Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi


Kama hakukuwa na nia mbaya kwanini hakupata idhini ya bunge?
 
Nisiwe mnafiki, sikuwahi kumkubali Bwana yule, Sikupenda aina yake ya utawala. Ila baada ya Chifu Kuchukua Hatamu, Nimekuja Kugundua Bwana yule alikuwa Bonge la Kiongozi, Tena Kiongozi anayetenda.

Mtu yule angeruhusu tu Uhuru wa Vyombo vya Habari na kuiachia Demokrasia angekuwa The Best President we ever had. Lakini ndio hivyo wengi tumechelewa kuujua umuhimu wake, Ukimtoa Mwalimu yule hakuna hata wa kuifikia Nusu ya Bwana yule kwa ubora kama kiongozi.

Kwa sasa tuyafurahie yale aliyoyafanya na kuyaenzi.

Huko aliko aendelee Kupumzika!
 
Ni wenye upeo tu watakaokuelewa mkuu, shukrani sana
 
Ukweli tupu mkuu!
 
Matajiri wasio lipa kodi ni wezi na hswatakiwi kuwepo!
 
Watu wasiojulikana,wameisha.watu kwenye viroba beach,hakuna.bunge la hovyo la ccm,lipo.mikopo ya Siri kujenga sgr,bwawa la Nyerere hakuna.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Rais Samia Suluhu anafanya mala mbili yake
 
Ndio maana alisema mtamkumbuka, hii nchi ilishaondolewa mikononi kwa wanyonyaji ila imerudishwa huko kwa nguvu na kasi ya ajabu. Watanzania tumeurudia uyatima wa miongo miwili iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…