Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

Zilinunuliwa bei gani?
 
Sitasahau alivyoihamishia Ile ndege ya mchongo aliyoinunua kwa jeshi hlf akaja akadai vitu vya jeshi haviruhusiwi kusemwa semwa 😅😅😅
 
Ndiyo maana alilipa hela yote ili ajipimie mwenyewe mgao wake. Yule alikuwa fisadi nyangumi haswa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ona sasa huyu.

Ulitaka anunue kwa mkopo huku keshi anayo?

Kichwa chako kishaanza kumezwa na wadwanzi bila wewe kujua. Ukabila unaujua wewe?. Wasukuma wangapi walikuwa pale ikulu?. Mko sensitive na mambo ya kijinga sana mmaacha ya maana.
Hakuna nchi inanunua ndege keshi ww!
 
Mjadala wa manunuzi ya ndege ulifanyika bungeni tafuta hansard kabla hujaandika chochote.
 
Alihamishiwa kampuni ya ndege za serikali ikulu Ili CAG prof ASSAD asifanye ukaguzi.

mZiLaNkeNdE hakuwa mtu mzuri

Huwa nashangaaga sana his henchmen na Chawa wake wakilalal eti legacy yake inavurugwa legacy ipi!?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ten percent,Kuna Cha Juu hapo Wale wanaojiita Wazalendo aliokuwa anawatumia wamepiga 😁😁
 
Endelea kumsafisha aliyechafuka kwa 'greese ' mwili mzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…