dinongo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 814
- 1,054
Mfuate alipo!Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfuate alipo!Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
Yu wapi!JPM hana mpinzani.
[emoji1787][emoji1787]Ila ngosha saa nyingine alikua anajiformat ubongo wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wewe acha zako bwana, mama anaupiga mwingi sana. Hakuna kufungwa kama zamani, sisi makazini pesa tunagawiana kupitia vikao kazi maisha yanaenda. Wakati wa magufuri uchumi ulisinyaa,, bati la gauge 28 msaupi mgongo mpan mita 1 ilikuwa sh 19 elfu wakati sasa mita 1 ALF ni sh elfu 60 kwa mita. mama anaupiga mwingiUtamlinganishaje JPM na mlenda huu?
JPM hana mpinzani.
Acha upumbavu bwana mdogo. Fanya kazi Acha kulia lia mtandaoni. Au kama vipi nenda Chattle kajigaragaze pale kaburiniKuhusu nyongeza ya mshahara ulisema wazi kuwa usingeongeza wakati ule, isipokuwa utakuja kuongeza mishahara mikubwa zaidi saa ikifika.
Tunakukumbuka kwa ukweli na uwazi wako.
Ni heri mara mia ukamwambia mtu hakuna chakula kuliko kumnawisha mikono na hatimaye unamnyima chakula.
Mungu akupe pumziko la milele huko mbinguni, JPM BABA YETU MPENDWA.
Kuhusu nyongeza ya mshahara ulisema wazi kuwa usingeongeza wakati ule, isipokuwa utakuja kuongeza mishahara mikubwa zaidi saa ikifika.