Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipoona hiyo 7 nikajua kuwa unashawishiwa na mwelekeo ulionao
JPM alikuwa Katili lakini kiutendaji mpe sifa, huwezi kumlinganisha na mwizi Kikwete, nikisema mwizi ni mwizi kweli na nina evidence,
Hiyo siyo sababu ya msingi ya kuogopwa Kwa JPM mkuu
Mu7 anakandamiza Haki za raia Hadi leo lkn haogopwi km alivyoogopwa JPM enzi za uhai wake
Mwamba hata wapinzani waliishia kumponda mtandaoni Tu lkn akitinga majimboni kwao kila mtu anamuhanya
Tuseme Tu ukweli JPM alikuwa anogopwa tangu enzi akiwa waziri..kabla hata hajawahi kufikiria kuwa Rais,haya matukio ya kukutwa watu kwenye viroba si ya juzi Tu mkuu?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Jpm aliona acha machinga na wao wale mema ya Nchi, Nchi Iwa miaka zaidi ya 50 familia chache ndio wanasoma shule nzuri, elimu bora,maisha ya ufahari n.k...
Jpm alijua siasa kwa miaka 60 hazijatufikisha popote, wasomi wazee wa kufuata vitabu ambao huwa wanajiona wanajua kila kitu walishindwa kutumia elimu yao kutuvukisha...
Jpm akaamua kujifunga mkanda yeye kama yeye kuonyesha ni jinsi gani nchi inapaswa kwenda...,
Jpm inapaswa kumuelewa tu..., Alijua kama taifa kupingana kila hatua ya maendeleo ni kuchelewesha maendeleo...
Wanafiki kwenye hii nchi ni wengi namba 1 upinzani japo siikubali CCM...
Upinzani waliwezaje kumpokea Lowassa ambae walimwita fisadi?
Upinzani ni wanafiki wakubwa wakiongozwa na huyo mamiwani...
Yaani ukiwaza hili unashangaa Mungu ana kazi gani?? anawaachia hawa mashetani waanaishiSuperstition and metaphysics
wewe unaamini Mungu anaweza kuniua kukupa unafuu wewe? Stalin aliua watu wangapi na aliendelea. Mao aliua wangapi? Alitawala miaka yote. Mugabe aliua wangapi? Msemo “dua ya kuku haimpati mwewe “ si msemo wa uongo.
UtopoloJPM alipenda vitu vifanyike na vionekane on the spot, hakuamini katika michakato ambayo mara nyingi inajaa urasimu tu, ni mtu aliyependa kusimamia sheria (yupo straight), ni kiongozi aliyekuwa na uthubutu wa kutisha hata kuweza kufanya mega-projects za matrillion ya pesa bila kujiuliza mara mbili mbili hapa pesa itatoka wapi, viongozi wa aina yake ni adimu sana......
Kutumia Wasiojulikana! Je 1.5 M ilipata jibu? Hatimaye nini kilimsibu Mkaguzi wa hesabu?nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu jpm (r.i.p);
1. hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka siku ile aliyokuwa anasaini kitabu cha wageni...aisee lile tetemo si la kawaida! raisi alikuwa anasaini kitabu huku mkuu wa mkoa akiwa anajiandaa kukaa chini, ghafla raisi akainua macho kupeleka upande ule aliokuwepo mkuu wa mkoa (nafikiri ilikuwa katika kuangalia tu kawaida) aisee mkuu huyo wa mkoa aliinuka ghafla huku anaendelea kutetemeka vibaya sana. akiiona ile clip huko aliko atajisikia vibaya sana.
2. mabarabara yote aliyoyajenga kikwete (ndiye aliyejenga zaidi ya wote) sifa zinaenda kwa jpm. kikwete hatajwi na ukimtaja kuna waaokasirika, aliwezaje kufanya hivi?!!
3. kuna baadhi ya vitu alivianzisha mtangulizi wake (kikwete) katika kuvijenga kama vile flyovers, lakini imeaminishwa kuwa ni jpm tu aliyefanya hivyo. wakati huo huo aliyemfuatia jpm (mama samia) akiendeleza aliloliacha jpm kama vile kuongeza kile kipande cha sgr kule mwanza (ambacho hakikuwepo), hatajwi kabisa mama; anatajwa jpm tu na ukimtaja mama basi kuna watakaokushambulia. aliwezaje kufanya hivi?!!!!!
4. aliagiza machinga waachwe na wajipangie tu mabarabarani. alisema hayo huku akiwa amezungukwa na wasaidizi kibao wakiwemo wataalamu wa mipango miji, wataalamu wa masuala ya population growth, mazingira n.k lakini wote walishindwa kusema chochote juu ya athari kubwa inayoweza kuzaliwa baadae (kwa watakaomfuata). aliwezaje haswa kufanya hivi?!!!!
5. leo hii kikwete na ukoo wake hawaishwi kutajwa tajwa kuwa ni wezi huku yeye akitajwa kuwa ni msafi, aliwezaje mwendazake kuwaaminisha watu hivi?!!!!
6. wakati wake, ukifanyika mradi wowote wa maendeleo ilikuwa inasemwa kwa sauti kubwa, RAISI AMEFANYA HIVI AU VILE. ajabu ni kuwa leo hii mama samia akifanya jambo na ikitolewa taarifa kuwa 'Raisi kafanya hivi', aisee utapata mashambulizi kutoka kwa watu 'KWANI FEDHA ZAKE AU KODI NA TOZO ZETU?!!'. jpm aliwezaje?!!! kawaida hii kweli?!!
7. wakati wa utawala wake, inasemekana wateule wake walikuwa wakristo na watu wa kwao. ajabu ni kuwa watu walikuwa kimya na kusifia tu. kama kuna aliyejaribu kulisema ilo alikutana na hii kauli, 'RAISI HAANGALII DINI BALI UCHAPA KAZI'. cha kushangaza kipindi cha kikwete, akichagua waislamu wawili tu basi kelele zake si za nchi hii. mama nae, ateue waislamu wawili tu katika teuzi 5 alizofanya basi haraka utasikia kauli hizi 'ZAMU YAO WAVAA VIPEDO!', 'ANATEUA WAZANZIBAR WENZIE' n.k. huyu jpm aliwezaje hili?!!!
8. kwake (chato) ilienda kila aina ya miradi; uwanja wa ndege wa kimataifa, nasikia uwanja wa mpira pia, mbuga, hospitali ya kanda, n.k huku kwa waziri mkuu barabara ya km 86 tu ipo vumbini hadi leo hii na mazao yote yategemewayo na wananchi wa kule (mbaazi, korosho na ufuta) yakifilia mbali huko. mawaziri mpaka manaibu mawaziri na wakuu mbalimbali wa taasisi walikuwa wanapishana na kushindana kubuni miradi ya kupeleka kule. aliwezaje huyu mtu kufanya hivi huku watu wakishangilia kinoma?!!!!!!!!!!
9. kununua ndege 11 kwa keshi. aliwezaji ilhali nasikia hata mashirika makubwa yananunua kwa awamu?!!!
yapo meeengi sana lakini hayo yatoshe kuwakilisha.
najiuliza sana kama hii kawaida au kuna sehemu inapatikana 'busta' ya kukusaidia kuwa hivi. kama ipo basi naamini kina mkuu mshana, kama itampendeza, anaweza kuchangia ili tukujue na ikiwezekana tufanye maamuzi ya kwenda kwa ajili ya kuzimudu familia zetu tu (kwani huko siasani hatupo na hakuna dalili ya kuwepo).
Shusha madini wewe msukule wa chifu hangaya....Utopolo
Superstition and metaphysics
wewe unaamini Mungu anaweza kuniua kukupa unafuu wewe? Stalin aliua watu wangapi na aliendelea. Mao aliua wangapi? Alitawala miaka yote. Mugabe aliua wangapi? Msemo “dua ya kuku haimpati mwewe “ si msemo wa uongo.
Hee! Jinga kabisaa hili la jf..jpm was popular before his presidency! He was even popular than his boss at the time. You are just rubbish posting rubbish in jf.Machinga walitumika tu (kama condom).
Alijua hakuwa popular. Akawa detach na watu wenye courage ya kumtolea uvivu barabarani kwa gharama yoyote.
Tulipo leo na wamachinga na kada hiyo kwa ujumla ni hapa:
https://www.jamiiforums.com/threads/madhara-ya-awamu-ya-tano-yanayofumbiwa-macho.1881672/[url]
Usukumani huku ipo dawa ya inayo tokana simba dume inatumiwa sana tunimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu jpm (r.i.p);
1. hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka siku ile aliyokuwa anasaini kitabu cha wageni...aisee lile tetemo si la kawaida! raisi alikuwa anasaini kitabu huku mkuu wa mkoa akiwa anajiandaa kukaa chini, ghafla raisi akainua macho kupeleka upande ule aliokuwepo mkuu wa mkoa (nafikiri ilikuwa katika kuangalia tu kawaida) aisee mkuu huyo wa mkoa aliinuka ghafla huku anaendelea kutetemeka vibaya sana. akiiona ile clip huko aliko atajisikia vibaya sana.
2. mabarabara yote aliyoyajenga kikwete (ndiye aliyejenga zaidi ya wote) sifa zinaenda kwa jpm. kikwete hatajwi na ukimtaja kuna waaokasirika, aliwezaje kufanya hivi?!!
3. kuna baadhi ya vitu alivianzisha mtangulizi wake (kikwete) katika kuvijenga kama vile flyovers, lakini imeaminishwa kuwa ni jpm tu aliyefanya hivyo. wakati huo huo aliyemfuatia jpm (mama samia) akiendeleza aliloliacha jpm kama vile kuongeza kile kipande cha sgr kule mwanza (ambacho hakikuwepo), hatajwi kabisa mama; anatajwa jpm tu na ukimtaja mama basi kuna watakaokushambulia. aliwezaje kufanya hivi?!!!!!
4. aliagiza machinga waachwe na wajipangie tu mabarabarani. alisema hayo huku akiwa amezungukwa na wasaidizi kibao wakiwemo wataalamu wa mipango miji, wataalamu wa masuala ya population growth, mazingira n.k lakini wote walishindwa kusema chochote juu ya athari kubwa inayoweza kuzaliwa baadae (kwa watakaomfuata). aliwezaje haswa kufanya hivi?!!!!
5. leo hii kikwete na ukoo wake hawaishwi kutajwa tajwa kuwa ni wezi huku yeye akitajwa kuwa ni msafi, aliwezaje mwendazake kuwaaminisha watu hivi?!!!!
6. wakati wake, ukifanyika mradi wowote wa maendeleo ilikuwa inasemwa kwa sauti kubwa, RAISI AMEFANYA HIVI AU VILE. ajabu ni kuwa leo hii mama samia akifanya jambo na ikitolewa taarifa kuwa 'Raisi kafanya hivi', aisee utapata mashambulizi kutoka kwa watu 'KWANI FEDHA ZAKE AU KODI NA TOZO ZETU?!!'. jpm aliwezaje?!!! kawaida hii kweli?!!
7. wakati wa utawala wake, inasemekana wateule wake walikuwa wakristo na watu wa kwao. ajabu ni kuwa watu walikuwa kimya na kusifia tu. kama kuna aliyejaribu kulisema ilo alikutana na hii kauli, 'RAISI HAANGALII DINI BALI UCHAPA KAZI'. cha kushangaza kipindi cha kikwete, akichagua waislamu wawili tu basi kelele zake si za nchi hii. mama nae, ateue waislamu wawili tu katika teuzi 5 alizofanya basi haraka utasikia kauli hizi 'ZAMU YAO WAVAA VIPEDO!', 'ANATEUA WAZANZIBAR WENZIE' n.k. huyu jpm aliwezaje hili?!!!
8. kwake (chato) ilienda kila aina ya miradi; uwanja wa ndege wa kimataifa, nasikia uwanja wa mpira pia, mbuga, hospitali ya kanda, n.k huku kwa waziri mkuu barabara ya km 86 tu ipo vumbini hadi leo hii na mazao yote yategemewayo na wananchi wa kule (mbaazi, korosho na ufuta) yakifilia mbali huko. mawaziri mpaka manaibu mawaziri na wakuu mbalimbali wa taasisi walikuwa wanapishana na kushindana kubuni miradi ya kupeleka kule. aliwezaje huyu mtu kufanya hivi huku watu wakishangilia kinoma?!!!!!!!!!!
9. kununua ndege 11 kwa keshi. aliwezaji ilhali nasikia hata mashirika makubwa yananunua kwa awamu?!!!
yapo meeengi sana lakini hayo yatoshe kuwakilisha.
najiuliza sana kama hii kawaida au kuna sehemu inapatikana 'busta' ya kukusaidia kuwa hivi. kama ipo basi naamini kina mkuu mshana, kama itampendeza, anaweza kuchangia ili tukujue na ikiwezekana tufanye maamuzi ya kwenda kwa ajili ya kuzimudu familia zetu tu (kwani huko siasani hatupo na hakuna dalili ya kuwepo).
Jiwe alikuwa katili na muuaji, alijona Mungu mtu akaitwa chapu na Mungu mwenyewe.Hiyo siyo sababu ya msingi ya kuogopwa Kwa JPM mkuu
Mu7 anakandamiza Haki za raia Hadi leo lkn haogopwi km alivyoogopwa JPM enzi za uhai wake
Mwamba hata wapinzani waliishia kumponda mtandaoni Tu lkn akitinga majimboni kwao kila mtu anamuhanya
Tuseme Tu ukweli JPM alikuwa anogopwa tangu enzi akiwa waziri..kabla hata hajawahi kufikiria kuwa Rais,haya matukio ya kukutwa watu kwenye viroba si ya juzi Tu mkuu?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hee! Jinga kabisaa hili la jf..jpm was popular before his presidency! He was even popular than his boss at the time. You are just rubbish posting rubbish in jf.
Chunguza sana watu waliokuwa wanamwelewa Jiwe, akili fupi(vilaza), masikini, sikuma gang. Lazima mtu huyo at fall kwenye mojawapo la hayo makundi kama siyo yoteJpm aliona acha machinga na wao wale mema ya Nchi, Nchi Iwa miaka zaidi ya 50 familia chache ndio wanasoma shule nzuri, elimu bora,maisha ya ufahari n.k...
Jpm alijua siasa kwa miaka 60 hazijatufikisha popote, wasomi wazee wa kufuata vitabu ambao huwa wanajiona wanajua kila kitu walishindwa kutumia elimu yao kutuvukisha...
Jpm akaamua kujifunga mkanda yeye kama yeye kuonyesha ni jinsi gani nchi inapaswa kwenda...,
Jpm inapaswa kumuelewa tu..., Alijua kama taifa kupingana kila hatua ya maendeleo ni kuchelewesha maendeleo...
Wanafiki kwenye hii nchi ni wengi namba 1 upinzani japo siikubali CCM...
Upinzani waliwezaje kumpokea Lowassa ambae walimwita fisadi?
Upinzani ni wanafiki wakubwa wakiongozwa na huyo mamiwani...
Kikwete umejitosa JF kujitetea?nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu jpm (r.i.p);