Hayati Magufuli (R.I.P), Hivi Aliwezaje kufanya yote haya?

Nilipoona hiyo 7 nikajua kuwa unashawishiwa na mwelekeo ulionao

JPM alikuwa Katili lakini kiutendaji mpe sifa, huwezi kumlinganisha na mwizi Kikwete, nikisema mwizi ni mwizi kweli na nina evidence,

Wote wezi wakubwa tu (mafisadi). Ushahidi concrete tunao. Na huo utendaji umezidiwa na propaganda. “Value for money” haipo.
 
Jpm aliona acha machinga na wao wale mema ya Nchi, Nchi Iwa miaka zaidi ya 50 familia chache ndio wanasoma shule nzuri, elimu bora,maisha ya ufahari n.k...
Jpm alijua siasa kwa miaka 60 hazijatufikisha popote, wasomi wazee wa kufuata vitabu ambao huwa wanajiona wanajua kila kitu walishindwa kutumia elimu yao kutuvukisha...
Jpm akaamua kujifunga mkanda yeye kama yeye kuonyesha ni jinsi gani nchi inapaswa kwenda...,
Jpm inapaswa kumuelewa tu..., Alijua kama taifa kupingana kila hatua ya maendeleo ni kuchelewesha maendeleo...
Wanafiki kwenye hii nchi ni wengi namba 1 upinzani japo siikubali CCM...

Upinzani waliwezaje kumpokea Lowassa ambae walimwita fisadi?
Upinzani ni wanafiki wakubwa wakiongozwa na huyo mamiwani...
 

Hiyo sababu si haba mkuu uliza kwake PK.

Huko watu hupotea, watu hufa kama ilivyokuwa kwa JPM.

Museveni mbona binadamu?

Museveni si kama hizi mtu mbili.
 
JPM alipenda vitu vifanyike na vionekane on the spot, hakuamini katika michakato ambayo mara nyingi inajaa urasimu tu, ni mtu aliyependa kusimamia sheria (yupo straight), ni kiongozi aliyekuwa na uthubutu wa kutisha hata kuweza kufanya mega-projects za matrillion ya pesa bila kujiuliza mara mbili mbili hapa pesa itatoka wapi, viongozi wa aina yake ni adimu sana......
 

Machinga walitumika tu (kama condom).

Alijua hakuwa popular. Akawa detach na watu wenye courage ya kumtolea uvivu barabarani kwa gharama yoyote.

Tulipo leo na wamachinga na kada hiyo kwa ujumla ni hapa:

Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho
 
Yaani ukiwaza hili unashangaa Mungu ana kazi gani?? anawaachia hawa mashetani waanaishi
 
Utopolo
 
Kutumia Wasiojulikana! Je 1.5 M ilipata jibu? Hatimaye nini kilimsibu Mkaguzi wa hesabu?
Alifanya ndio lakini vitisho vingi! Wapi ulisikia Rais anafungua Soko!?
Nini kazi ya mawaziri na manaibu wake pia makatibu!??

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 

Mkuu kubali kuwa Magufuli na wapambe/wategemezi wake hawakutarajia kuwa kiongozi wao ataondoka mapema hivyo (siku si zake). Walikuwa na matarajio ya “kutesa” madarakani kwa muda mrefu ujao. Hawakuwa tayari kwa kilichotokea. Hapo ndipo pigo lilipo. Ndipo “adhabu” ilipo. Mtikisiko uliowapata ni dhahiri.

Hata muuaji anapotanguliza maadui zake ni kwa dhana hiyo hiyo. Kubomoa ndoto na matarajio. Fikiria Lissu alivyom-survive Magufuli. Angekuwa mswahili angejitapa kwa hilo.

Siamini katika ushirikina lakini I can deeply feel nafuu waliyopata wengi kwa kuondoka ghafla kwa Magufuli. Walikuwa wamejiandaa kwa miaka mingine mitano ya kuishi kwa hofu, ghafla wamepata mzinga wa relief bila kufanya kitu. Hapo wakiuona mkono wa Mungu sishangai. Inaweza kuwa au isiwe dua la kuku kutegemea na utashi wa mfasiri. Binadamu ni spiritual being.
 
Usukumani huku ipo dawa ya inayo tokana simba dume inatumiwa sana tu
 
Jiwe alikuwa katili na muuaji, alijona Mungu mtu akaitwa chapu na Mungu mwenyewe.
 
Hee! Jinga kabisaa hili la jf..jpm was popular before his presidency! He was even popular than his boss at the time. You are just rubbish posting rubbish in jf.

Of which it is agreed.

Bujibuji rightly throws the total blames onto gwajima.

How the hell could he so recklessly relinquish us at such an important moment, falling entirely in his area of competency?!
 
Chunguza sana watu waliokuwa wanamwelewa Jiwe, akili fupi(vilaza), masikini, sikuma gang. Lazima mtu huyo at fall kwenye mojawapo la hayo makundi kama siyo yote
 
Kikwete umejitosa JF kujitetea?
Nchi ilikushinda mjomba,kaa tu ule pensheni.
Hata ukipewa urais Tena mziki wa sukumagang huuwezi,Labda ule wa fitina unaweza na kuuza sura Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…