Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watamkumbuka chawa wakeMtanikumbuka
Bora nyumbani kwenu kwa shemeji yako anayekulisha bureJPM anabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania.
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya maisha ya mtumishi wake hakika aliletea Taifa mwanga.
Tanzania inamkumbuka na itandelea kumkumbuka daima.
Pongezi kutoka kwa chawa kama weweHakuna asiyefaham ukweli huu, anastahili pongezi kwa kweli.
Alafu kwa fedha zetu tena!Tumemsahau Nyerere aliyejenga Tazara atakuwa huyo dikteta Kwa sababu ya kimeli tuu?
Huna akiliMarais wangapi wenye uthubutu wa aina hiyo?. Uzalendo wa hali ya juu.
Kumsahau ni swala lako binafsi.
Mfuateni alikoWell said mkuu, msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wewe utakuwa ni musibaKwamba unataka kusema mtu asisifiwe kwa kazi yake nzuri aliyoifanya, ila akosolewe kwa mabaya tu! Meli yako siipandi maana imeegemea upande mmoja, kuzama sio ajabu… Mkeo akikukatikia vizuri husemi asante japo kuwa ni wajibu wake! You’re the ungrateful bustard.
Wanatetea uhalifuEti abiria 2700!!!ki ukweli hakukuwa na umuhimu huo kwani iliyopo Mv.victoria ina toshereza sana na hata hao abiria inayotakiwa kubeba haiwapati hata nusu nusu yake,sembuse hao abiria 1200!!!?Huo nao ni mmoja wa miradi isiyo na tija kama ile mingine.Bora hata hiyo meli ingekuwa ziwa Tanganyika kule ki uhalisia kuna matatizo ya usafiri hasa,
Tena asiye na magambaKenge wewe!
Corona inatibikaUnawatibua makamanda uchwara.
ule mzigo ulipo china tunautaka.JPM anabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania.
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya maisha ya mtumishi wake hakika aliletea Taifa mwanga.
Tanzania inamkumbuka na itandelea kumkumbuka daima.
Pia vijakazi wake walikuwa wanaandaa mazingira ya upigaji kupitia humo humoYule mshikaji alikuwa mbadhirifu sana ili kutaka sifa za kijinga
Umeonaeeeeeee?Na waliojenga UDOM unawaitaje? Acha mahaba academia wewe.
Hiyo ndiyo akili ya chawa watuJamani tumpongexe Rais kwa kutengeneza miundombinu kupitia kodi za wananchi, haya ni maajabu makubwa sana duniani.
Mbona unateseka sana?Pongezi kutoka kwa chawa kama wewe