Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira uanze kwa NifahTarehe 7 si ndio leo? Vipi huko ngapi ngapi?
Sawa boss,niko njiani piakutafuta jikoTulieni wadau, siku haijaisha bado.
Kuna taarifa nimepewa ila tusubiri hadi baadaye tutajua zaidi.
Amen nitakupa utangaze pia JFMungu akuongoze, upate mke mwema.
Aoe umri unakimbiaView attachment 3225842
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana Zuchu alitangaza kwa mara nyingine kuachana kwao japo amekuwa akifanya hivyo mara nyingi na baadaye kurudiana.
Safari hii mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya majuzi kuibuka ugomvi ndani ya kampuni upande wa redio kwa Zuchu kuwashutumu wafanyakazi wa Diamond kumvunjia heshima.
Zuchu ameonekana ‘kukaza’, hajacheka na yeyote akiwemo Diamond mwenyewe na pengine hili limesogeza karibu ndoa yao.
Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.
Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?
Ndoa ni kabla ya Ramadhani…
Mwezi uliopita Diamond akiwa na msanii mwenzie Nandy katika mkutano mkuu wa CCM, alionekana akisema atamuoa Zuchu kabla ya Ramadhani ya mwaka huu ambayo inategemewa kuanza mapema mwezi Machi.
Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya kesho kutwa tarehe 7.
Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea taarifa.
Straight From The Horse’s Mouth,
Nifah.
Atangaze yako ya nini sisi?Amen nitakupa utangaze pia JF
View attachment 3225842

Wanaume hatutegeki hivyo we bintiAtangaze yako ya nini sisi?
Hatuwezi kuhudhuria sherehe ya kolo hata iweje hatuji
Hatuji kwenye sherehe lako hilo wewe neng'eneka tuWanaume hatutegeki hivyo we binti
Mengi kati ya uliyosema ni kweli Mkuu.Aaahh wapi, hiyo ni janja janja ya Diamond, nasema Zuchu akiendelea kumpa jicho basi Diamond anaendeleza ufirauni wake ndoa hakuna, keep this comment that is what is going to happen..!!
Diamond sio muoaji, watoto anao kibao, so yale mapenzi kwa mwanamke hana tena, sbb ana ile dhana 100% kuwa hakuna mapenzi tena na wanawake wanafuata kwake fedha na kikwazo kikubwa kabisa ni Mama yake, huyo ndio kabisa, hata wakioana wataachana haraka sana, totally impossible
Huyu ndiye yule majuzi alilalamika kuwa amenyanyaswa kisaikolojia?Zuchu ameshinda vita iliyowashinda wengi?…
The mother in law from hell, Mama Diamond amekuwa mwiba mchungu takribani kwa kila mwanamke aliyetoka kimapenzi na Diamond.
Amesemekana kikwazo kikuu kwa Diamond kuoa, hivyo posa hii kwa Zuchu inatuacha njia panda kwamba Mama Dangote kapata kiboko yake? Je posa hii ina baraka za mama yake Diamond?
🤣Hilo kabila nimelipenda, safi sana.