Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
- Thread starter
-
- #21
Moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi mtaalamu.Hajaandika chochote huyo. Shujaa wa Afrika ni mtu ambaye anahakikisha Afrika hainyonyi raslimali zake kama alivyofanya kwenye madini. Aidha ni muhali shujaa wa Afrika kuuweka uafrika mbele baadala ya kusifia mabeberu. Upo hapo
Achana na upuuzi wako. Unajulikana ulivyokuwa unamchukia JPM kama unavyoichukia Yanga. Kila mara nilikuwa nakuonya, jaribu kuwa mdadisi badala ya kudumaza ubongo wako. Nyerere aliitwa shujaa wa afrika kwa vile alipigania waafrika wajitawale! JPM alipigania waafrika watawale raslimali zao. Full stop kijanaMoja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi mtaalamu.
Mbona mhuni wenu alisema atawaingiza nyie wapuuzi wenzake barabarani, hy n kuunganisha jamii.?moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii. kampeni za magufuli zilitawaliwa na matamko ya ubaguzi. Alitamka wazi hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya chadema. una kingine?
Pia Mataga ni mashujaa wa Afrika.Kwa bavicha NDIO kigezo...
haaa haaa unaanza kuhamisha magoli Yanga inaingiaje hapa. Nijibu hoja zangu dogo,shujaa anabagua watu,shujaa anakimbia mikutano ya Umoja wa Afrika akajengee uwezo waafrika watawale rasilimali zao?Achana na upuuzi wako. Unajulikana ulivyokuwa unamchukia JPM kama unavyoichukia Yanga. Kila mara nilikuwa nakuonya, jaribu kuwa mdadisi badala ya kudumaza ubongo wako. Nyerere aliitwa shujaa wa afrika kwa vile alipigania waafrika wajitawale! JPM alipigania waafrika watawale raslimali zao. Full stop kijana
na ndiyo maana sio shujaa wa Afrika? moja ya kigezo cha shujaa ni kuhamasisha watu wapiganie haki zao. Kuandamana ni haki ya kikatiba. Nilipoona umekimbilia huko tu nikajua mada imekuzidi kimo. Upo?Mbona mhuni wenu alisema atawaingiza nyie wapuuzi wenzake barabarani, hy n kuunganisha jamii.?
Good observationKuna propaganda ya chini kwa chini, ya kusafisha his image inaendelea kipindi hiki, na hata kuonyesha kuwa alikuwa anakubalika na wengi.
From the way msiba umekuwa "promoted" and even trying to influence the masses kwa njia mbali mbali.
Taja angalao mawili matatu.Hadi atangazwe ? Shujaa utamjua kwa matendo
Ni shujaa wa Afrika Sana, pale pembeni kuna Corner Bar ndiyo alikuwa ananajisevia changu doa, akaukwa na UKIMWIWasalaam wajumbe.
Nimesoma na kusikia katika vyombo vya habari kwamba Magufuli Pombe katika kipindi chake alikuwa shujaa wa Afrika.
Hii inasemwa sana, mwanzo nilijua ni kupitiwa tu, bahati mbaya. Kumbe wana habari wapo serious kabisa. Nahitaji kujua machache kuhusu Magufuli kutajwa kama shujaa wa Afrika.
Mchakato uliofanyika kumpata na kumtangaza kama shujaa wa Afrika.
Afrika ipo chini ya Umoja wa Afrika AU ambapo tunaona waliowahi kutajwa kama mashujaa waliwahi kufanya kitu katika umoja huo. Mfano mzuri ni Mwl. Nyerere na Nelson Mandela. Ambao maono yao waliyasema na kuhamasisha katika mikutano ya Umoja wa Afrika.
Katika utaratibu huo, ni wapi na lini Rais Magufuli aliwahi kuhutubia mkutano wa AU na kutoa maono yake?
Moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi wandugu.
Ni hoja tu tusijenge chuki.
mada umekuzidi kimoKwa hyo wewe shida yako ni hyo "SHUJAA WA AFRICA?"
basi hilo neno shujaa wa africa litoe weka neno likupendezalo wewe.
Hao wanaomtaja hivyo ni MATAGA. Shujaa hawagi vile aisee!Wasalaam wajumbe.
Nimesoma na kusikia katika vyombo vya habari kwamba Magufuli Pombe katika kipindi chake alikuwa shujaa wa Afrika.
Hii inasemwa sana, mwanzo nilijua ni kupitiwa tu, bahati mbaya. Kumbe wana habari wapo serious kabisa. Nahitaji kujua machache kuhusu Magufuli kutajwa kama shujaa wa Afrika.
Mchakato uliofanyika kumpata na kumtangaza kama shujaa wa Afrika.
Afrika ipo chini ya Umoja wa Afrika AU ambapo tunaona waliowahi kutajwa kama mashujaa waliwahi kufanya kitu katika umoja huo. Mfano mzuri ni Mwl. Nyerere na Nelson Mandela. Ambao maono yao waliyasema na kuhamasisha katika mikutano ya Umoja wa Afrika.
Katika utaratibu huo, ni wapi na lini Rais Magufuli aliwahi kuhutubia mkutano wa AU na kutoa maono yake?
Moja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi wandugu.
Ni hoja tu tusijenge chuki.
Exactly Mkapa ndiye Baba lao kwa uchumi na miundombinu. Ila Tanzania ni nchi ya wapumbavu wengi ambao wanasahau haraka na wala hawatafuti taarifa sahihi
AU ni UN?kwani kuwa shuja wa Afrika mpaka uhutubie UN?
Hawataki kusikia hii stori kabisaMoja ya kigezo cha mashujaa ni kuunganisha jamii na kuheshimu utu. Katika kampeni za uchaguzi Magufuli alikuwa akitamka wazi kuwa hakupeleka na hatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya Chadema. Hapo vipi wandugu.
Kwenye hili siyo rahisi kusema eti wale wanaoandamana kumuona wanampenda siyo kweli. Wengi wana taka kumuoona mtu mchawi anavyofanana na kama kweli amekufaMtoa mada huna jipya, kwa hali ilivyo vp bado mtalalamika kuibiwa kura 2020.?