Hayati Mkapa ni aina ya wanaume wachache wenye misimamo migumu kwenye mahusiano

Hayati Mkapa ni aina ya wanaume wachache wenye misimamo migumu kwenye mahusiano

Huyo mtoto mnayemzushia Mbona anafanana na Mkapa zaidi kuliko hao watoto wake wawili mnaowasema? Hafanani ni Mramba hata unywele!!
😃😃Umesikia wasifu wake Leo? Wamesema Mkapa na Anna wamebarikiwa kupata watoto wangapi?
 
Uzushi hauthibitishwi wewe mbwiga bali unapuuzwa. Huyu mtoto unayemsema umemuona? Je anafanana na huyo unayemzushia kwa wajihi na muonekano wake? Acha upuuzi wako.
Unapuuzaje kitu ambacho bado unaendeleaje kukifatilia na kukizungumzia?

Huoni wewe ndio MPUUZI?
 
Najiuliza....
Kama huyu wa sasa "kawatenda"wale tu walogombea naye Urais pamoja mwaka 2015
Je, angetokewa na Mazingira kama ya Mzee Mkapa kwenye mahusiano ingekuaje?
Changamoto 😳
 
wewe ndo hauko sawa, kumjadili maisha yake binafsi ina manufaa gani kwako au kwa yeyote yule au kwa hilo taifa aliloliongoza?

Hasa kwa mtoto wa kiume kukaa mitandaoni kujadili wanaume wenzie wanaishiji au waliishiji maisha yao, kisa tu ni viongozi/wanajulikana!?
Mtoto wa kike tungemuita mbeya tu. Sasa wa kiume tusemeje? Si ridhki au?
Mbona unaandika unarudia rudia Kama demu,nilikujibu kiume tafuta nyuzi unazozopenda kusoma concentrate hapo.

Mimi sio mumeo mpaka unipangie Cha kuandika hapa..unaandika maneno mengi hayana logic.

Au unaweza kuanzisha uzi wako kuupinga huu kuliko kuimba imba hapa..wamiliki wa jf wangeona hauna maana wangeutoa.

Sasa wewe ni nani mpaka unipangie Cha kuandika?

Au wewe Ni choko so unawashwa?
Ongea kiume nijue point yako ni ipi sio unazunguka kwa maneno yaleyale ya kikekike

Nini kinachokuuma?
 
Tatizo la uzi wako msingi wake ndiyo hapa,huna taarifa sahihi kumhusu maisha yake hivyo ni ngumu kuyaelezea maisha yake kwa ufasaha.
Sasa unaejua si useme?
Au unataka kuonekana umecomment...habari za kuoa hata Google unazipata
 
Thread Imejaa Ganzi Sana 🙄🤨😏😏😗🤗
 
Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako.

Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne hii hawawezi kuwa na ujasiri wa moyo kama aliokuwa nao huyu mzee wetu ni wa kipekee kabisa.

Hebu fikiria amemchukua Anna Kama mpenzi wake baada ya kumzidi kete Basil Pesambili Mramba akiwa tayari ana mtoto wa kiume wa Mramba, Hilo kwake mzee lilikuwa ni jambo dogo na kuona haikuwa na noma kabisa kwake akamfanya Mramba kuwa rafiki yake wa Karibu.

1995 Anagombea Urais, Alishawishi na kumpigia kampeni kabambe Mramba ili ashinde Ubunge Rombo na aliposhinda akamteua kuwa Waziri wa Fedha huku akiendelea kuwa mshikaji wake wa karibu Nje ya majukumu ya kikazi na hata kazini, Mkapa alikuwa anamuamini sana Mramba.

Katika hali ya kawaida wewe unaweza kufanya hivi kwa EX aliyezaa na mke wako? na ukawa unaenda nae kwako kama rafiki yako wa karibu sana? Mkapa bado anakuwa mwanaume wa kipekee sana sio tu kwenye siasa ukomavu wake wa kidiplomasia aliuhamishia hadi kwenye mahusiano

Pamoja na hayo Mtoto wa Mramba waliyezaa na Anna amekulia kwa Mkapa na Mzee alimpenda sana.

Ni wanaume wachache sana wanaoweza kufanya hivi. Hata mimi siwezi kufanya haya aliyofanya mzee wetu Mkapa

Upumzike kwa amani Mwamba.
dah kwa hayo kweli Mkapa
mwamba
 
Kweli asee alikua na moyo wa kipekee sana
 
Back
Top Bottom