Shujaa wa Africa anafanya mambo yanayonugaisha Africa kwa ujumla. My take is kafanya yapi kunufaisha afrika kwa ujumla?Hajaandika chochote huyo. Shujaa wa Afrika ni mtu ambaye anahakikisha Afrika hainyonyi raslimali zake kama alivyofanya kwenye madini. Aidha ni muhali shujaa wa Afrika kuuweka uafrika mbele baadala ya kusifia mabeberu. Upo hapo
Hivi ninyi mtaendelea kum'underrate Magufuli mpaka lini? Ni miaka mitano, kafanya ya miaka 40 iliyopita combined!Exactly Mkapa ndiye Baba lao kwa uchumi na miundombinu. Ila Tanzania ni nchi ya wapumbavu wengi ambao wanasahau haraka na wala hawatafuti taarifa sahihi
Shujaa wa Afrika ni yule ambae aliinufaidha Afrika si nchi yake tu. Mf, Mwalimu J.K.Nyerere alishiriki ktk kuleta uhuru ktk Mtaifa mengine, si Tanzania tu.ni shujaa maaana ameonyesha kwamba afrik tukiamua tunaweza kuyatumia kujikwamua kiuchum.kwa miundombinu na infrastructure za kutosha.hata kama tunahitaji investors basi lazima iwe katika win win situation.
pia Mapato Mapato.kwamba kodi lazima ikusanywe ili serikal iwe na power ya kufamya miradi imayoenda kugusa moja kwa moja maisha ya watanzania wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunamuita shujaa? nchi zingine za africa huko nje wanamuonaje?SHUJAA WA AFRIKA
Hongereni kwa kufatilia.. hakika mtamkumbuka sanaaaaaaaaaa SHUJAA NA JEMBE LETU.. ni hakunaga.. Hapa kazi tu itaendelea kama kawa...
Mabeberu angewashukuru kwanza kwa kumuwekea pacemaker miaka ya 90 badala ya kuwananga vibaya bila hao ata huo uraisi asingekua naoHajaandika chochote huyo. Shujaa wa Afrika ni mtu ambaye anahakikisha Afrika hainyonyi raslimali zake kama alivyofanya kwenye madini. Aidha ni muhali shujaa wa Afrika kuuweka uafrika mbele baadala ya kusifia mabeberu. Upo hapo
mada umekuzidi kimo
Bora mngesema ni Shujaa wa Tanzania.Achana na upuuzi wako. Unajulikana ulivyokuwa unamchukia JPM kama unavyoichukia Yanga. Kila mara nilikuwa nakuonya, jaribu kuwa mdadisi badala ya kudumaza ubongo wako. Nyerere aliitwa shujaa wa afrika kwa vile alipigania waafrika wajitawale! JPM alipigania waafrika watawale raslimali zao. Full stop kijana
wewe unaleta ushabiki wa Simba na YangaSHUJAA WA AFRIKA
Hongereni kwa kufatilia.. hakika mtamkumbuka sanaaaaaaaaaa SHUJAA NA JEMBE LETU.. ni hakunaga.. Hapa kazi tu itaendelea kama kawa...
kwa hiyo umekubali sio shujaa wa Afrika?shida si SHUJAA WA AFRICA.
Basi ondoa weka neno ulipendalo.
Vitu vingine uwe unajiongeza tu.
Wao wamemuita shujaa waafrica.
Wewe muite dikteta wa africa.
Maisha yanasonga
Kwani kuwa shujaa mpaka upiganie uhuru, acha masihara, hata kusolve problem kwa nchi mbali mbali huo ni ushujaa, mfano itazame nchi ya Burundi vurugu za vita zilipungua, Congo nako hivo hivo amekuwa mfano na mpatanishi huo ndio ushujaaTbc kazi yao ni kusifia tu sifa za kijinga Marehemu alipewa sifa kila secunde kuliko Mola wao me mwenyewe nilistuka Maana Katika Mashujaa wa Africa hana hata chembe moja ya kupewa sifa hiyo... Tbc kuna michumia Tumbo mule... wanadhani ukiwa raisi tu unakuwa Shujaa wa Africa so na Mwinyi nae ni Shujaa wa Africa? ???? And Kikwete pia????? Mashujaa walishaisha Marehemu nchi inapata uhuru kutoka kwa Mashujaa wa Africa alikuwa na miaka miwili
Karibu mkuu MingoiKuwa shujaa wa Afrka haimaanishi mpaka uwahutubie waafrika AU au uzunguke nchi zote. SADC ni sehemu ya jukwaa la mikutano ya Afrika, fikra na mawazo yake juu ya rasimali nchi ni namna sahihi juu ya uafrika wake. Misimamo dhidi ya Zimbabwe kuondolewa vikwazo na kukaa masharti ya kipumbavu kama ushoga, kupinga unyonyaji, sera mbovu za kiuchumi dhidi ya Afrika tu niseme inatosha kwamba Rais John Pombe Joseph Magufuli aliyaishi, kuyatukuza na kuyaenzi maisha ya kiafrika.
R. I. P BABA
kwa hiyo umekubali sio shujaa wa Afrika?
kwamba Magufuli alipatanisha Burundi, Congo?Kwani kuwa shujaa mpaka upiganie uhuru, acha masihara, hata kusolve problem kwa nchi mbali mbali huo ni ushujaa, mfano itazame nchi ya Burundi vurugu za vita zilipungua, Congo nako hivo hivo amekuwa mfano na mpatanishi huo ndio ushujaa