Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

Ukaguzi wa CAG ni mpana sana, acheni ushamba.Haya ni baadhi ya maeneo tu.
1.Anakagua mifumo ya pesa kuingia na kutoka
2.Anakagua matumizi ya pesa kulingana na sheria
3. Anakagua thamani ya huduma au bidhaa kulingana na pesa iliyotumika
4.Anakagua uthabiti wa sera na sheria zinazohusu matumizi ya fedha
5.Anatoa mapendekezo
Mkuu umeeleza vizuri sana. Sikuwa nafahamu naamini na hata ndugu zetu wanaoteseka, wale wa mapambio watakuwa wameelewa.
 
Ukaguzi wa CAG ni mpana sana, acheni ushamba.Haya ni baadhi ya maeneo tu.
1.Anakagua mifumo ya pesa kuingia na kutoka
2.Anakagua matumizi ya pesa kulingana na sheria
3. Anakagua thamani ya huduma au bidhaa kulingana na pesa iliyotumika
4.Anakagua uthabiti wa sera na sheria zinazohusu matumizi ya fedha
5.Anatoa mapendekezo
Kwa hiyo CAG ni msemaji pia waTraffic kuhusiana na foleni na misongamano ya magari kwenye stendi za nchi hii? Kwenye ukaguzi wake wa mahesabu? Hakuna stendi ngumu kuingia na kutoka kama ya Makumbusho.Sijaona kwenye ripoti ya mheshimiwa msemaji wa Traffic CAG.Mwakani aweke kwenye ripoti yake
 
Pole sana ndugu, natamani kungekuwa na namna ya kumrejesha shujaa wako mtakatifu duniani aje kupokea version nyingine ya ripoti, ila ndo vile tena haiwezekani, pambana utazoea tu.
Mimi hiyo ripoti ya Trafic ya foleni toka kwa CAG naipokea na natambua rasmi na nashauri ripoti zote za foleni nchi nzima matraffic wawe wanazipeleka kwa CAG ili aziweke kwenye ripoti zake za mwaka
 
CAG kageuka Traffic wa kuangalia misongamano ya magari? Kuna kitengo cha Traffic office ya CAG ? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Lakini yote maisha.

Watasema yote lakini kumuondoa Magufuli kwenye mioyo ya wanyonge itachukua miaka mingi.si rahisi hivyo
Ahahahahahahahaha mnatamani sana CAG atumbuliwe kama mlivyofanya kwa ASAD baada ya ishu ya 1.5T kutojulikana ziliko
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Mtawala katili na mwongo.Usitetee maiti ya mfalme.Hatafufuka.
 
Kwa hiyo CAG ni msemaji pia waTraffic kuhusiana na foleni na misongamano ya magari kwenye stendi za nchi hii? Kwenye ukaguzi wake wa mahesabu? Hakuna stendi ngumu kuingia na kutoka kama ya Makumbusho.Sijaona kwenye ripoti ya mheshimiwa msemaji wa Traffic CAG.Mwakani aweke kwenye ripoti yake
Sasa hapa hoja yako ni nini? Hivi ulishawahi uliza shwali kama hili wakati YULE BALOZI WA TANZANIA NJE YA TANZANIA ANASEMA JPM MZIMA HAUMWI? Yeye alikuwa memaji wa serikali?
 
Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake

Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile.

Sasa hivi Marehemu anapondwa sana kuwa ohh alikuwa dikteta mara ohh alikuwa fisadi mara ohh staili yake haifai

Hakuna shida; cha msingi wananchi wanataka mambo yaende. Tukaneni matusi yote ila mwisho wa siku wananchi watalinganisha output yenu watukanaji na ya Magufuli kwenye kugusa maisha ya wananchi wanyonge

Marehemu Magufuli kila kona anakuwa attacked siyo kesi ila mambo yaende yasipoenda wananchi watawazomea kila kona Kila mtakakopita wadhalilisha Magufuli. Mtazomewa na kuambiwa Magufuli angekuwa hai hili lingefanyika na watawazomea.
Hahaaaa!!!MATAGA, mmeishiwa pozi!!!kila kona alikuwa anasifiwa sana kipindi hicho, kwani habari mbaya zote juu yake aliweza kuzizuia, na kuwaaminisha wengi kila kitu kiko sawa!!sasa upande wa pili umefunuliwa ndio haya mbona bado, toka kuwa SHUJAA WA AFRIKA, anaenda kuwa wa KITONGOJI CHA MLIMANI TU!!!Kweli leo mkuu wa praise timu umelala chali!!!???
 
Wewe unaropoka tu vitu ambavyo huelewi.
Kisheria CAG anakagua miradi mipya iliyomalizika na inayoendelea kutekelezwa kwa mwaka mmoja wa fedha au kama ataelekezwa na serikali au bunge kufanya ukaguzi maalum hata nje ya kipindi cha mwaka wa fedha husika.

CAG anapewea na serikali na bunge orodha ya mashirika,wizara, idara n.k anazotakiwa kukagua. Hakurupuki tu kama wewe unavyofikiria.
Kwa hiyo CAG ni msemaji pia waTraffic kuhusiana na foleni na misongamano ya magari kwenye stendi za nchi hii? Kwenye ukaguzi wake wa mahesabu? Hakuna stendi ngumu kuingia na kutoka kama ya Makumbusho.Sijaona kwenye ripoti ya mheshimiwa msemaji wa Traffic CAG.Mwakani aweke kwenye ripoti yake
 
Hakuna utawala mpya wala wa zamani wote wapiga madili tu. Tena utawala huu wa awamu ya sita, ndio utakuwa kama ule wa mzee ruksa shamba la bibi.
Bila Shaka huu ni Utabiri was Kuku Dhidi ya Mwewe!😂😂
 
Na hao ndio population kubwa ya Tanzania zaidi ya asilimia 80 na ndio wanyonge wenyewe waliompigia kura na ndio alijitahidi kuwapelekea miradi mingi na elimu bure nk

Ndio aliosimama nao.Lisu alisimama na wanaoielewa akaambulia kura milioni moja

Magufuli akasimama na wasiojielewa wenye elimu duni na uelewa duni na machinga na ma ntilie nk.

Nakubaliana na wewe alisima na wengi wa chini hakusimama na wachaje wa juu au middle class
Mkuu pole saaana....naona bado unapambana kumtetea......vipi mchakato was Mtakatifu umeanza!
 
Hajaacha deni tu acha uongo.kaacha vitu vilivyotumia hiyo pesa pia.Eti kaacha deni utafikiri hizo pesa alikopa akaenda kuweka pesa kwenye akaunti yake uswisi.Lugha ya ki layman utafikiri mtu hata shule hukwenda. Hiyo miradi kila mkoa na wilaya huioni au ? Elimu bure huioni au ? umeme kila kijiji huuoni au? barabara kila kona huoni au? vituo vya afya kote nchini huoni au nk

Kipindi chake nchi ilikuwa inakopesheka na madeni yalikuwa yanalipika bila shida.Wakopeshaji walituamini

Twende sasa ni challenge kwa serikali iliyopo itamudu kukopesheka na kulipa madeni na kuendesha miradi nchi nzima kama Magufuli alivyomudu? muda ni mwalimu mzui.let us wait and see tuone matusi kwa Magufuli kama yana mantiki
Wewe nawe unamchafua bila ya kujua, na hizi ndizo akili za "wamapambio"
Yeye alikuwa akipita kila kona akisema "hela zetu wenyewe", wewe unayeandika hapa "madeni" alikuambia lini?
 
Acha ujinga kasi kushinda kwenye vyombo habari mudawote namakanisa pekeake kutangaza churozake na wengine wasiongee,Leo kila alifanya ilikua mbinu....CCM ndo tatizo
 
Mkuu pole saaana....naona bado unapambana kumtetea......vipi mchakato was Mtakatifu umeanza!
watu wanachotaka mambo yaende pigeni miyowe yote sijui CAG kasema ohhh ohhh mwisho siku muelewe tu kuwa watu hawahitaji kelele wanataka miradi
Wewe nawe unamchafua bila ya kujua, na hizi ndizo akili za "wamapambio"
Yeye alikuwa akipita kila kona akisema "hela zetu wenyewe", wewe unayeandika hapa "madeni" alikuambia lini?
Kwani tulikuwa hatutumii hela zetu? Argument ya kitoto ya watu waliokariri vitabu .Kwani ukikopa mkopo.zile pesa anakulipia mkopo aliyekukopesha si unalipa kwa pesa zako mwenyewe.Wasomi wetu wana ujinga fulani hela u azowrxa kusema tumejenga sio kwa hela zetu ni za wafadhili tu wanaotupa bure lakini mkopo.ni pesa zako sababu utalipa kwa pesa zako

Magufuli alikuwa sahihi na mkopo unaulipa kwa pesa zako ulizokusanya ndani
Shida ya wasomi wetu kukariri vitabu .Madeni yako aina mbili ya nje na ndani na yote hulipwa kwa pesa zako mwenyewe.Sasa akikwambia tumejenga kwa pesa zetu huelewi nini?
 
watu wanachotaka mambo yaende pigeni miyowe yote sijui CAG kasema ohhh ohhh mwisho siku muelewe tu kuwa watu hawahitaji kelele wanataka miradi

Kwani tulikuwa hatutumii hela zetu? Argument ya kitoto ya watu waliokariri vitabu .Kwani ukikopa mkopo.zile pesa anakulipia mkopo aliyekukopesha si unalipa kwa pesa zako mwenyewe.Wasomi wetu wana ujinga fulani hela u azowrxa kusema tumejenga sio kwa hela zetu ni za wafadhili tu wanaotupa bure lakini mkopo.ni pesa zako sababu utalipa kwa pesa zako

Magufuli alikuwa sahihi na mkopo unaulipa kwa pesa zako ulizokusanya ndani
Shida ya wasomi wetu kukariri vitabu .Madeni yako aina mbili ya nje na ndani na yote hulipwa kwa pesa zako mwenyewe.Sasa akikwambia tumejenga kwa pesa zetu huelewi nini?
Nduli, Fashisti Jiwe alikua fisadi papa!!

Angekua msafi asingetumia nguvu kubwa namna ile kukaa gizani.
 
Wewe unaropoka tu vitu ambavyo huelewi.
Kisheria CAG anakagua miradi mipya iliyomalizika na inayoendelea kutekelezwa kwa mwaka mmoja wa fedha au kama ataelekezwa na serikali au bunge kufanya ukaguzi maalum hata nje ya kipindi cha mwaka wa fedha husika.

CAG anapewea na serikali na bunge orodha ya mashirika,wizara, idara n.k anazotakiwa kukagua. Hakurupuki tu kama wewe unavyofikiria.
Kilichonishangaza hata hawa MATAGA leo hawamtaki sieijii wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
watu wanachotaka mambo yaende pigeni miyowe yote sijui CAG kasema ohhh ohhh mwisho siku muelewe tu kuwa watu hawahitaji kelele wanataka miradi

Kwani tulikuwa hatutumii hela zetu? Argument ya kitoto ya watu waliokariri vitabu .Kwani ukikopa mkopo.zile pesa anakulipia mkopo aliyekukopesha si unalipa kwa pesa zako mwenyewe.Wasomi wetu wana ujinga fulani hela u azowrxa kusema tumejenga sio kwa hela zetu ni za wafadhili tu wanaotupa bure lakini mkopo.ni pesa zako sababu utalipa kwa pesa zako

Magufuli alikuwa sahihi na mkopo unaulipa kwa pesa zako ulizokusanya ndani
Shida ya wasomi wetu kukariri vitabu .Madeni yako aina mbili ya nje na ndani na yote hulipwa kwa pesa zako mwenyewe.Sasa akikwambia tumejenga kwa pesa zetu huelewi nini?
Pumba kabisa!!!
Halafu upo unasema "wasomi wetu"!! Kama unatoa hizi "arguments" na unadhani waweza wasema hao unaowaita "wasomi wetu" nenda shule tena nawe uwe tu kati ya hao "wasomi wetu".
Nyerere alikopa, Mwinyi alikopa, Mkapa alikopa na JK alikopa! Uliwahi wasikia wakisema hela zetu za ndani?? Aliyeanzisha SGR si ni JK na alishaingia mkataba wa mkopo, alishindwa nini kutembea TZ nzima ajitambe tunajenga kwa hela za ndani? Kila nchi duniani inakopa, ni nchi gani ushawahi kuisikia wakiita mkopo hela ya ndani? Ama wewe hela yako ya ndani huwa unajipa na riba?
 
Huu ni mtazamo wako mnufaika? Hali ni tofauti Sana huku ground kwani Ile furaha iliyokosekana kwa miaka 6 imerejea kwa kasi ya ajabu!
Chuki kweli ni wazi mno Sasa hivi hasa kwa waajiriwa wa kada mbalimbali za serikali morali ya kazi imeongezeka mno baada ya kufanya kazi kwa tension bila maslahi yao kujaliwa!
Wananchi wamemchukia zaidi baada ya ripoti ya cag kuwekwa hadharani na ufisadi wa serikali yake kupitia miradi kanjanja! Yaani watu wanamponda mno kitaa!
Nenda kaseme au umtukane Magu hadharani ndo utajua ... Kumsema marehemu vby sio vyema ndg yangu
 
Nduli, Fashisti Jiwe alikua fisadi papa!!

Angekua msafi asingetumia nguvu kubwa namna ile kukaa gizani.
Basi kamalikuwa nduli,fashisti na fisadi mzuri .Mtu anakwapua pesa halafu anapekeka umeme kila kijiji na Elimu bure nchi nzima na zahanati nchi nzima na miradi ya barabara hadi vichochoroni .mistandi kibao hadi mingine inaitwa stendi ya Ndugai hilo fisadi na fashisti na nduli wananchi tunalikubali sababu lilikuwa linakwapua na kuwapelekea wanyonge miradi kibao

Lingebaki liendelee kufisadi na kupelekea wanyonge

Haya tunasubiri msio nduli na mafashisti na msio mafisadi tuone kama spidi ya maendeleo kwa wanyonge ya hilo nduli,fashisti na fisadi tuone kama spidi hiyo mtaiweza.Tuone nani zaidi kati ya nduli fashisti na Fisadi na ambao sio nani zaidi .Wanyonge ndio watakuwa mahakimu kwa hili
 
Nyerere alikopa, Mwinyi alikopa, Mkapa alikopa na JK alikopa! Uliwahi wasikia wakisema hela zetu za ndani??
Kwani wao miungu .Ndio walikosea .Deni unalipa kwa hela zako halafu unasema eti.nimefanya kwa pesa za mtu nje akili zimo wewe?
 
Back
Top Bottom