Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

Kwanini hujawahi kusema meli ya mv Victoria aliyesimamia iwepo Tanzania hawezi kusahaulika?

Hivi nyinyi chawa wa jiwe aliwaroga na dawa gani jamani?
Neno chawa hutumiwa na wale wanaoshindwa kujenga hoja sawa na zile wanazozisoma mahali hivyo kukimbilia kutukana watu kwa kuwaita chawa.

Ukimsifu SSH unaitwa chawa wake ukimsifu Hayati JPM unaitwa chawa wake!, bull shit.
 
Sisifii tu bila ya sababu za msingi. ATCL ilikuwa imekufa miaka mingi?, mbona waliokuwepo walikuwa wanaahirisha ufufuaji wake?.

Dodoma kila rais alishindwa kuhamia wakija na visingizio vingi tu, leo nchi ipo Dodoma.

Kama hujapoteza ndugu pale ziwani wakati wa kusafiri huwezi kuelewa umuhimu wa ile meli mpya.
 
Ni rahisi kuropoka maneno ukiwa nyuma ya keyboard mbali kabisa na shida za usafiri za watu wa kanda ya ziwa,

Unajua idadi kamili ya waliokufa siku ile pale ziwani wakati meli ilipozama?.
 
Kalagabao. .mkapa kasahaulika na wakati ndo aliinua nchi kiuchumi kuzidi hata jpm wako. Kajenga mkapa stadium, kaanzisha T.R.A haikuwepo awali. Na vingi kibao. Yaani jpm ambaye kaua watu hivyo ndo akumbukwe?
 
Unajua kuwa Mkapa huyo huyo alimuua Imran Kombe aliyekuwa bosi wa usalama wa taifa wakati ule?.

Kaulize mwaka 2001 kule Unguja waliuliwa wangapi na Mkapa huyo huyo kwa mabomu ya kudondoshwa na ndege za kivita wakati wakikimbilia Mombasa.
 
Kwa hiyo unajustify mauaji aliyoyafanya jpm kwa kusema hata mkapa alifanya au siyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…