Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya walio hai? Kwann usisubiri raisi akifariki au kumaliza muda wake ndo ulinganishe? Unalinganisha waliomaliza utendaji na wanaotenda? Wanaotenda wana nafasi, waliomaliza hawana tena hiyo nafasi.JPM hana mpinzani.
Ila ngosha saa nyingine alikua anajiformat ubongo wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
Tuna Marais wanne waliomaliza muda wao (Magufuli hakumaliza) mpaka sasa.Kati ya walio hai? Kwann usisubiri raisi akifariki au kumaliza muda wake ndo ulinganishe?
Akishakuwa hana mpinzani? Logic behind ni nn?Tuna Marais wanne waliomaliza muda wao (Magufuli hakumaliza) mpaka sasa.
Kati yao ni Nyerere tu ndio walau anaweza kuwa sawa na Magufuli.
JPM hana mpinzani kabisa nchi hii.
Kabisa.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Sawa. Sasa hujasema logic behind ya hichi unachokifanya.Amehudumu kwa miaka mitano tu, yet amefanya makubwa kuliko waliohudumu kwa miaka 10 na zaidi.
Na huo ndio Ukweliiiii hata wakikataa!! Lakini mengine pia alikosea sana !!Amehudumu kwa miaka mitano tu, yet amefanya makubwa kuliko waliohudumu kwa miaka 10 na zaidi.
Kumbe ni utambuzi.Acknowledging