mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Wakikusifu wazungu ujue umeliwa 😅😅 au wanavyosemaga wa mjini Imekula kwako 😅itoshe tu kusema ameandikwa kwenye kitabu hata kama ni kwenye nchi maskini...wewe subilia mama aandikwe na usa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikusifu wazungu ujue umeliwa 😅😅 au wanavyosemaga wa mjini Imekula kwako 😅itoshe tu kusema ameandikwa kwenye kitabu hata kama ni kwenye nchi maskini...wewe subilia mama aandikwe na usa
Yule ni kiande mkuu elewa basiZero ni namba tu sio kila anaepata 1 au 2 ni kichwa wengine ni mafundi wa kukariri kichwani hana kitu ukiondoa kile alichokariri, bado haujaelewa?
Kweli mcheza kwao......Siye na kina Chahali twaandika kumponda MWAMBA?!Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Kweli !Hawezi kuwa puppet kwa kuwa hakuna anachafaidika na Tanzania, puppet ni yule anayefaidika kwa mabwana zake na hufanya chochote kile anachoambiwa na mabwana zake kulinda maslahi.
Mfano mzuri ni Western countries (mabwana) na some shitholes countries in Afrika(puppets)
Unajielewa mkubwa. Ukiona mzungu anakusifia ujuwe wewe shamba la bibi. Anaiba na kupora atakavyo. Ukiona ANASHEREKEA KIFO CHAKO UJUWE ULIMKAMATA MAKENDE MPAKA PUA NA USO ULIJAA DAMU!Wakikusifu wazungu ujue umeliwa 😅😅 au wanavyosemaga wa mjini Imekula kwako 😅
Katika kila mema mengi na mabaya machache hayawezi kukosekana !! Kwa mfano Imran Kombe , Mwangosi , dr Ulimboka , dr Mvungi etc,etc, ujue mabaya mengi hufanywa na wale wanaojipendekeza kwa Mkuu wao !!Hakuna mtu anayechukiwa bila sababu. Yanayochukiwa ni matendo juu ya wengine hasa unapovunka sheria.hata zingejengwa barabara ngapi lakini wazazi wa
Anzory gwanda
Ben sanane
Amwilin
Na Tundu lisu mwenyewe
Hawatalisamehe dubwasha lile
Na huo ndio ukweli Mkuu !!Unajielewa mkubwa. Ukiona mzungu anakusifia ujuwe wewe shamba la bibi. Anaiba na kupora atakavyo. Ukiona ANASHEREKEA KIFO CHAKO UJUWE ULIMKAMATA MAKENDE MPAKA PUA NA USO ULIJAA DAMU!
Lakini wanaomchukia zaidi sio wa kutoka Chadema 😅🙏Majinga chadema yatajinyonga
Kwanza nani atanunua?Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Mwandishi mwenyewe ni SUKUMA GANGProfessor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa Nchi yake na watu wake. RIP BABA
View attachment 2633658
Si ndi hapo?Huyo Magu kawafanyia nini hadi wamwandike?!
Kwakweli ni ngumu kufutika !!Legacy ya chuma
ukitaja hayo majina "thithi wa ccm ' kuna kaubaridi flan amazing kanatinga kwa mwiliKatika kila mema mengi na mabaya machache hayawezi kukosekana !! Kwa mfano Imran Kombe , Mwangosi , dr Ulimboka , dr Mvungi etc,etc, ujue mabaya mengi hufanywa na wale wanaojipendekeza kwa Mkuu wao !!
Hata kama alikopa je alijenga au alikula? Reference Mwigulu na Mama hivi sasa.Sidhani kama kuna jipya ambalo hatulifafamu kwa kitakacho kuwamo kwenye hicho kitabu zaidi ya taarifa ambayo mwandishi alikuwa anaokoteza kutoka kwenye hotuba za upande mmoja wa Magufuli.
Huyo profesa atakuwa ni mhanga wa UWONGO ambao Magufuli aliutengeneza kwa miaka 5. Kwa mfano Magufuli alikuwa anasema anajenga miundombinu kwa fedha za ndani. Wakati kiukweli alikuwa anakopa kutoka mabenki ya biashara ya nje kama Credit Suisse, Stanchart na AfDB.
Huyo mtunzi hawezi kujua namna Magufuli alivyoiba uchaguzi wa S/mitaa wa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 kisha kuweka wabunge mamluki ambao alitaka waje watumike kubadili katiba mwaka 2025 ili kumfanya aendelee kutawala.
Hicho kitabu kitabakia ni mkusanyiko wa karatasi tu za kumpamba hayari dikteta.
Hii ni akili matope, Mbowe kaingiaje hapo kwenye mambo ya kitabu cha marehemu Magu?Kwani mbowe hana pesa ya kununua wanataluma wakaandiaka KILIMANJARO MBOWE and CHANGE
SawaNi wewe tu unajuwa.
Hii kitu imechezwa na Balozi Haraka haraka... Ni game plan ya kambi yao pamoja na Mzee wa jalalaniHakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Wewe sijui utakuwa ni mjinga,mpumbavu au mwongo!?, hivi ni lazima kila kitu uchangie? Kama hujui lolote si ukae kimya?, toka lini akili zikamilikiwa na taifa?.Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!