Diazepam
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,263
- 3,523
Mkuu umeeleza vizuri sana. Sikuwa nafahamu naamini na hata ndugu zetu wanaoteseka, wale wa mapambio watakuwa wameelewa.Ukaguzi wa CAG ni mpana sana, acheni ushamba.Haya ni baadhi ya maeneo tu.
1.Anakagua mifumo ya pesa kuingia na kutoka
2.Anakagua matumizi ya pesa kulingana na sheria
3. Anakagua thamani ya huduma au bidhaa kulingana na pesa iliyotumika
4.Anakagua uthabiti wa sera na sheria zinazohusu matumizi ya fedha
5.Anatoa mapendekezo