Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Naona wengi mmeshindwa kuelewa context yang kbs!Wenye hekima ni akinane,yaan hekima unayotaka mtu aibe pesa za umma ,halafu aitwe abembelezwe halafu aitwe stupid,iishie hapo hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wengi mmeshindwa kuelewa context yang kbs!Wenye hekima ni akinane,yaan hekima unayotaka mtu aibe pesa za umma ,halafu aitwe abembelezwe halafu aitwe stupid,iishie hapo hapana
Tusiwaone hapa mnaleta mjadala wa bandari tulieni mnyooshwe na bi mkora!Tulishatoka utumwani kwa lile shetani lenu la Chato.
Twamuomba sana Mungu asitupe tena jaribu la kutuletea jitu hatari kama lile
Mtu unaweza kumfahamu kwa matendo yake tuunamfahamu rais magufuli personally?
Binadamu hawezi kuwa na pande mbili ama atakuwa na front and hind.C kila mwenye ubongo ana akili!! Rudi kusoma context yang tena!! Hakuna sehem nimesema bora kuuza Nchi.
Mwamba JPM, umetufundisha makubwa sana"Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana"
Hayati Rais John Pombe Magufuli.
View attachment 2689631
Hizi ni mbinu chafu za wapinzani wa DPW kujifanya wanamkumbuka sana JPM, huyu hayati Magufuli ndiye aliyejenga reli ya SGR kwenda Kigali na imekula trilioni 17 mpaka muda huu inapokaribia kumalizika."Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana"
Hayati Rais John Pombe Magufuli.
View attachment 2689631