Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Ila wale wanapendana bwana...Nasibu akiwaga na Zuhura huwa anakuwa natural flani tofauti akiwa na Zari ,Donna sijui Fanta wote anakuwa amekaa ki camera camera....Hapo tatizo ni monster in law
Sababu wote ni waswahili ndio maana wanakuwa natural happy. You know what i mean?
 
Akijichanganya tu kumuoa huyu kwisha kes itaenda mahamakam wasafi tv itagawanywa had vijiko maana mkakat wa kwanza wa zuchu na mama yake ni ndoa
Sio kirahisi namna hiyo.
 
Ila wale wanapendana bwana...Nasibu akiwaga na Zuhura huwa anakuwa natural flani tofauti akiwa na Zari ,Donna sijui Fanta wote anakuwa amekaa ki camera camera....Hapo tatizo ni monster in law
Sasa mbona Diamond hajawahi kuweka mahusiano yao wazi kama hao wenzie?
 
Unaweza hangaika na watoto wazuri wenye shape na maumbo mazuri Kwa muda mrefu na usiridhike ila anatokea mdada wa kawaida sana anakushika idara zote kitandani mpaka jikoni, ukiwa nae unakua tu na amani ya moyo
Huyo ndio mimi sasa yaani EX wa mme wangu nikiwaona hadi natetemeka ila kanioa mimi katulia hadi watu wanamshangaa,mimi wenyewe sasa duh,ila ndio hivyo miaka inakatika na watoto watano nimemzalia wana akili shuleni hatari.Siku tukukaa tunapiga story zetu ananisimulia habari za ex zake tunaangalia picha zao namchekaaa ,tunachekaaa tunaenda kupeana utamu tunaliiiiiia tukimaliza tunakoroma usingizi.
 
Safi sana!
Mna nafasi yenu peponi, Ikifika point ya kuoa wanaume wapo smart sana kuchagua maana hapo ni suala la uchumi, watoto, amani ya moyo, PR na jamiii, mambo ya kiimani na future nzima ya familia
 
Huwa siandiki habari za kubahatisha. Diamond na Zuchu wamefanya kiki kibao sijawahi kuandika hata 1, hadi naandika nina uhakika.
Miye sina neno kwako dada haya mitano teeena mpendwa.
 
Back
Top Bottom