Je unaamini Mungu yupoUmeshaanza kupata nafuu tayari... Kilichobaki uelewe tu hizi dini ni project za watu
Mungu wa aina ganiJe unaamini Mungu yupo
Aisee,2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
😁😁😁 Au ndiyo imeshalewa, nakusudia aliye umba mbingu na ardhi .Mungu wa aina gani
Haya huyo jini ndiyo naniAisee,
Kwa hiyo wale wanaosema ililetwa na jini kutoka angani ni waongo??
Unataka niamini au nijue?😁😁😁 Au ndiyo imeshalewa, nakusudia aliye umba mbingu na ardhi