Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais wawekezaji wangekuwa wameshakimbia wote

Upuuzi mtupu!
 
Yaani mwekezaji aogope eti kisa wapinzani wamezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa? Ebu kuweni na aibu kidogo basi. Punguza kujidharirisha basi inatosha. Hivi wabongo huwa tunafikiri kuna nchi inayojari hizi biashara tunazoziita siasa?
Shida hujasoma economics. Democracy is a key point to investment since investors can choose channel his thoughts to anybody and be heard. Democracy guarantees rule of law of which investors are interested.
 
Magufuli mara ya mwisho alikuwa na wawekezaji kule Kabanga Nikeli.
Wawekezaji makanjanja wakeshatema bungo. Wazalengo wangekuwa nchini kama wote.
 
Wawekezaji wa kweli wangekuepo ila wakezaji uchwara kama do world na wale wa bagamoyo port wangekuwa wangetafuta mashimo ya kujificha
 
Wawekezaji wa kweli wapo ila hao makanjanja na matapeli wako kina mwingira lazima wapotezwe tu
Principal za uchumi zinaseam hivi. If you want to make yourself better off you have to make someone worse off. Hii inaitwa pareto optimality. Kwa misingi hii hakuna mwekezaji wa kweli hata mmoja hata akina trump au elon musk wameiba sana
 
Je hukuona ile barua ya mabalozi waliolalamika kuhusu kufungiwa akaunti zao? Je hujaona rais aliyesema Dkt Magufuli anakodi za kukusanya kwa mtutu wa bunduki na yeye atakusanya kimdebwedo na walipa kodi wataenjoy na kaunda tume. Usiwe lijinga la kumsingizia Dkt Magufuli. Kwa taarifa yako kipindi cha Dkt Magufuli maisha yalikuwa predictable na wafanya biashara walikuwa na uhakika wa kulipa kodi lakini siyo leo ambapo kodi zinafujwa na hawaoni umuhimu wa kulipa kodi
 
Principal za uchumi zinaseam hivi. If you want to make yourself better off you have to make someone worse off. Hii inaitwa pareto optimality. Kwa misingi hii hakuna mwekezaji wa kweli hata mmoja hata akina trump au elon musk wameiba sana
Ndo maana wezi wengine kama kina efatha walivyosanukiwa na JPM wakasepeshwa hatuwezi kuwa na benki uchwara kama ya efatha harafu iumize wananchi harafu serikali isiingilie kati
 
Hebu jifunze kuficha mapungufu yako kijana,unanukia ujuaji sanaa.
 
Mbona biashara zilifinga sana tena nyingi. Pale manzese ulikuwa ukienda mahoteli yote yamefunga ni vilio kwa kwenda mbele. Kariakoo maduka mengi yamefungwa ni kilio kila kona
 
Sasa bila mwekezaji huo unakuwa ni uchumi? Ajira nani atazitoa au watu wangeishi bila kula na maisha yakae da tu. Unaongea kama layman usiyejua chochote
Hebu weka upumbavu wako pembeni? Madini yanaoza? Jibu ni hayaozi.Sasa kuna haja gani ya kusaini mikataba mibovu yakinyonyaji mpaka kuwatoa wamasai ngorongoro mkawape wawekezaji? Dont be a fool.

Tumegawa badadari ya Dar gate number 1-5 lakini anaekusanya Whalfage ni mgeni na inaingia kwa account yake.
Kisha akupe gawio? Unaelewa maana ya Whalfage? Ni mambo ya hovyo sanaaa.Mbona hawakukimbia alipokuwepo Magufuli walibaki na wakacomply ?
Unajua Twiga Minerals ni jitihada za Marehemu Magufuli mapaka serikali sasa ina hisa 15%.
Kama wanafuata sheria na mikataba yao ni haki kwanini wakimbie.

Leo Hii serikali ya Mama imesaini mikataba ya hovyo na kufanya ni Siri.

Siri gani kama sio upigaji .
 
Hivi umeshawahi kuona maiha yanasubilishwa kwamba watu wafe kwanza halafu maendeleo yaje. Tanzania una technolojia gani ya kuchimba madini au kuendesha bandari? Yaani tuwe maskini ni rasilimali tunazo, huo si ujinga aliouleta nyerere na jpm. Madini lazima yachimbwe kwa namna yoyote ili serikali kupata mrahaba na kodi.

Unachosema ni sawa na masai kuwa na ngo'mbe mia mbili halafu anashindia matembele na hana pa kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…