Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

Umemshauri vizuri kwani bila hivyo itaonekana yeye ndoyo anayempinga kumbe ni kwakua watu wale wale wanafanya the opposite of what was there before
Kwa hali iyopo sasa viongozi wengi sana wataishia kuaibika maana watakua na kauli mbili zinazokinzana katika jambo moja.

Bora wapumzishwe tu, tujue it's a new era, kuliko kuendelea tukilinganisha awamu , haitasaidia zaidi ya kucreate chaos kwenye jamii.
 
Ile kuzuia uhuru wa vyombo vya Habari na sheria mbovu ya mtandao nilijua lazima kuna Ufisadi mkubwa unalindwa. Si kwa udikteta Ile na kukandamiza kule. Funga kaburi na pingu .
 
Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.Lugha ya ki layman utafikiri mtu hsta shule hakwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk

Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini

Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Hivi kumbe tulikuwa tunakopa?

Eee mie toka tumeambiwa sie matajiri na tuanze kuwa dona kantri nikajua imekwisha.

Sasa hizo tirioni zote bajet ya mwaka 1 zimeenda wapi jamani.

Au ndo kuna watu wamezifungia ndani afu sie tulipe.
 
Miradi mikubwa iliyokwisha tumia mabilioni ya pesa mpaka sasa lazima agangamale imalizike hata kama tija yake itaonekana miaka 100 mbeleni. Kuicha njiani itakuwa hasara zaidi kwa pesa iliyokwisha tumika kupotea bure.
To be fair kwa Magufuli na Samia nadhani ni vyema haya yakafanyika;

1. Rais aondoe team yote ya Magufuli , hii itamuwezesha kuja na watu anaowaamini na anaoona watafit kwenye vision yake na pia itawapunguzia mzigo team ya awamu ya tano kutengeneza mitazamo kinzani kwenye jambo moja.

2. Rais asimamishe miradi yote kwanza;

Aunde tume zake kama ile ya covid , ili zimshauri ni miradi gani ina tija na pia atuambie kama ataendelea nayo au la.

3. Atuambie yeye mwenyewe ana mipango gani ya maendeleo kwa Taifa.

Baada ya haya kufanyika , tutaendelea pale tulipoishia.
 
Magufuli alikuwa kwenye ujenz wa nchi, hakutaka kelele kelele.
Uko sahihi ukiwa shambani unalima huhitaji press conference shambani ukilima!!! Ohh tumekuja kukosoa ulimaji wako ! Lazima uwakimbize na rungu sababu wanakuchelesha kulima na msimu wa kilimo unakaribia kwisha ndio Maana Magufuli alikuwa akisema watanzania tumechelewa sana!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Mambo yasipoenda ni kosa la Magufuli pia.

Alijenga mazingira ya kumtegemea mtu mmoja sana, kuliko kutegemea mfumo.
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Ripoti ya CAG inafikirisha Sana. Ukiangalia kwa jicho pana Ina lengo la kuharibu legacy ya Hayati JPM. Imagine mtu anakuambia stendi kuu ya Mabasi ya Magufuli itasababisha zaidi foleni. Kwa maneno mengine, Bora tungebaki Ubungo walau Folen ingepungua.
Anyway, Tanzania ni yetu sote Hakuna atakayeiharibu akabaki salama.
 
CAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.

Watasema yote lakini kumuondoa Magufuli kwenye mioyo ya wanyonge itachukua miaka mingi.si rahisi hivyo
 
Msoga wamejiandaa kweli. Na fikra zangu juu ya hotuba ya mzee wa msoga pale Chato siku ya mazishi ya Hayati JPM kwamba hakua anamchukia zinazidi kuwa karibu na ukweli. Najua PM atakua analia kwa yanayoendelea na naamini ana siku chache ofisini. Hata hivyo, wawe makini, watanzania wanaona na wanajua yanayoendelea.
 
CAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.

Watasema yote lakini kumuondoa Magufuli kwenye mioyo ya wanyonge itachukua miaka mingi.si rahisi hivyo
[emoji3][emoji3][emoji3] eti kageuka kuwa traffic wa magari nicheke mie, Ila huyu kicheree si aliteuliwa na mwendazake
 
Kijana shirikisha ubongo na akili kwa pamoja kwenye ku reason mada zako. Hakuna mtu anamu attack Marehemu Magufuli. Ni vitu vinajitokeza au vinatokelezwa na sasa vinaonekana. Bahati mbaya wakati wa utawala wake hakuruhusu hii.

Nikuulize kitu kirahisi kabisa, hivi unajua huyu CAG yeye Marehemu ndio alimleta baada ya kumtoa wa mwanzo? Sasa unahisi huyu CAG anamzunguka Marehemu?

Kwa uelewa wako, Marehemu alisema ATCL imepata faida ya bilioni 28 na huyu mtaalam wa ukaguzi anasema tumekula hasara ya mabilioni hapa unapendekeza tumuamini nani?

Unaamini Marehemu alikuwa ni binadamu wa kawaida na hence sio perfect au unawaza alikuwa Mungu ambae hakosei? Kama ni binadamu wa kawaida kwann unasumbuka kusikia anakosolewa?

Nikushauri kitu, kila uongozi una namna yake ya kutawala, utawala wa Magufuli ulishapita jifunze ndani ya moyo wako kuamini kuwa Magufuli amekuja na ameondoka sasa ni mama Samia. Nae atakuwa na mazuri yake na mapungufu yake na hazimiki kufuatisha mtindo wa utawala wa Magufuli. Yeye ni Rais kamili na ana uhuru kupanga serekali yake anavyoona yeye inamfaa
Well said..safiii
 
[emoji3][emoji3][emoji3] eti kageuka kuwa traffic wa magari nicheke mie, Ila huyu kicheree si aliteuliwa na mwendazake
Alimteua kuwa CAG sio askari wa Traffic wa kuangalia misongamano ya foleni za magari stendi!!
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Mama amefanya vizuri kuyaweka haya mambo yawe hadharani maana angeficha ungekuwa mzigo kwake...
So baada ya hapo sasa na yeye anaanza phase yake.
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Angeacha vyombo viwe huru akosolewe alipokuwa hai haya yasingekuwepo. Sasa hivi tungekuwa tunamsifia tu.

Alipokuwa hai alipenda sana sifa wacha kibao kigeuke.

It can not get worse than 2015 -2020
 
Ukaguzi wa CAG ni mpana sana, acheni ushamba.Haya ni baadhi ya maeneo tu.
1.Anakagua mifumo ya pesa kuingia na kutoka
2.Anakagua matumizi ya pesa kulingana na sheria
3. Anakagua thamani ya huduma au bidhaa kulingana na pesa iliyotumika
4.Anakagua uthabiti wa sera na sheria zinazohusu matumizi ya fedha
5.Anatoa mapendekezo
CAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.

Watasema yote lakini kumuondoa Magufuli kwenye mioyo ya wanyonge itachukua miaka mingi.si rahisi hivyo
 
Mungu aliona Jinsi mwendazake anavyotutesa akaona atupe ahueni kwa kumchukua mwendazake
 
Back
Top Bottom