butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Kwanza kitabu kimeshiba kurasa,hii ndiyo tofauti ya utafiti wa Ki-Professor na Waandishi Kanjanja!Wakati team visasi mkihangaika na kupigana na Marehemu!
Wakati team visasi mkiwa bado msibani kwa kinara wa visasi!
Wenzenu wasomi wa ukweli nchini Malawi, wanamuenzi kwa kumzindulia kitabu chake chenye hadhi ya kimataifa
Tarehe-9-June 2023.
Na sio ule uchafu wa Kibanda na genge la wasakatonge wenzake!
Huku ndio kutambulika kimataifa,sio kwa kuiuza nchi Dubai.
Aibu ingine hii kwenu wasakatonge wachumia tumbo wa kibongo!
Nimemaliza mengine picha itajieleza!View attachment 2633825