This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Malkia huyo na crown yake kichwani.
Mtoto wa kiume unavaa gauni unasema Ni fasheni. Duuuh!
Mtoto wa kiume unavaa gauni unasema Ni fasheni. Duuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume tuendelee kupiga zoezi mana mboga znaongezeka kila siku😂😂😂Malkia huyo na crown yake kichwani.
Mtoto wa kiume unavaa gauni unasema Ni fasheni. Duuuh!
Ubwabwa umepamba motoSaid Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"
Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa
Wanaume hoyeeee, hoyeeee jipangeni zaidi mboga njenje kila siku zinaongezeka,Ubwabwa umepamba moto
usitumie nguvu sana.we angalia tu egemeo la kiti alichokalia halafu utajua nguvu ya Gay Agenda inakotokeaSaid Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"
Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa
Atakuwa na tabia kama za golikipa no 3 wa timu utopoloSaid Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha "African Fans favourite"
Hivi karibuni ameachia picha mpya akiwa amevalia gauni, Kwa mujibu wa kauli yake amesema hili sio Gauni la kike Ila ni fashion na ametumia ubunifu ili hata wanaume wengine waweze kuvaa
Hawa kina hassan(Kayumba) na kina saidi(Nedy) wanatuharibia kizazi chetuSijui ata wanamatizo gani juzi juzi Kayumba kaweka wigi Leo huyu
Kuna muhindi mduwanzi kichizi anataka nimsukumie kitu. Nikamwambia ukiendelea kunisumbua nakupeleka polisiWanaume hoyeeee, hoyeeee jipangeni zaidi mboga njenje kila siku zinaongezeka,
imebanniwa hii accountMzee ingia tweeter andika shetani8 utakutana na balaaa mwenyewe😂😂😂
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muhindi mduwanzi kichizi anataka nimsukumie kitu. Nikamwambia ukiendelea kunisumbua nakupeleka polisi
Ndo nani tena mbona naona nyota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo town kweli? Ya kabwili je?
[emoji23][emoji23][emoji23] kipa wa yanga?Ndo nani tena mbona naona nyota