Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Yaani kumbe tunao takataka kiasi hiki? Kwa hiyo mtu kama kala pesa za nchi asisemwe anyamaziwe tu kisa ni jeshi? Malaya mkubwa wewe
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawaz
Uko sahihi kama wanajiamini wavunje rekodi ya kuhudumia wanyonge ya Magufuli waweke Legacy yaoMkuu mti mwenye matunda matamu hurushiwa mawe kila kukicha, viatu vya mwendazake hakuna wa kuvivaa sasa wanaona dawa ni kumchafua, wanashindwa kufanya yale aliyokuwa anayafanya mwendazake, waone aibu kwanza kwa kuangalia alivyoliliwa na mamilioni ya watu,legacy haifutiki kwa kwa kusema ,nao waweke legacy zao na wamuache JPM wetu apumzike,kumsema marehemu ni dalili za kukosa heshima na utu kwa sisi ambao tumelelewa kwa kufuata maadili.
Aliyeuzika mchakato wa katiba ndo katufikisha hapa.Kwa wanaoona Mbali utagundua tatizo kubwa ni sheria zetu mbovu, kwani mkaguzi anatumia sheria na ukifuata sheria hakuna hata mradi mmoja utakamilika, kwani zina mlolongo mrefu sana na hapo ndio upigaji mkubwa unatokea pia.
Kwa hiyo magufuli aliikuta hii nchi haina barabara?Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.
Lugha ya ki layman utafikiri mtu hata shule hukwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk
Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini
Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Na tabaka hili ni baya Sana...likiamshwa sijui viongozi watajificha wapi ...walivyo na vitambi vizito wataweza kweli kuki bia?! Tusubiri tuone...something bad is cooking...Utawala mpya unapaswa kupambana kuliondoa tabaka aliloliacha linakuwa kwa kasi la wanyonge kulitoa katika unyonge na kulipa maisha bora, hilo ndilo tabaka lake lililompenda sana
Uko sahihi kama wanajiamini wavunje rekodi ya kuhudumia wanyonge ya Magufuli waweke Legacy yao
Lakini ninavyoona inaelekea kuwa serikali ya kufurahisha walio wachache sio walio wengi kama ya Magufuli!! Dalili zimeshaanza kuonekana
Lakini mapema Magufuli katufunza kuwa serikali inabidi kuwa mtumishi wa walio wengi.Na ndio perception walio nayo wananchi walio wengi
So far naona inajitahidi ku impress the few !!! the minority!!
SGR haikaleta hasara, fikiria kama isingejengwa je bado ungesema tumepata faida? Kilichokosekana ni tozo ambayo haikulipwa na ambayo hata sasa inaweza kudaiwa na ikalipwa.
Hivyo vyombo havifanyi kazi ya kumlinda Rais kama hisani ni lazima vimlinde vinatekeleza katiba kenge wewe hivi nyie wapumbavu wa magufuli mna akili gani mmfuate huko aliko.Yuko mtu anadanganywa na kadanganyika. Anafikiri hii nchi ikikwama watakao jibu ni wanao mdanganya. Kumbe watakuwa pembeni wakicheka na kutabasamu.
Hajui kwamba kajichafua na kuchafua anaofanya nao kazi. Sijui kazi atafanya na nani sasa? Unachafua mpaka Jeshi na vyombo vya Usalama kuwa havi kufanya kazi yake kikamilifu wakati ndio mbereko inayo kubeba kila uchao.
Ana nyota gani muuaji mkubwa huyoNAONA BAADA YA KUFIKA CHATO NA KUKOSA UONGO WABAYA WAKE WANATU'MIA RIPOTI T YA CAG KUMCHAFUA.
KUIZIMA NYOTA YA JPM ITAKUWA NGUMU SANA
Huwaga na tabia ya kutojibu maswali ya kijingaMazuri yepii ??
Aliyeuzika mchakato wa katiba ndo katufikisha hapa.
Pumbafu,hivi Magu aligusa wananchi wanyonge kwenye nini labda zaidi ya kuwanyonya yey na wafuasi wake majiziSpidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Na tabaka hili ni baya Sana...likiamshwa sijui viongozi watajificha wapi ...walivyo na vitambi vizito wataweza kweli kuki bia?! Tusubiri tuone...something bad is cooking...
Lakini mkuu,tuliaminishwa mambo karibu yote ni pesa za ndani,na pia mapato yaliongezeka mara dufu sasa inakuaje aache deni kuliko wenzake waliokua na mapato machache na pesa za mikopo huoni either ni ufisadi au propaganda zilikua? Na kama si ufisadi kulikua na haja gani ya propaganda???Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.
Lugha ya ki layman utafikiri mtu hata shule hukwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk
Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini
Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Usipanic hao wamekufa kimwili. Kiroho wako hai. Mungu anaua watenda dhambi kimwili na kiroho.Yesu na Manabii na mitume walikufa walikuwa na dhambi ? Wewe utaishi milele?
upo sahihi kabisaMarehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Kama wao sio mafisadi tunaomba speed iwe 2 times ya ile ya Hayati Magufuli..Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Usiniambie..!! Amefufuka?Na ndio huyo sasa anarudi kwa kasi ya hatari!