Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

Zero ni namba tu sio kila anaepata 1 au 2 ni kichwa wengine ni mafundi wa kukariri kichwani hana kitu ukiondoa kile alichokariri, bado haujaelewa?
Yule ni kiande mkuu elewa basi
 
Kweli mcheza kwao......Siye na kina Chahali twaandika kumponda MWAMBA?!
Kazi tunayo....
 
Kweli !
 
Wakikusifu wazungu ujue umeliwa πŸ˜…πŸ˜… au wanavyosemaga wa mjini Imekula kwako πŸ˜…
Unajielewa mkubwa. Ukiona mzungu anakusifia ujuwe wewe shamba la bibi. Anaiba na kupora atakavyo. Ukiona ANASHEREKEA KIFO CHAKO UJUWE ULIMKAMATA MAKENDE MPAKA PUA NA USO ULIJAA DAMU!
 
Hakuna mtu anayechukiwa bila sababu. Yanayochukiwa ni matendo juu ya wengine hasa unapovunka sheria.hata zingejengwa barabara ngapi lakini wazazi wa
Anzory gwanda
Ben sanane
Amwilin
Na Tundu lisu mwenyewe
Hawatalisamehe dubwasha lile
Katika kila mema mengi na mabaya machache hayawezi kukosekana !! Kwa mfano Imran Kombe , Mwangosi , dr Ulimboka , dr Mvungi etc,etc, ujue mabaya mengi hufanywa na wale wanaojipendekeza kwa Mkuu wao !!
 
Unajielewa mkubwa. Ukiona mzungu anakusifia ujuwe wewe shamba la bibi. Anaiba na kupora atakavyo. Ukiona ANASHEREKEA KIFO CHAKO UJUWE ULIMKAMATA MAKENDE MPAKA PUA NA USO ULIJAA DAMU!
Na huo ndio ukweli Mkuu !!
 
Kwanza nani atanunua?
 
Mwandishi mwenyewe ni SUKUMA GANG
 
Katika kila mema mengi na mabaya machache hayawezi kukosekana !! Kwa mfano Imran Kombe , Mwangosi , dr Ulimboka , dr Mvungi etc,etc, ujue mabaya mengi hufanywa na wale wanaojipendekeza kwa Mkuu wao !!
ukitaja hayo majina "thithi wa ccm ' kuna kaubaridi flan amazing kanatinga kwa mwili
 
Hata kama alikopa je alijenga au alikula? Reference Mwigulu na Mama hivi sasa.
 
Hii kitu imechezwa na Balozi Haraka haraka... Ni game plan ya kambi yao pamoja na Mzee wa jalalani
 
Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Wewe sijui utakuwa ni mjinga,mpumbavu au mwongo!?, hivi ni lazima kila kitu uchangie? Kama hujui lolote si ukae kimya?, toka lini akili zikamilikiwa na taifa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…