gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Na Gaza kuna watu wangapi?..we *** *** tuKutoka Uwanja wa Ndege wa Ramon huko Eilat ndiyo wameanza lakini viwanda vingine walishaanza muda mrefu kuwasafirisha kuwapeleka Indonesia na nchi zingine za kiislamu.
Na mpaka sasa waliotoka Gaza kwa hiari ni zaidi ya 5,000!,
Hujasoma bibilia ukaielewa vizuri, Tafakari Gaza iliitwaje kwenye bibilia, ila nisawa kama usipo tafakari maana nikawaida kubeba tusivyojua tukaviongeaSafi sana. Nchi ya ahadi ni kwa ajili ya kizazi cha Yakobo. Tuwatakie safari njema watapata pahala pengine pa kuishi inshaallah. Wamwachie mwenye ardhi ardhi yake badala ya ubishi usio na sababu.
Hivi unajua mpaka sasa wameondoka wangapi? Hiyo ni safari moja na bado viwanja vingine vya Israel.kichwa kisicho na akili mzigo kwa shingo,watu 50000+ GAZA wamekufa bado zaidi ya milioni 2 wapo hapo ila kuondoka watu 600 ndo watu wote milioni 2 GAZA wameondoka...vita isiyo na malengo haiwezi kukupa ushindi,bado sana
Hivi unajua Israel iliabudu miungu mingine na mkuchukiza Mungu kiasi kwamba maandiko yana kuambia ila unasomewa kanisani husomi chumbaniHiyo ardhi Mungu aliwapa wana wa Yakobo anayebisha ni kiburi chake tu.
unajua maana Ya Genocide na Kama Israel Ashawatendea wapalestine Genocide.. Kwanza unajua wa palestine wako hostage kwa Israel?, unauliza kwanini walifanya mauaji oct 7 rudi nyuma 2022 waliuliwa waandishi wahabr wakipalestine na hausiki maana media iko chini ya AIPAC na ISRAEL HAMTEGEMEI MUNGU TENA ANATEGEMEA SHIRIKA LA AIPAC LINALO FUND ELECTION ZA AMERICA NA MILLITARY AIDS ISRAEL......ukifwata mkombo hauezi kuwa OPEN MINDEDHivi unajua mpaka sasa wameondoka wangapi? Hiyo ni safari moja na bado viwanja vingine vya Israel.
Kinachotakiwa raia wema wote watoke ndipo sekeseke ya nguo kuchanika lianze ninakuambia hakutakuwa na masalia mtume huko Gaza. Hamas watajuta kwa nini walifanya mauaji Oct 07,2023
Silas Samuel tumia akili yako vizuri!! Kwanza hujui maana ya GENOCIDE na ndiyo maana unajifanya kuuliza.unajua maana Ya Genocide na Kama Israel Ashawatendea wapalestine Genocide.. Kwanza unajua wa palestine wako hostage kwa Israel?, unauliza kwanini walifanya mauaji oct 7 rudi nyuma 2022 waliuliwa waandishi wahabr wakipalestine na hausiki maana media iko chini ya AIPAC na ISRAEL HAMTEGEMEI MUNGU TENA ANATEGEMEA SHIRIKA LA AIPAC LINALO FUND ELECTION ZA AMERICA NA MILLITARY AIDS ISRAEL......ukifwata mkombo hauezi kuwa OPEN MINDED
HAHAHHAA haki nimefurahi, Mkuu Genocide ni kitendo cha ku destroy vyote au vichache Either Wawe ni wapare tuu au wawee weusi Tuu sasa nikufundishe Genocide imetokea vipi Israel kupiga bomb Gaza na kuamua kuua watu wa aina ya kipalestine au mpka hitler awa chome ndo mseme israel kafanyiwa genocideSilas Samuel tumia akili yako vizuri!! Kwanza hujui maana ya GENOCIDE na ndiyo maana unajifanya kuuliza.
Naomba twende pamoja nini maana ya GENOCIDE nielezee ili tuanzie hapo nasubiri majibu yako na usinikimbie!!
Labda nimekujibu kimtaani sana ni wakat wakutumia ela ya wazazi vizuri soma kama unajali kujuaSilas Samuel tumia akili yako vizuri!! Kwanza hujui maana ya GENOCIDE na ndiyo maana unajifanya kuuliza.
Naomba twende pamoja nini maana ya GENOCIDE nielezee ili tuanzie hapo nasubiri majibu yako na usinikimbie!!
Mwandiko tu unakuaibisha! Echolima1 unapata wapi muda wa ku-argue na huyu?HAHAHHAA haki nimefurahi, Mkuu Genocide ni kitendo cha ku destroy vyote au vichache Either Wawe ni wapare tuu au wawee weusi Tuu sasa nikufundishe Genocide imetokea vipi Israel kupiga bomb Gaza na kuamua kuua watu wa aina ya kipalestine au mpka hitler awa chome ndo mseme israel kafanyiwa genocide
Hahahaha Kama hujui lazima uchukieMwandiko tu unakuaibisha! Echolima1 unapata wapi muda wa ku-argue na huyu?
andika barua maana unamwndko mzur mkuu naachia AI aniandikie 😅Mwandiko tu unakuaibisha! Echolima1 unapata wapi muda wa ku-argue na huyu?
Aisee,Gaza wanatakiwa wabakie Magaidi tu ili wafyekwe vizuri!!
Acha ujinga na kufurahia Upumbavu wako kwa taarifa yako tu Gaza hakuna Genocide Hivi unajua wapalestina wako zaidi ya Million mbili huko Israel? Je wajua kuwa Jeshini kwa maana ya IDF wako waarabu wengi sana? Je wajua kuwa kuna wabu ge wa Kiarabu kwenye Bunge la Israel? Je Wajua kwenye Taasisi mbalimbali Israel kuna waarabu wengi na wengine ni Viongozi wa taasisi hizo? Kama hayo yote huyajui niambie nikupe ukweli wake.HAHAHHAA haki nimefurahi, Mkuu Genocide ni kitendo cha ku destroy vyote au vichache Either Wawe ni wapare tuu au wawee weusi Tuu sasa nikufundishe Genocide imetokea vipi Israel kupiga bomb Gaza na kuamua kuua watu wa aina ya kipalestine au mpka hitler awa chome ndo mseme israel kafanyiwa genocide
Hivi wewe unajua maana ya “ZIONIST” acha kukaririshwa hata hiyo Genocide huko Gaza haipo ni kichaka tu cha magaidi kutafuta huruma baada ya wao kuyakanyaga hapo Oct 07,2023!,,#Echolima1 Maandiko yanasema Tafuteni nanyi mtapata bisheni na nyi mtafunguliwa -- i don't argue man, I literaly spit facts *** Tafuta mtu anaitwa Theodor Herlz...unatakiwa ujue hata hao ISRAEL kuna Watu wanaoitwa ZIONIST wenye idea yote ya ilo swala la kuwafanyia GENOCIDE watu wa GAZA #knowledge sio kuamini unachosikia au kuambia tafuta Na wewe pia.
Alot Of Nothing... Jibu swali Israel Imeuwa wapestine wangapi Nchini Gaza?Acha ujinga na kufurahia Upumbavu wako kwa taarifa yako tu Gaza hakuna Genocide Hivi unajua wapalestina wako zaidi ya Million mbili huko Israel? Je wajua kuwa Jeshini kwa maana ya IDF wako waarabu wengi sana? Je wajua kuwa kuna wabu ge wa Kiarabu kwenye Bunge la Israel? Je Wajua kwenye Taasisi mbalimbali Israel kuna waarabu wengi na wengine ni Viongozi wa taasisi hizo? Kama hayo yote huyajui niambie nikupe ukweli wake.
Na kama waarabu wako maeneo yote hayo wewe Unasemaje Israel inafanya Genocide huko Gaza? Najua ujinga huu wengi mnao hamjui maana ya Neno GENOCIDE na hii ni kwa sababu mnakaririshwa tu na media za kiarabu nanyi Wamatumbi wenzangu mnalidaka juu kwa juu na kuonyesha ujinga wenu ulivyo!!!
Kama ni Genocide wao ndiyo walifanya Genocide kwa kuua wayahudi tu na mpaka sasa hivi hakuna hata Myahudi hata mmoja huko Gaza au huko West-Bank wakati wao ndiyo walikuwa ni wenyeji wa maeneo hayo!!
Unapambania oct 7 basi nenda kaendeki hivi uko unapojua "what lead to Oct7 and what is Zionist mission and vission Kwanza scrach that nenda kaandike Theodor herlz mission and vission for IsraelHivi wewe unajua maana ya “ZIONIST” acha kukaririshwa hata hiyo Genocide huko Gaza haipo ni kichaka tu cha magaidi kutafuta huruma baada ya wao kuyakanyaga hapo Oct 07,2023!,,