Hayawi sasa yamekuwa: Nedy Music na mwonekano wa tofauti ndani ya gauni la kike

Said Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"

Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa

Ubwabwa umepamba moto
 
usitumie nguvu sana.we angalia tu egemeo la kiti alichokalia halafu utajua nguvu ya Gay Agenda inakotokea
 
Said Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"

Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa

Atakuwa na tabia kama za golikipa no 3 wa timu utopolo
 
Back
Top Bottom