Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Bado siyo sababu Nifah...
Hujawahi kuona Uchumba unaweza kudumu hata miaka mitano..
Ila Ndoa mwaka mmoja tu Chalii...

Mungu awasaidie.
Mapenzi ni upofu zuchu ndoa anaitaka kwa udi na uvumba ila pale atakuwa roho juu kama mkungu wa ndizi hadi ata surrender siioni ndoa pale kujitafutia kisukaree cha kushukaa tuu
 
Mwenzangu hata mimi nimejifunza kwa Zuhura, siachani tena na mukaka wangu.

Zari lazima aje na drama mpya, huwa anajidai yuko cool kwa kudhani yataisha na Diamond hataoa atarudi kwake.

Ngoja tuone…
Kung'ang'ana ndio habari ya mujini
 
View attachment 3225842

Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’

Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.

Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.

Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.

Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.

Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?

Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.

Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya keshokutwa tarehe 7.

Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.

Straight From The Horse’s Mouth,

Nifah.
Ngoja tusubiri tuone...Maana kuna moja alikuwa anasema dadake cjui ilikuwa hivo hivi imefika siku ya posa Mondi kasema amebadili maamuzi haoi tenah
 
Uzuri na ubaya wa ndoa za kiislamu ni wazee wa watukufu wa kiislamu wana uwezo wakuhalalisha ndoa na wana uwezo wa kuhalalisha kuvunja ndoa

Ramadan ikiisha wanaachana very simple, wazee wanaitwa wanahalalisha kuachana

Yaan hapo tiar mnakuwa mshagongana mwezi mzima
 
View attachment 3225842

Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’

Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.

Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.

Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.

Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.

Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?

Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.

Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya keshokutwa tarehe 7.

Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.

Straight From The Horse’s Mouth,

Nifah.
Kwaiyo hizi ni za chinichini😂😂😂
 
Hakuna ndoa hapo,ni video ya walewale inaachiwa soon, nilivujishiwa chatting zao
 
Ndoa ya kimkakati, Dai kashaona life span ya muziki wake inadecline.....na pesa ya muziki anaitaka....Pia Zuchu anamuingizia pesa nzuri.....
Anamuoa ili kumfunga asiondoke, pesa iendelee kuflow kwake.
Huu ndio Ukweli na "uwakika" wa hii harusi ya zuu na monde
 
Akizalishwa nje ya ndoa mtoto anakosa h
Wazanzibar huolewa wakiwa bikra, huyo hana sifa hiyo.
Mtoto akizaliwa nje ya ndoa anakosa haki zote za baba .
-atapewa jina la mjomba
-hatambuliki ubabani.
-ni aibu kuzalishwa nje ya ndoa.
 
View attachment 3225842

Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’

Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.

Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.

Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.

Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.

Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?

Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.

Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya keshokutwa tarehe 7.

Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.

Straight From The Horse’s Mouth,

Nifah.
Akijichanganya tu kumuoa huyu kwisha kes itaenda mahamakam wasafi tv itagawanywa had vijiko maana mkakat wa kwanza wa zuchu na mama yake ni ndoa
 
Ila wale wanapendana bwana...Nasibu akiwaga na Zuhura huwa anakuwa natural flani tofauti akiwa na Zari ,Donna sijui Fanta wote anakuwa amekaa ki camera camera....Hapo tatizo ni monster in law
 
Waweke laivu na wa funga ndoa wawe wa kweli isiwe maigizo.
Kwa jinsi ninavyomfahamu Diamond anacheza tu na akili za watu ili aendelee kufuatiliwa na kutrend,hakuna ndoa hapo.
Kama Diamond angekuwa ni muoaji angeshaoa miaka mingi sana tangu enzi zile za wakina Wema sepetu miaka hiyo Zuchu bado kitoto kidogo ila inavyoonekana ni kama kuna sharti fulani la mganga wake linalomzuia kuoa huyu jamaa ndio maana akawa anawazalisha tu anasepa.
Akioa niite mbwa nimekaa pale
 
Akijichanganya tu kumuoa huyu kwisha kes itaenda mahamakam wasafi tv itagawanywa had vijiko maana mkakat wa kwanza wa zuchu na mama yake ni ndoa
Hivi ina maana Zuchu hadi leo bado hajajipata hadi awe na mawazo kama haya ya kimaskini?
 
Back
Top Bottom