Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona


Kasemaje kuhusu TANRODS na sikia alishakuwa mhasibu mkuu kipindi cha nyuma. Au hili ni moja ya yale aliohepa kukagua kwa raslimali chache.
 
Ametuachia deni la Trillioni 18 katika kipindi chake cha miaka 5 tu. Hili pia linapaswa lilipwe.
Ni ndogo sana ukilinganisha na miradi tuliyonayo kama taifa... Walau deni tunaliona limetokana na nini .. sio yale madeni hewa with no justfication.
 
Bado hujatoka chumbani kwako? Ile report ya cag imevuruga kila kitu Cha magu na kila mwananchi mwenye akili timamu na mzalendo amemdiss Sana magu kwa kuwaaminisha vingine na kutenda tofauti! Toka nje uingie kitaa uwasikie wanazengo!
Kumzika marehemu ni rahisi lkn kuzika kitabu chake ipo kazi
 
Nimetafakari maneno
Anae enda kuiua Ccm ni Magufuli
Ukweli umetimia
2025 Watanzania wataonyeshwa kipi kitakachokuwa kiekamilika katika vyote alivyo vianzisha?

Ccm kazi kubwa hiyo
 
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea
Lamsingi bila Magufuli hata Ndugai asingepata ubunge
 
Basi uliza kwann CAG anakagua ndege wakati yeye sio injinia?
hata kazi ya CAG huijui. anakagua mahesabu ya mapato na matumizi ya taasisi za serikali. hizo taasisi ndio zinampelekea taarifa ya status za mashirika yao na mali zao.
so hapa ni engineers wa atcl ndio wanapeleka taarifa. sio CAG anaenda kukagua ndege.
 
Zama za kutokukusanya Kodi zaja. Zile zama za kukimbizana Na chingaz street mpaka street
 
Jiwe alikuwa Mpigaji sana
 
Wazomeee lakini maendeleo yaonekane kwa vitendo. Vinginevyo kweli wataipata ndani ya miezi 6 tu. Hawatakuwa na la kusema na so far wanaponda yaliyomokwenye ilani yao!
 
Watazomea wana kijiji??,. Hao hawatupi shida kabisaa! Dawa yao ndogo sana.

Tz manake ni Dar tu labda na Arusha. Inajijenga yenyeweee taatibuuu!! Kabisa.

Huyu aliiba mapato ya Dar akajenga huko aliko jenga tukamuwahi kumzima.

Sasa hivi tuna deal na Marais wa mjini tu. Sasa tumekoma Hatutateua tena Rais wana vijiji ni mzigo kwa Dar yetu.na wana Dar.

wakulima hawana jeuri ya kuzomea Rais Born town wewe!! Kwanza walivo wajinga wakipanga tu! Tumeshajua

Ni kuwashushia ka defender ka moja tu! Ka Maaskari wa kike, waliotoka depo uone km hawatajiharishia.

Tena kuwakomoa hiyo kazi tunawapa askari Watoto wao na mademu zao.tuliowafundisha sisi.

Kwa taarifa yako hiyo miradi aliiyoanzisha haita jiendesha ni hasara. Kwa nini isife???

Midege mikubwa iende wapi!! Kenya wanayo
Rwanda
Burundi
Uganda
Wote hawa wanataka abiria wa nje walete Dola watoke wapi..???

Wabongo kula yenu tu shida .. hela za kupanda hii makitu mtatoa wapi??
mna akili kweli??
 
Never a point domo-cracy gave a wealth. Time will put all this matters to light, either negatively or otherwise.
 
Huyo jamaa hafai hata kuitwa Hayati, kaharibu sana hiyo nchi
 
Ametuachia deni la Trillioni 18 katika kipindi chake cha miaka 5 tu. Hili pia linapaswa lilipwe.

sasa nchi isipokua na deni la taifa itaendelea vp? huezi lipa watu kwa tsh lazima uwe na deni, na lengo lake kuwepo apo sio lilipwe lote, ukisema ulipe deni lote nchi inacollapse, ndo maaana lipo apo na kuna kidogo unaziweka akiba BOT as backup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…