Kwa hali iyopo sasa viongozi wengi sana wataishia kuaibika maana watakua na kauli mbili zinazokinzana katika jambo moja.Umemshauri vizuri kwani bila hivyo itaonekana yeye ndoyo anayempinga kumbe ni kwakua watu wale wale wanafanya the opposite of what was there before
Hivi kumbe tulikuwa tunakopa?Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.Lugha ya ki layman utafikiri mtu hsta shule hakwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk
Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini
Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
To be fair kwa Magufuli na Samia nadhani ni vyema haya yakafanyika;
1. Rais aondoe team yote ya Magufuli , hii itamuwezesha kuja na watu anaowaamini na anaoona watafit kwenye vision yake na pia itawapunguzia mzigo team ya awamu ya tano kutengeneza mitazamo kinzani kwenye jambo moja.
2. Rais asimamishe miradi yote kwanza;
Aunde tume zake kama ile ya covid , ili zimshauri ni miradi gani ina tija na pia atuambie kama ataendelea nayo au la.
3. Atuambie yeye mwenyewe ana mipango gani ya maendeleo kwa Taifa.
Baada ya haya kufanyika , tutaendelea pale tulipoishia.
Uko sahihi ukiwa shambani unalima huhitaji press conference shambani ukilima!!! Ohh tumekuja kukosoa ulimaji wako ! Lazima uwakimbize na rungu sababu wanakuchelesha kulima na msimu wa kilimo unakaribia kwisha ndio Maana Magufuli alikuwa akisema watanzania tumechelewa sana!!Magufuli alikuwa kwenye ujenz wa nchi, hakutaka kelele kelele.
Mambo yasipoenda ni kosa la Magufuli pia.Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Ripoti ya CAG inafikirisha Sana. Ukiangalia kwa jicho pana Ina lengo la kuharibu legacy ya Hayati JPM. Imagine mtu anakuambia stendi kuu ya Mabasi ya Magufuli itasababisha zaidi foleni. Kwa maneno mengine, Bora tungebaki Ubungo walau Folen ingepungua.Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
CAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.Ripoti ya CAG inafikirisha Sana. Ukiangalia kwa jicho pana Ina lengo la kuharibu legacy ya Hayati JPM. Imagine mtu anakuambia stendi kuu ya Mabasi ya Magufuli itasababisha zaidi foleni. Kwa maneno mengine, Bora tungebaki Ubungo walau Folen ingepungua.
Anyway, Tanzania ni yetu sote Hakuna atakayeiharibu akabaki salama.
Msoga wamejiandaa kweli. Na fikra zangu juu ya hotuba ya mzee wa msoga pale Chato siku ya mazishi ya Hayati JPM kwamba hakua anamchukia zinazidi kuwa karibu na ukweli. Najua PM atakua analia kwa yanayoendelea na naamini ana siku chache ofisini. Hata hivyo, wawe makini, watanzania wanaona na wanajua yanayoendelea.CAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.
Watasema yote lakini kumuondoa Magufuli kwenye mioyo ya wanyonge itachukua miaka mingi.si rahisi hivyo
[emoji3][emoji3][emoji3] eti kageuka kuwa traffic wa magari nicheke mie, Ila huyu kicheree si aliteuliwa na mwendazakeCAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.
Watasema yote lakini kumuondoa Magufuli kwenye mioyo ya wanyonge itachukua miaka mingi.si rahisi hivyo
Well said..safiiiKijana shirikisha ubongo na akili kwa pamoja kwenye ku reason mada zako. Hakuna mtu anamu attack Marehemu Magufuli. Ni vitu vinajitokeza au vinatokelezwa na sasa vinaonekana. Bahati mbaya wakati wa utawala wake hakuruhusu hii.
Nikuulize kitu kirahisi kabisa, hivi unajua huyu CAG yeye Marehemu ndio alimleta baada ya kumtoa wa mwanzo? Sasa unahisi huyu CAG anamzunguka Marehemu?
Kwa uelewa wako, Marehemu alisema ATCL imepata faida ya bilioni 28 na huyu mtaalam wa ukaguzi anasema tumekula hasara ya mabilioni hapa unapendekeza tumuamini nani?
Unaamini Marehemu alikuwa ni binadamu wa kawaida na hence sio perfect au unawaza alikuwa Mungu ambae hakosei? Kama ni binadamu wa kawaida kwann unasumbuka kusikia anakosolewa?
Nikushauri kitu, kila uongozi una namna yake ya kutawala, utawala wa Magufuli ulishapita jifunze ndani ya moyo wako kuamini kuwa Magufuli amekuja na ameondoka sasa ni mama Samia. Nae atakuwa na mazuri yake na mapungufu yake na hazimiki kufuatisha mtindo wa utawala wa Magufuli. Yeye ni Rais kamili na ana uhuru kupanga serekali yake anavyoona yeye inamfaa
Mama amefanya vizuri kuyaweka haya mambo yawe hadharani maana angeficha ungekuwa mzigo kwake...Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Angeacha vyombo viwe huru akosolewe alipokuwa hai haya yasingekuwepo. Sasa hivi tungekuwa tunamsifia tu.Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake
Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.
Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai
Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge
Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Wana laana hao! Achana nao!Kwanini msubiri mpaka amekufa?. Anzeni kuwavua nguo awamu zote basi. Upuuzi mtupu.

CAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.
Watasema yote lakini kumuondoa Magufuli kwenye mioyo ya wanyonge itachukua miaka mingi.si rahisi hivyo