Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

JPM anabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania.

Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya maisha ya mtumishi wake hakika aliletea Taifa mwanga.

Tanzania inamkumbuka na itandelea kumkumbuka daima.
Bora nyumbani kwenu kwa shemeji yako anayekulisha bure
 
Kwamba unataka kusema mtu asisifiwe kwa kazi yake nzuri aliyoifanya, ila akosolewe kwa mabaya tu! Meli yako siipandi maana imeegemea upande mmoja, kuzama sio ajabu… Mkeo akikukatikia vizuri husemi asante japo kuwa ni wajibu wake! You’re the ungrateful bustard.
Wewe utakuwa ni musiba
 
Eti abiria 2700!!!ki ukweli hakukuwa na umuhimu huo kwani iliyopo Mv.victoria ina toshereza sana na hata hao abiria inayotakiwa kubeba haiwapati hata nusu nusu yake,sembuse hao abiria 1200!!!?Huo nao ni mmoja wa miradi isiyo na tija kama ile mingine.Bora hata hiyo meli ingekuwa ziwa Tanganyika kule ki uhalisia kuna matatizo ya usafiri hasa,
Wanatetea uhalifu
 
Back
Top Bottom