Halafu hakuna chuki binafsi. Kila mtanzania ana hisa Moja kwenye nchi. Ninayo hisa kama yeye so naruhusiwa kuuliza.Swala sio ndege kupelekwa ikulu swala ni Ndege kua chini ya Tanzania Government Flight Agency (TGFA) shirika ambalo lipo chini ya Ikulu na ambalo linasimamia ndege zote za serikali...
Well saidSwala sio ndege kupelekwa ikulu swala ni Ndege kua chini ya Tanzania Government Flight Agency (TGFA) shirika ambalo lipo chini ya Ikulu na ambalo linasimamia ndege zote za serikali...
Naomba ujitahidi usome uelewe sio unasoma ili ujibu.Kama suala ni umiliki wa GFA hata sasa tuna ndege imeshikiliwa uwanja wa ndege uholanzi. Hata ukiweka chini ya ikulu lazima tu zishikwe maana inayoshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mkuu kwenye hili la mikataba ya manunuzi na mikataba mingine tusimlaumu JPM cz huu ni utaratib wa utawala wetu!! Nadhan lawama ziende kwa watawala wote na serikali yao!!! Labda tu useme kwakua alinadi ni mzalendo ndo maan!Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Ukiona mtu ananunuwa ndege kwa cash basi ujuwe hapo anafosi ten Percent yake mapema tu.Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Yani wewe Jua SANA unaweza upigaji Tu. Tahira wewe. Jibu hojaKama alipiga cha juu kuna ubaya gani?
Mbona ndege zinazidi kupokelewa
Tena hiyo ndege ni mtumba haitoshi kulipa deni wanavizia nyingine au vichwa vya treni au vipuli vya bwawa kazi kweri kweri dhuluma hailipi Watanzania wajifunza hilo haraka kesi ziko nyingi ambazo zinaiva na mali zitaviziwa mpaka kielewekeKama suala ni umiliki wa GFA hata sasa tuna ndege imeshikiliwa uwanja wa ndege uholanzi. Hata ukiweka chini ya ikulu lazima tu zishikwe maana inayoshitakiwa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Objective commentSwala sio ndege kupelekwa ikulu swala ni Ndege kua chini ya Tanzania Government Flight Agency (TGFA) shirika ambalo lipo chini ya Ikulu na ambalo linasimamia ndege zote za serikali...
Kama alipiga cha juu au cha chini ,mbona mama yako anasafiria mpaka nje ya nchi?Tuliza matako yako chini ww unateseka na mtu ambaye hayupo.Angekuwepo ingekuwa unaharisha.Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege.
Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege?
Taarifa zilizopo ni kwamba kulikuwa na usiri mkubwa juu ya nyaraka za manunuzi.
Nyaraka alikuwa anatembea nazo Magufuli mwenyewe. Hakutaka umma ujue chochote kama vile zilikuwa ndege binafsi.
Mdhibiti alipoomba kuona chochote walimwambia aende kwa Rais. Hii ilikuwa tafsida tu ila ilimaanishwa endelea na mambo mengine. Kitaalamu tunaita Intimidation Threat.
Mpaka anafariki hakukuwahi kujibiwa kwanini kulikuwa na usiri kwenye mchakato.
Je, alipiga cha juu? Mteteeni basi na hili. Msiseme alishaondoka asisemwe ile sio mali binafsi ni ya umma.
Tanzania ilishawahi kuwa na raisi mpumbavu. mpumbavu pigia mstari neno mpumbavu huyo ni aliyeitwa MAGUFULI. jamaa aliyekuwa mpumbavu haswaMwizi lazima afiche ushahidi.
Kumbe na wewe umeona mkuu Yani upinzani bado unapambana na awamu ya Tano mpaka leo hata hawajielewi watupnyeshe basi mikataba ilio wazi baada ya kifo chakeSame old story everyday, hebu tutajie mkataba mmoja tu uliowahi kuwekwa wazi na serikali ya CCM tukauona?
Ukishindwa kufanya hivyo, tujibu; kwanini tusiamini nyie wapinzani maslahi mnatumiwa na walamba asali ili kufanikisha malengo yao?
Ndiyo.Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Acha usukuma gang, ishu manunuzi kutokuwa wazi,Kwamba hujawi kusikia hata bei zake zikitajwa?.
Wewe endelea kupanda ndege kama mambo mengine huyajui. Nchi ina paa hewani, hadi India, China n.k kwa sasabu ya Mtu makini.
Ila si ndege zilikuja na zinaitwa Bombadia?Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege...
Hiyo ni siri , likiwekwa wazi legacy chali na Sukuma gang watasema mama anamuumbua mtangulizi wakeKwani bado halijapatikana mpaka Sasa.
Hayo mbona hayahusiki? Swala ni kuwa jarada la ununuzi wa mali ya umma liko wapi mbona imekuwa siri sana kwani kina nini kinafichwa? Kivuko alikikimbizia jeshini kukwepa maulizoamewanunulia ndege, endesheni shirika sasa lilete faida na liwe na manufaa kwa watanzania.
Shirika lilikuwa na ndege moja tu choka mbaya na mamia ya wafanyakazi wakilipwa mishahara ya bure na wengine hewa.
Kawanunulia midege na kuajiri watendaji sambamba na idadi yan ndege.
Huwezi pata mzee,nchi ishauzwa huko kwa wachimba madini kwa dola 300 na bado tunaombwa kuchangia ujenzi wa madarasa..hii nchi watu wanaitaji kupigwa tu vyuma kama Lissu.Tuwekee link ya mikataba yote iliyosainiwa baada ya kifo chake.
Kwanza kwajina lako hili sizani ata kama ulishawi panda ndegeZile ndege ilikuwa wizi mtupu bin ujambazi bin ufisadi bin ujangili!
Anyway, Mola alishamaliza kesi yetu ila tuzidi kumlaani milele!
Jf imevamiwa na kundi la wapumbavu kutoka FBKwamba hujawi kusikia hata bei zake zikitajwa?.
Wewe endelea kupanda ndege kama mambo mengine huyajui. Nchi ina paa hewani, hadi India, China n.k kwa sasabu ya Mtu makini.