Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Ila wewe njinjo mbea jamani! Nacheka sana posts zako.
Unajua nikueleze ukweli, Diamond amekulia katika mikono yetu. Namkumbuka nikimuuliza kuwa ana matatizo yepi alipokuwa anadai kula wasichana nao wanakanusha. Alinijibu kuwa kwanini wasiseme ukweli? JK amefanya kazi kubwa kwa Diamond na bila JK Diamond asingekuwa hapo alipo. 2010 katika kampeni za JK acha tu.

Kwa hiyo inaniuma Diamond kuoa mtu kama Zuchu wakati warembo na mabinti wadogo wapo. Ila faida ya Zuchu ni kuwa hatotoa, maana msichana akishatotoa .... tuyaache.
 
Halafu kuna wajinga juzi walikuwa wanasema wanawake wa 30+ hatuolewi, Kama Diamond anaoa wao ni akina nani?
Inawezekana sana kama mmekuwa kwenye uchumba na mwenzako kwa muda mrefu, kama mmeanza ku date ukiwa mid 20s, ukafika 30+ upo ane kwanini asikuoe...

Ugumu unakuja kukutana na 30+ halafu mfanye mipango ya ndoa... huo umri unakuwa out of league.. kuna watoto wa early 20s wapo...
 
Duh, ila hakika dunia duara...ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Au ukitaka kumchinja kuku unamrushia mttama aingie ndani ukamalize kazi.
 
Unaweza hangaika na watoto wazuri wenye shape na maumbo mazuri Kwa muda mrefu na usiridhike ila anatokea mdada wa kawaida sana anakushika idara zote kitandani mpaka jikoni, ukiwa nae unakua tu na amani ya moyo
 
Hayo mambo ya kuonja onja hata yakitukuta sisi Wazee ndiyo mwanzo wa kumkabidhi Binti wa elfu 2 kadi na password ya Benki akajichotee Pension yote

Kuja kutahamaki unajikuta pension imeenda 🙌
Umenifurahisha! Usicheze na watoto wa 2000, ni balaa. Unaweza jikuta matonya barabarani
 
Waswahili walisema ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Diamond kuoa Zuchu ni kichekesho ujue
Lakini kwanini unasema ni kichekesho? Kwamba zuchu sio mwanamke? Kwamba hawezi kumshibisha Kiroho na kimwili? Kwamba hana roho nzuri, hawezi kumlelea familia yake?
 
Unaweza hangaika na watoto wazuri wenye shape na maumbo mazuri Kwa muda mrefu na usiridhike ila anatokea mdada wa kawaida sana anakushika idara zote kitandani mpaka jikoni, ukiwa nae unakua tu na amani ya moyo
Kwa kweli Mkuu, Kwa uzoefu wangu na umri Mkubwa nilionao Wadada wengi wenye shape na warembo huwa hawana maajabu Kwa bed
 
Mzinifu haoi isipokuwa Mzinifu mwenzie.
Na Mzinifu Mwanamke haolewi isipokuwa na Mzinifu mwenzie
 
Lakini kwanini unasema ni kichekesho? Kwamba zuchu sio mwanamke? Kwamba hawezi kumshibisha Kiroho na kimwili? Kwamba hana roho nzuri, hawezi kumlelea familia yake?
Kabla sijajibu nakuomba nijue wewe ni Ke au Me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…