Hayati Mkapa ni aina ya wanaume wachache wenye misimamo migumu kwenye mahusiano

Hayati Mkapa ni aina ya wanaume wachache wenye misimamo migumu kwenye mahusiano

Najiuliza....
Kama huyu wa sasa "kawatenda"wale tu walogombea naye Urais pamoja mwaka 2015
Je, angetokewa na Mazingira kama ya Mzee Mkapa kwenye mahusiano ingekuaje?
 
Kwahiyo mama alikuwa akienda kukumbushia mzee alikuwa anavumilia
 
Mkuu....
Wanaume wengi wenye misimamo isiyo yumbishwa mbele za watu, wanakuaga wadhaifu sana na wanyonge kwenye mahusiano yao.
Na hata alipo chapwa stuli na kuvunjika mguu, bado aliweza kuvumilia tu.
(Naomba nisimtaje jina)
kama inakuja halafu inakataa.... ila kuna ukweli kwa mbali.
 
Ni vigumu sana kumuelewa Mkapa..

Tuyaache tu.
 
Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako.

Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne hii hawawezi kuwa na ujasiri wa moyo kama aliokuwa nao huyu mzee wetu ni wa kipekee kabisa.

Hebu fikiria amemchukua Anna Kama mpenzi wake baada ya kumzidi kete Basil Pesambili Mramba akiwa tayari ana mtoto wa kiume wa Mramba, Hilo kwake mzee lilikuwa ni jambo dogo na kuona haikuwa na noma kabisa kwake akamfanya Mramba kuwa rafiki yake wa Karibu.

1995 Anagombea Urais, Alishawishi na kumpigia kampeni kabambe Mramba ili ashinde Ubunge Rombo na aliposhinda akamteua kuwa Waziri wa Fedha huku akiendelea kuwa mshikaji wake wa karibu Nje ya majukumu ya kikazi na hata kazini, Mkapa alikuwa anamuamini sana Mramba.

Katika hali ya kawaida wewe unaweza kufanya hivi kwa EX aliyezaa na mke wako? na ukawa unaenda nae kwako kama rafiki yako wa karibu sana? Mkapa bado anakuwa mwanaume wa kipekee sana sio tu kwenye siasa ukomavu wake wa kidiplomasia aliuhamishia hadi kwenye mahusiano

Pamoja na hayo Mtoto wa Mramba waliyezaa na Anna amekulia kwa Mkapa na Mzee alimpenda sana.

Ni wanaume wachache sana wanaoweza kufanya hivi. Hata mimi siwezi kufanya haya aliyofanya mzee wetu Mkapa

Upumzike kwa amani Mwamba.
habari ya kizushi tu,unajua mkapa alioa mwaka gani?
 
MZEE uzushi na kukosa utu kivipi? Mbona unaongea kama vile unaona nimeleta pambio hapa

Thibitisha kama huu ni uzushi?
Uzushi hauthibitishwi wewe mbwiga bali unapuuzwa. Huyu mtoto unayemsema umemuona? Je anafanana na huyo unayemzushia kwa wajihi na muonekano wake? Acha upuuzi wako.
 
Huyu ndio mwanaume wa shoka sasa achana na hawa wa Dar wanaojinyonga kwa vitu vidogo vidogo

Oya wanajamvi wakiume mmemsikia huyu.

Kumbe kulea mbegu ya ,mwanaume mwanzako ndio unaitwa mwanaume wa shoka?

Kama hivyo mimi sitaki kuitwa mwanaume wa shoka.
 
Oya wanajamvi wakiume mmemsikia huyu.

Kumbe kulea mbegu ya ,mwanaume mwanzako ndio unaitwa mwanaume wa shoka?

Kama hivyo mimi sitaki kuitwa mwanaume wa shoka.
😃😃😃😃
 
Uzushi hauthibitishwi wewe mbwiga bali unapuuzwa. Huyu mtoto unayemsema umemuona? Je anafanana na huyo unayemzushia kwa wajihi na muonekano wake? Acha upuuzi wako.
Wewe Mama Anna ana watoto watatu, mmoja kwa Mramba wawili kwa Mkapa acha ubishi jamaa Yuko sahihi
 
Ndio maana wewe sio Mkapa, kila mtu amepewa nguvu yake ya kustahimili mambo
 
Maisha ya huyo mzee hayaeleweki mkuu, labda angetusimulia mwenyewe, jana nimesoma stori anasimulia rafiki wake wa toka utotoni amesema yeye ndiye alimkutanisha Anna na mkapa na yeye ndiye alimpanga Anna hadi akakubali kuwa na Mkapa wakiwa bado vijana wanasoma, sasa unavosema Anna alikua na Mpenzi mwingine haieleweki
Niliwahi kusikia kuwa mahusiano yao yalivunjika hadi alipotia nia ndipo mzee Julius K alimshauri warudiane ili kulinda hadhi ya urais
 
wewe ndo hauko sawa, kumjadili maisha yake binafsi ina manufaa gani kwako au kwa yeyote yule au kwa hilo taifa aliloliongoza?

Hasa kwa mtoto wa kiume kukaa mitandaoni kujadili wanaume wenzie wanaishiji au waliishiji maisha yao, kisa tu ni viongozi/wanajulikana!?
Mtoto wa kike tungemuita mbeya tu. Sasa wa kiume tusemeje? Si ridhki au?
Mzee nadhani wewe utakuwa una asili za kike😄 mbona jamaa hajamsema vibaya ila wewe umekomalia taarabu Kama za mwajuma wa mwananyamala.

Shida nini? Haha Mkapa ni KIONGOZI wa kitaifa lazma ajadiliwe Kama watu wanavyojadili familia ya watoto wa mzee nyerere ambavyo hawaeleweki
 
Ndio maana wewe sio Mkapa, kila mtu amepewa nguvu yake ya kustahimili mambo
Wewe Mama Anna ana watoto watatu, mmoja kwa Mramba wawili kwa Mkapa acha ubishi jamaa Yuko sahihi
Huyo mtoto mnayemzushia Mbona anafanana na Mkapa zaidi kuliko hao watoto wake wawili mnaowasema? Hafanani ni Mramba hata unywele!!
 
Back
Top Bottom