Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo dada, nimeona watu wanajua mimi wa huko.iringa nikaona bora niandike ID ya kabila langu.Naona umebadili ID ndugu yangu, bahati nzuri umeacha avatar ileile nisingekujua.
Harusi tunayo.
Ni fact tu kwamba, Simba anazaa na kila anaye-date naye.
Hamna bwana, hiyo sio fact. Amedate na wengi kuliko tunaowafahamu na hawajazaa naye.Ni fact tu kwamba, Simba anazaa na kila anaye-date naye.
Sasa iweje kwa Zuchu iwe bila bila hadi now?
Eti jamani😂Huyo binti atapigwa sana matukio.
Au labda pesa itampoza machungu....
View attachment 3225842
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.
Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.
Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.
Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.
Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?
Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.
Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya kesho kutwa tarehe 7.
Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.
Straight From The Horse’s Mouth,
Nifah.
Chioma hapana, yule ana moyo wa peke yake.Mimi nahisi baada ya Zuchu kuwa serious kusema Mondi anaweza kumuoa mwanamke mwingine akiridhia na kuwakazia wasafi kwa kumdhalilisha hivi karibuni, ndio Mondi kaona ataachwa kweli. Wanaume bwana ukizubaa unaweka kwenye uboyfriend na ugirlfriend zone miaka na miaka. Ladies kuwa king'ang'anizi kunalipa si unamuona Chioma wa davido and now Zuchu mume wanao na wanatamba nao lol
😂😂😂Basi itakua kama bichwa peraChini kabisa.
Hujawajua wanawake wewe wako kimkakat zaid hasa ukiwa na pesa angekua amejipata angekua ameshasepa sio kwa manyanyaso anayopitia familia ya mume haimpend haimtaki lakin bado anafosi mkamkat wake utimieHivi ina maana Zuchu hadi leo bado hajajipata hadi awe na mawazo kama haya ya kimaskini?
My dear unadhani kuwekwa hadharani ndio kupendwa?sometimes hao maslay queen wanatumika kwa show off tu.....ulisikia alivyokiri kuhusu yule Sarah kamwambie uliwahi kuona anapiga mapicha nae? Na angalia wengi wanaolewa mara nyingi mahusiano ni yale ya chinichini ......Sasa mbona Diamond hajawahi kuweka mahusiano yao wazi kama hao wenzie?
Hapo wabongo ndio tunapokwamaga.. unataka familia ya mumeo ikupende ili iwaje?we unaolewa na familia na mumeo?Hujawajua wanawake wewe wako kimkakat zaid hasa ukiwa na pesa angekua amejipata angekua ameshasepa sio kwa manyanyaso anayopitia familia ya mume haimpend haimtaki lakin bado anafosi mkamkat wake utimie
Sara ilikuwa kabla hajaanza muziki mpenzi. Wapo slay queens wa kimyakimya wengi tu amekula lakini nao pia walibaki kimya sio Zuchu kutwa anasema yeye tu ila bwana hajawahi kusema kokote ana mahusiano naye zaidi aliwahi kupost kukana kuhusishwa naye kimapenzi.My dear unadhani kuwekwa hadharani ndio kupendwa?sometimes hao maslay queen wanatumika kwa show off tu.....ulisikia alivyokiri kuhusu yule Sarah kamwambie uliwahi kuona anapiga mapicha nae? Na angalia wengi wanaolewa mara nyingi mahusiano ni yale ya chinichini ......
Kutamba kunasaidia nini kama hujafanywa madam CEO😂😂?Zuchu kaweza shoga yangu tukubali tukatae ,kweli king'ang'a ila imemlipaSara ilikuwa kabla hajaanza muziki mpenzi. Wapo slay queens wa kimyakimya wengi tu amekula lakini nao pia walibaki kimya sio Zuchu kutwa anasema yeye tu ila bwana hajawahi kusema kokote ana mahusiano naye zaidi aliwahi kupost kukana kuhusishwa naye kimapenzi.
Sawa anamuoa lakini hajawahi kutamba naye.
Kwa nini umng'ang'anize mtu akuoe?Mimi nahisi baada ya Zuchu kuwa serious kusema Mondi anaweza kumuoa mwanamke mwingine akiridhia na kuwakazia wasafi kwa kumdhalilisha hivi karibuni, ndio Mondi kaona ataachwa kweli. Wanaume bwana ukizubaa unaweka kwenye uboyfriend na ugirlfriend zone miaka na miaka. Ladies kuwa king'ang'anizi kunalipa si unamuona Chioma wa davido and now Zuchu mume wanao na wanatamba nao lol
Age imeenda soko langu kwenye dating pool limeshuka, namng'ang'ania anayejitokezaKwa nini umng'ang'anize mtu akuoe?
Wewe ni mbaya hivyo?
Are you so ugly and undesirable that you have to force someone to marry you?
Does nobody else want you?
Najua wewe mrembo hapa tunaongea kidhahania tu 😂😂Age imeenda soko langu kwenye dating pool limeshuka, namng'ang'ania anayejitokeza
Kashanizalisha, na wanawake ukishazalishwa wanaume wanaona una carry extra baggage wansku avoid...si unasikia story zao humu...inabidi umng'ang'anie aliyekuzalisha.
Being ugly ugly ama being told you are ugly self esteem being low you know.
Benefits, so long ananipa ninachokitaka, security, resources kwa nini nisimng'ang'anie hata kama hanitaki...
Sio mimi jamani nimeobserve tu'Kiranga be easy on me 😆