Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MZEE uzushi na kukosa utu kivipi? Mbona unaongea kama vile unaona nimeleta pambio hapaKukosa utu siyo sifa nzuri kuonesha jamii, ingekuwa busara kama ungeficha unyama wako ulionesha kwenye uzi huu. Haya yote uliyoandika ni ya uzushi na laana itakushukia.
kila la kheri mkuuNgoja na Mimi nianzishe uzi
hahaKuna watu baadhi nawajua hawana wivu kwenye suala la mapenzi hata kidogo. Yaani mpaka wake/wapenzi wao huwa wanajistukia na kuhisi hawapendwi. Simshangai Mkapa
Ujue maana ya neno "kitaifa"Ni kwa nini anapenda kujadili familia za watu? Maisha yenu tu mbona si ya kikamilifu? KAMA unayojadili hayatatokea kwako basi jua kuwa utazaa na wajukuu, vitukuu, vilembwe na vilembwekweze je unafahamu watakuwa na maisha gani? Tujifunze kuweka nukta kwenye baadhi ya mambo.
Acha ushamba na kwa nini wewe umereply hapa kama hayakuhusu?Ni kwa nini anapenda kujadili familia za watu? Maisha yenu tu mbona si ya kikamilifu? KAMA unayojadili hayatatokea kwako basi jua kuwa utazaa na wajukuu, vitukuu, vilembwe na vilembwekweze je unafahamu watakuwa na maisha gani? Tujifunze kuweka nukta kwenye baadhi ya mambo.
Sijaanzisha uzi kumzungumzia mtu alivyo kibinafsi. Nikiwa sina sera ya kujadili, sijadili kabisa. Sio kwamba naanza kujadili watu binafsi na waishivyo maisha yao.Hizo sera ulizojadili wewe ziko wapi mkuu?
nadhani hauko sawa. Mkapa ni kiongozi kitaifa huwezi kuzuia asijadiliwe hata kwa yale ambayo mwenyewe asingependa kuyasikia akiwa hai lakini ni lazima yangesemwa, huyo sio kama wewe na mimi ambao hata vijiji vyetu watu hawatujuiSijaanzisha uzi kumzungumzia mtu alivyo kibinafsi. Nikiwa sina sera ya kujadili, sijadili kabisa. Sio kwamba naanza kujadili watu binafsi na waishivyo maisha yao.
unakosea sana mkuuKiukweli mazeri ana sura ngumu sana, sioni pakuanzia kumuonea wivu.
Sipaoni kabisaa labda mnionyeshe.
Amen
maybe alikuwa mpenzi wa utotoni wa Mkapa😛😛
Anna ana mtoto mkubwa kwa Mramba mkuu na tena alikuwa mkurugenzi wa Kampuni kubwa iliyoletaga utata kidogo
wewe ndo hauko sawa, kumjadili maisha yake binafsi ina manufaa gani kwako au kwa yeyote yule au kwa hilo taifa aliloliongoza?nadhani hauko sawa. Mkapa ni kiongozi kitaifa huwezi kuzuia asijadiliwe hata kwa yale ambayo mwenyewe asingependa kuyasikia akiwa hai lakini ni lazima yangesemwa, huyo sio kama wewe na mimi ambao hata vijiji vyetu watu hawatujui
Kwa hiyo ni bora ukasome hizo nyuzi unazosema kuliko kupiga kelele hapa
Weka picha ya mke wa mzee wako tulinganisheKiukweli mazeri ana sura ngumu sana, sioni pakuanzia kumuonea wivu.
Sipaoni kabisaa labda mnionyeshe.