Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Tetesi: Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!

Maandalizi ya Ramadhan, aile bila kutenda dhambi..safi sana! Ila katika watu waliozifaidi nyapu ni huyu dogo, amezila hadi akaona sasa basi
 
Sijui kwa nini hadi leo huwa naona kuna walakini wa uhalisia wa mahusiano ya Zuchu na Diamond. Naona ni kama kiki au biashara tu kwa sababu Diamond hajawahi kuwa proud nayo

Hivi kibongobongo kuna prenuptial kwamba unaweza sign kabla ya ndoa maridhiano ya kutogawana mali pale mtakapoachana
 
Yani Zuhu anakubali ndoa ya uji? Familia ya mume kimeo, bado bwana boksa mkononi kokote anaivua.!! Hongera zake kwa kujiongezea matatizo.!
 
Unaniita mtoto unataka kuninyima nini?
buti.jpg

Hebu nipe shikamoo, nshazeeka..
 
Hahaha........wengi huwa ni risk taker, kwahiyo wako radhi kufanya na kukupa kila kitu ili kukuteka

Wakianza kunyonya Koni utasema hawana meno mdomoni 🙈🏃🏃🏃
Acha kutoa siri za mababu na wajukuu (joke)! Ukweli binti wa under 25 ni balaa kwa 60+ ujue. Huwa nawaita marafiki wa hiari.
 
Hawa wadada tunaowaona wa kawaida wana mbingu yao umpate ambae sio mnene hana kitambi, msafi, anajua mapishi & sio ropo ropo hapo ni kuwahi tu Kwa mkuu wa wilaya mkaingie mkataba
You have uncoded all the code
 
Acha kutoa siri za mababu na wajukuu (joke)! Ukweli binti wa under 25 ni balaa kwa 60+ ujue. Huwa nawaita marafiki wa hiari.
Hahaha..............bora tumezeeka sasa vinginevyo pension zingeenda😜
 
Mi mbona kuna mtoto wa mtu nimemng’ang’ania jamani?

Karibia mwaka wa pili yuko safarini namsubiri!
Usijali atakuja mamie, ya kwako lazima nihudhurie alafu nilete uzi humu ilivofana dizaini unavotuleteaga za watu.
 
Bado siyo sababu Nifah...
Hujawahi kuona Uchumba unaweza kudumu hata miaka mitano..
Ila Ndoa mwaka mmoja tu Chalii...

Mungu awasaidie.
.......so unamaanisha ni swala la muda tu, kataa ndoa watazoa point tatu muhimu......
 
Back
Top Bottom