Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ilikuwepo ila meli imekwisha fika mbali, subiri ikirudi.Picha ya meli ikwapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwepo ila meli imekwisha fika mbali, subiri ikirudi.Picha ya meli ikwapi?
Hayo najitu hayajaamini kuwa Tanzania sasa hivi tupo awamu ya 6 chini ya mama Samia.Kupe wa jiwe mnakazi kwel
Kizuri kinajiuza kibaya chajitembeza sasa nyie endeleeni kumtembeza tu mbaya mbaya tu
Unateseka unayeishi mafichoni mimi nipo napasua vidali tuMbona unateseka sana?
Sawa my wife endelea unenepeUnateseka unayeishi mafichoni mimi nipo napasua vidali tu
Tumeisha msahafu, mungu ni fundiJPM anabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania.
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya maisha ya mtumishi wake hakika aliletea Taifa mwanga.
Tanzania inamkumbuka na itandelea kumkumbuka daima.
Lile basi la Lissu vipi tena?Corona inatibika
Sana tuTumeisha msahafu, mungu ni fundi
To hell with the lunaticMarais wangapi wenye uthubutu wa aina hiyo?. Uzalendo wa hali ya juu.
Kumsahau ni swala lako binafsi.
Neno chawa hutumiwa na wale wanaoshindwa kujenga hoja sawa na zile wanazozisoma mahali hivyo kukimbilia kutukana watu kwa kuwaita chawa.Kwanini hujawahi kusema meli ya mv Victoria aliyesimamia iwepo Tanzania hawezi kusahaulika?
Hivi nyinyi chawa wa jiwe aliwaroga na dawa gani jamani?
Sisifii tu bila ya sababu za msingi. ATCL ilikuwa imekufa miaka mingi?, mbona waliokuwepo walikuwa wanaahirisha ufufuaji wake?.Hakuna rais ambaye hajaacha kitu ambacho ni tangible. Jpm naye kama wengine wakati wa kipindi chake hivyo ulivyoorodhesha vimejengwa. Kumbuka pia tangu awamu ya kwanza, pili, tatu na nne kila awamu imeacha alama fulani. Na kazi ya serikali ni hiyo hivyo tuache ujinga wa kusifiasifia utadhani rais anatoa hisani.
Ni rahisi kuropoka maneno ukiwa nyuma ya keyboard mbali kabisa na shida za usafiri za watu wa kanda ya ziwa,Eti abiria 2700!!!ki ukweli hakukuwa na umuhimu huo kwani iliyopo Mv.victoria ina toshereza sana na hata hao abiria inayotakiwa kubeba haiwapati hata nusu nusu yake,sembuse hao abiria 1200!!!?Huo nao ni mmoja wa miradi isiyo na tija kama ile mingine.Bora hata hiyo meli ingekuwa ziwa Tanganyika kule ki uhalisia kuna matatizo ya usafiri hasa,
Baba yako tunamkumbuka kwa lipi au kwa kutoa shahawa yako chafuTumemsahau Nyerere aliyejenga Tazara atakuwa huyo dikteta Kwa sababu ya kimeli tuu?
Kenge wewe uliyesoma na kuumizwa moyoni.Kenge wewe!
Elewa vizuri huo uzi na punguza chuki zisizo na msingi.Na waliojenga UDOM unawaitaje? Acha mahaba academia wewe.
Unajua kuwa Mkapa huyo huyo alimuua Imran Kombe aliyekuwa bosi wa usalama wa taifa wakati ule?.Kalagabao. .mkapa kasahaulika na wakati ndo aliinua nchi kiuchumi kuzidi hata jpm wako. Kajenga mkapa stadium, kaanzisha T.R.A haikuwepo awali. Na vingi kibao. Yaani jpm ambaye kaua watu hivyo ndo akumbukwe?
Wewe ndiye mwenye chuki dhidi ya viongozi wengine waliopita kama vile huyo unayemsifia alikuta nchi ni wonderland.Elewa vizuri huo uzi na punguza chuki zisizo na msingi.
Kwa hiyo unajustify mauaji aliyoyafanya jpm kwa kusema hata mkapa alifanya au siyo!!Unajua kuwa Mkapa huyo huyo alimuua Imran Kombe aliyekuwa bosi wa usalama wa taifa wakati ule?.
Kaulize mwaka 2001 kule Unguja waliuliwa wangapi na Mkapa huyo huyo kwa mabomu ya kudondoshwa na ndege za kivita wakati wakikimbilia Mombasa.