Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Tuwekee link ya mikataba yote iliyosainiwa baada ya kifo chake.
Ulichokiandika hakihusiani na kinachojadiliwaKama Mbowe anavyoficha " maridhiano"
Tundu Lisu: Kinachozungumziwa kwenye maridhiano ni Siri kwa sasa
Kwenye hii Habari ambayo ni muhimu sana hata sehemu moja hujataja source halisi ya Habari, wala hata hujaleta evidence yoyote ile, umefikiria tu na kuandika.Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Ona sasa huyu.Narudia tena aliyeweka hilo takes hakua mjinga. Teteeni panapofaa. Penye walakini nyoosheni mikono mkemee. Halafu kwa upumbavu unafikiri biashara ya kimataifa unafanya kwa sport money...
Komenti yako ya ajabu sana kuhusu "syujaa"!Kama alipiga cha juu kuna ubaya gani?
Mbona ndege zinazidi kupokelewa
na hizi zinazonunuliwa sasa ameambiwa bei yake ni kiasi gani?Kama alipiga cha juu kuna ubaya gani?
Mbona ndege zinazidi kupokelewa
Siku ukisoma international finance ndo utanielewa. Ukiwa mbumbumbu wa vitu usidakie dakie tu. Sijasema mkopo nimesema huwezi kulipa cash upfront. Huo ni ujinga. Unalia on delivery. Not siku ya kuorder.Ona sasa huyu.
Ulitaka anunue kwa mkopo huku keshi anayo?
Kichwa chako kishaanza kumezwa na wadwanzi bila wewe kujua. Ukabila unaujua wewe?. Wasukuma wangapi walikuwa pale ikulu?. Mko sensitive na mambo ya kijinga sana mmaacha ya maana.
Ona sasa unavyojichanganya?. Unalia hukupewa mkataba. Hayo ya kulipa umeyajuaje?Siku ukisoma international finance ndo utanielewa. Ukiwa mbumbumbu wa vitu usidakie dakie tu. Sijasema mkopo nimesema huwezi kulipa cash upfront. Huo ni ujinga. Unalia on delivery. Not siku ya kuorder.
CAG has unrestricted access to all contracts entered by the government. If some are hidden, it raises questionsSame old story everyday, hebu tutajie mkataba mmoja tu uliowahi kuwekwa wazi na serikali ya CCM tukauona?
Ukishindwa kufanya hivyo, tujibu; kwanini tusiamini nyie wapinzani maslahi mnatumiwa na walamba asali ili kufanikisha malengo yao?
Braza vote(kasma) ya ikulu ulishawahi kuona ukaguzi wake? Ukitaka kuficha kitu Tanzania hii kipeleke ikulu. Ukaguzi wa vote ya ikulu hata ukifanyika hauwekwi hadharani.Kwenye hii Habari ambayo ni muhimu sana hata sehemu moja hujataja source halisi ya Habari, wala hata hujaleta evidence yoyote ile, umefikiria tu na kuandika...
Andiko la kimasikini sana !Kama alipiga cha juu kuna ubaya gani?
Mbona ndege zinazidi kupokelewa
Wewe unadhani hela za kuwanunueni na kuwalambisha huwa zinatoka wapi?Andiko la kimasikini sana !
Atasemwa tu na ikibidi ataburuzwa mahakamaniSifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Hizi ndege ni janga kubwa kitaifa, mengi mtayajua baadaye.Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Suala sio ndege kupelekwa ikulu swala ni Ndege kua chini ya Tanzania Government Flight Agency (TGFA) shirika ambalo lipo chini ya Ikulu na ambalo linasimamia ndege zote za serikali, na kwa mfumo uliopo sasa ndege zote zinazonunuliwa na serikali zipo chini ya TGFA then zinakua leased kwa ATCL hii iliwekwa makusudi kuzuia makosa yaliyofanyika kati ya ATC na SA airline yasijirudie, km mnataka zisiwe chini ya ikulu lipelekeni hilo shirika likawe chini ya wizara ili watu wakibinafsisha tena ATCL ndege zipotee tena km za ATC.Braza vote(kasma) ya ikulu ulishawahi kuona ukaguzi wake? Ukitaka kuficha kitu Tanzania hii kipeleke ikulu. Ukaguzi wa vote ya ikulu hata ukifanyika hauwekwi hadharani. Je ndege Zina umuhimu Gani huo mpaka ziwekwe kwenye kasma inayokaguliwa bila kutolewa taarifa hadharani?
Kama suala ni umiliki wa GFA hata sasa tuna ndege imeshikiliwa uwanja wa ndege uholanzi. Hata ukiweka chini ya ikulu lazima tu zishikwe maana inayoshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Swala sio ndege kupelekwa ikulu swala ni Ndege kua chini ya Tanzania Government Flight Agency (TGFA) shirika ambalo lipo chini ya Ikulu na ambalo linasimamia ndege zote za serikali...