NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Unateuliwa na chama kupeperusha Bendera!Kikwazo huna familia wala mke wala mtoto!Chama kinafanya namna ya kukupatia mke mwenye mtoto kukusitiri!na inakuwa siri sana!!unaendelea kuishi na mwanamke usieweza hata kumuingilia kimwili!!mke anaendelea kuzalishwa na mwingine!una staafu unaenda kuishi mwenyewe labda na ndugu sio na huyo mwanamke!!!Maisha ni siri nzito sana!kila mtu ana lake ambalo hataki mtu ajue!!