache..
Vyombo vya habari marufuku kuripoti uozo wa serikali wala kukosoa,sisi tulio kwenye system tunajua rushwa ilivyokuwa inatembea wewe Kazi yako ni pambio za propaganda.
Niliko mimi kuna miradi 3 mikubwa watu walipiga pesa Hadi saizi haijamalizika Ilikuwa ni ya wafadhili, hospital ,stand na VETAMjomba Magufuli alituhadaa wengi,hata CCM yenyewe aliwahadaa.Historia yake kabla ya kuwa mbunge ingetusaidia kumuelewa Mjomba Magu kabla ya kumpachika Uraisi.
Hata kama tungekuwa na katiba bora bado mjomba Magu asingeifuata,angetengeneza yake.
Ila kama angepewa ushauri wa kufufua viwanda vikubwa vya nguo na pamba agerudisha ajira nyingi sana badala ya kukimbilia kujenga makao makuu.
Hiyo mali gafi ya kuendesha viwanda ulikuwa nayo? viwanda vyote vya nguo vilikuwa vimebinafishishwa na Mkapa na Kikwete,angelikwenda kuwanyanganya hivo viwanda ngelipiga makelele mpaka dunia ingejua Magufuri ni mbaya kuwai kutokea Tanzania, maana alijaribu kwenye madini maneno na vitisho vikawa vingi,mala tutashitawa miga,mala hoo dictator uchwala.Hata hivo serikali haijengi viwanda ila inaweka mazingira mazuri kwa wawekezaji,ndicho Magu alifanya.Mjomba Magufuli alituhadaa wengi,hata CCM yenyewe aliwahadaa.Historia yake kabla ya kuwa mbunge ingetusaidia kumuelewa Mjomba Magu kabla ya kumpachika Uraisi.
Hata kama tungekuwa na katiba bora bado mjomba Magu asingeifuata,angetengeneza yake.
Ila kama angepewa ushauri wa kufufua viwanda vikubwa vya nguo na pamba agerudisha ajira nyingi sana badala ya kukimbilia kujenga makao makuu.
Mfanyabiashara yupi alikimbia kuwekeza hapa nchini kipindi cha Magufuri kama sio proganda za kitoto?Kwenda huko,mbona wewe hukufuatwa na kunyang'anywa pesa zako?
Kama Nchi jirani ziliacha kupitisha mizigo serikali ilitoa wapi pesa ya kuajiri na kuendeshea miradi? 😁😁.
Sasa Kwani uchakachuaji uliisha? Mbona wafanyabiashara walikimbia na wakaacha kuwekeza ilikuaje?
Una uhakika mianya iliisha au propaganda? Alitewaruhusu polisi kuomba rushwa barabara alikuwa nani?
Aliyebambikia watu pesa na hawafikishi mahakamani anadai walipe pesa alikuwa nani? Acha kuropoka mambo usiyoyajua wewe..
Halmashauri zilikuwa zinatumia pesa hovyo na hakuna cha Kuwafanya kwa sababu alijaza ndugu na maofisa usalama..DED ananunua gari ya zaidi mil.400 afu Rais anasema muache..
Vyombo vya habari marufuku kuripoti uozo wa serikali wala kukosoa,sisi tulio kwenye system tunajua rushwa ilivyokuwa inatembea wewe Kazi yako ni pambio za propaganda.
Why not? Mbona wengine mmewapa miaka 10 why not her?Kwahiyo kumbe Tunasimama na Mama Hadi 2030 bila Pingamizi