Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,247
- 1,815
adili2, Nitadownload kwa mb zangu sio free wifi bob upo apoWachana na vya BURE!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adili2, Nitadownload kwa mb zangu sio free wifi bob upo apoWachana na vya BURE!
Wazungu wanapenda soft Leader hata Mwl Nyerere Marekani hawamkubali acheni kuwa watumwa wa Wazungu na majitu mavivu kama ww ndo mnaowapigia magoti mabeberuitoshe tu kusema ameandikwa kwenye kitabu hata kama ni kwenye nchi maskini...wewe subilia mama aandikwe na usa
Hahahha. Akili ndogo zinaanzia hapa sasa.Hicho soma weye
Siwezi kuthibitisha mbele ya mjinga aliyejingishwa mm! Mtu anawezaje kujiua na kujipiga risasi? Wewe ulisoma shule gani? ShwainUnaweza kudhibitisha pasi na shaka kuwa tundu lissu alipigwa risasi na magufuli? Au ni yale maneno yenu ya kijiweni?
Mpuuzi weweHata ukiwa mwizi,mpigaji,mzembe,muuza ng'anda,mkwepa kodi na waliofoji woote,ni lazima umwone jpm ni dikteta.lkn mtu mwadilifu,mchapa kazi na anae this sheria,ni lazima amwone jpm ni mkombozi.
Nchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.
Juzi kati nilikuwa South Sudan, hawaamini kabisa kwamba alikufa tu hivihivi.
Hakuna nchi yoyote Duniani iliyoandika kitabu. Kama Malawi umefanya hivyo itakuwa nchi ya kwanza duniani.. Ila mwanazuoni wa nchi yoyote anaweza kuandika kitabu on an event in any country na akapublish.
Kwa Malawi tunajua yule Balozi tapeli mtetea legacy mfu alipokuwa Balozi nchini Malawi aliwanunua wanataaluma wenye njaa kali pale Malawi waandike hicho mnachosema ili kuonesha legacy is real. Wenye akili wanajua hamna kitu isipokuwa utapeli.
Uliteswa nini?Kamchacha anamjua magufuli kuliko sisi.? Alivyotutesa! Asubiri vitabu vyetu sisi wengin vinaumiza watu
Hata ukienda Uganda na Kongo wanakushambulia nyinyi watanzania kwanini mlimuua MagufuliNchi nyingi zinaamini Magufuli aliuliwa na wazungu.
Juzi kati nilikuwa South Sudan, hawaamini kabisa kwamba alikufa tu hivihivi.
Majinga chadema yatajinyonga
Kiasi alijenga na nyingine aliiba kupitia maandarasi wakeHata kama alikopa je alijenga au alikula? Reference Mwigulu na Mama hivi sasa.
Kwamba huyo Profesa anamjua zaidi Magufuli kuliko sisi watanzania ? acheni utapeli wenu .
Ndio maana Watanzania walisherehekea Polepole kuondolewa Malawi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wewe uwezo wako wa kufikiri umebakwa kwa kuwa mapenzi yako kwa DIKTETA ni makubwa. Ripoti ya CAG kuhusu akaunti ya DPP inayosemekana kuwa ilihusika na ufichaji hela China ilitolewa mwezi April 2023 na ikaagiza kuwa tume iundwe kuchunguza. Leo hii ni June unataka tukuambie kama zimerudi au hazijarudi!! Subiri kila kitu kitakuwa waziTatizo mna amini sana vitu vya kuambiwa bila ushahidi wowote ,uliambiwa kuna hela china-zimerudishwa ? Tatizo la Tanzania mtu hata asome sana uwezo wake wa kufikiri unabaki kuwa chini .mkiambiwa vitu muwe mnafikirisha ubongo na elimu mnazopata ziwakomboe kifikra pia .
ndugu mwandishi haters , taratibu usipanic Sana.Ongelea mataifa yenye akili. Should not think as low as the ones you are reference is. Understand?!
Hawa si ndo wale waandishi haters wafuasi wa chadema plus msoga gang!!Kilipoandikwa na watanzania kuonesha mapungufu yake kiliitwa kipeperushi. Ukipenda kusifiwa upende na kukosolewa
Tusome pia IAM THE STATE Kitabu cha wahariri wetu toka kwetu
😂 sawa mkuuHahahha. Akili ndogo zinaanzia hapa sasa.
Ujinyonge kwaajili ya MFU? hahahahaWatazidi kujinyoonga. Juzi katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino, wakashangaa mwamba anatajwa kwa herufi kubwa kutwaa tuzo ya kushiriki ujenzi.