ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,814
- 7,351
Waislam hawataki kuona wala kusikia,uzuri nia kwamba ukweli upo hadhani na hawawezi tena kupiga propaganda za uongo.Hii video kila nikiisikiliza natetemeka

Sawa kwa Quran: Je kwa biblia katika utafiti wako uligundua lugha rasmi ya Biblia?? Maana naona leo kila mtu anasoma biblia kwa lugha yake tofauti na Quran tunaisoma dunia nzima kwa lugha ya Kiarabu, tutajie lugha ya biblia ilivyoshuka hassa ni ipi, lugha biblia ni ipi?Shalom, Salam alaikum.
Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu).
Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito).
Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa chanzo cha Quran.
Vitabu vya Quran vilivyokuwa vimeandikwa kabla ya kifo cha Mtume Muhammad vilikusanywa na kuunganishwa kuwa kitabu kimoja baada ya kifo chake. Mchakato huu ulifanywa hasa na makhalifa wawili wa mwanzo, Abu Bakr na Uthman ibn Affan. Hapa kuna muhtasari wa hatua muhimu katika uunganishaji wa Quran:
1. Wakati wa Uhai wa Mtume Muhammad: Wakati Mtume Muhammad alikuwa hai, wahyi wa Quran ulipokelewa na kuandikwa na wafuasi wake kwenye nyenzo mbalimbali kama vile ngozi, mifupa, na majani. Wengi walikuwa pia wameuhifadhi katika akili zao.
2. Mchakato wa Abu Bakr: Baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 CE, baadhi ya wafuasi ambao walikuwa wamehifadhi Quran kwa kuikumbuka waliuawa katika mapigano. Khalifa wa kwanza, Abu Bakr, alihofia kwamba wahyi huo ungepotea, hivyo akaamuru uandikaji wa Quran kuwa kitabu kimoja. Zayd ibn Thabit, mmoja wa wahitimu wa Mtume, aliteuliwa kukusanya na kuandika vipande vya Quran kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
3. Uthman na Usawazishaji: Baadaye, chini ya utawala wa Khalifa Uthman ibn Affan (644-656 CE), aliona kwamba katika maeneo mbalimbali kulikuwa na tofauti za usomaji na maandiko. Ili kuleta usawa, Uthman aliamuru kutengenezwa nakala rasmi ya Quran na kupeleka nakala hizo katika maeneo tofauti. Nakala nyingine zilisitishwa ili kuepuka tofauti.
Mchakato huu wa uunganishaji na usawazishaji ulihakikisha kwamba Quran iliifadhiwa katika fomu moja na inayoaminika hadi leo, kulingana na imani ya Kiislamu.
Biblia haikushuka chief,lugha ya asili ya wayahudi wa agano la kale ni kiyahudi,agano jipya ni lugha ya armaic. Quran kuwa ya kiarabu hakuifanyi kuwa special.Sawa kwa Quran: Je kwa biblia katika utafiti wako uligundua lugha rasmi ya Biblia?? Maana naona leo kila mtu anasoma biblia kwa lugha yake tofauti na Quran tunaisoma dunia nzima kwa lugha ya Kiarabu, tutajie lugha ya biblia ilivyoshuka hassa ni ipi, lugha biblia ni ipi?
Hapo hamna tusi, upumbavu ni silka yako mkuu, maana hata kuona na kusikia pia huwezi.Wewe tukana matusi yote ,kwani kukutana Mecca ndiyo kwamba mna kitabu kimoja? Nimeuliza swali hapa, kwanini ukiingiaesaudi arabiyna Quran yeyote isipokuwa Hafs una nyang'anywa airport na kupewa Hafs Quran? Kama kweli Quran ni moja kwanini wanafanya hivyo?
Ila ku editiwa kwa bibilia kuna ifanya iwe special?,Biblia haikushuka chief,lugha ya asili ya wayahudi wa agano la kale ni kiyahudi,agano jipya ni lugha ya armaic. Quran kuwa ya kiarabu hakuifanyi kuwa special.
Nakusikitikia ndugu yangu, njoo ktk dini ya haki uislamuMtume Paul ni bora kuliko Mohamed, Mohamed hastahili hata kufunga kamba za viatu vya mtume Paul.
Weka ushahidi wa hilo, alafu wewe ni bogus kweli kweli, sasa ukipewa msahafu mpya ndio umepewa Quran mpya?,Wewe tukana matusi yote ,kwani kukutana Mecca ndiyo kwamba mna kitabu kimoja? Nimeuliza swali hapa, kwanini ukiingiaesaudi arabiyna Quran yeyote isipokuwa Hafs una nyang'anywa airport na kupewa Hafs Quran? Kama kweli Quran ni moja kwanini wanafanya hivyo?
Asante kwa dharau shehe, Sababu ya Yesu kuwakataza wasimwite Kristo (Mathayo 16:20) ilikuwa ni ya kisiasa . Hakutaka kusumbuliwa na dola ya Kirumi pamoja na viongozi wa dini ya kiyahudi. Muda wake ulikuwa bado haujatimia.Nakusikitikia ndugu yangu, njoo ktk dini ya haki uislamu
KWA WENYE MACHO NA MASIKIO NA AKILI PIA , MAMBO YALIANZIA HAPA
matayo 16:20
Luka 9:18-21
Haya hizo ni ushahidi milele ya kwamba yesu mwenyewe kwa kinywa chake ali wakataza sana wanafunzi wake wasi muite kristo.
Sasa wewe unaye muita yesu kuwa ni kristo nani ka kuruhusu ilhali yeye mwenyewe amekataa kata kata kuitwa kristo
Ukweli ni mchungu.
Aliye anzisha ukristo Duniani ni Paulo na alianzia hapa
Matendo ya mitume 11:25-26
Sasa tujiulize kabla ya Paulo kutangaza ukristo pale ANTIOKIA
Yesu na wafuasi wake walikua dini gani ?
Sasa mpaka hapo ushajua kuwa kwanini nakudharau??
Huna elimu yoyote, bibilia ni mchongo mchongo mchongo tu kila mahali
KARIBU KTK DINI YA HAKI NA YA KWELI UISLAMU
Asante kwa dharau shehe, Sababu ya Yesu kuwakataza wasimwite Kristo (Mathayo 16:20) ilikuwa ni ya kisiasa . Hakutaka kusumbuliwa na dola ya Kirumi pamoja na viongozi wa dini ya kiyahudi. Muda wake ulikuwa bado haujatimia.
Matendo ya mitume 11:25 inaelezea jinsi wafuasi wa Yesu walivyoanda kujitambua na kujitambulisha kwa jina lake. Ukristo ina imani kwa Yesu Kristo mwenyewe na sio ishu iliyoletwa na Paulo.
Shida yako ni moja tu ,unasoma Biblia na kutafsiri out of context shehe, siwezi kuja kwenye uislamu kwa sababu zifuatazo.
1) Uislamu ni copy ya imani za kale kabla yake, Mohamed amekopi kutoka kwenye dini ya wayahudi na wakristo kisha akajimilikisha msingi wa imani zao.
2)Allah hajawahi kuwa Mungu wa wayahudi wala wakristo, ukisoma maandiko ya kale kabisa ya wayahudi Mungu wao anaitwa Yahwe. Yawhe sio Allah .
3) Quran imechakachua na kubadilisha historia za manabii wa kale,sio hivyo tu bali pia imechukua story za kufikirika na kuziweka ndani yake.
Mfano
Mfalme Suleiman kuongea na majini, Yesu kuumba ndege kutokana na udongo,kukanusha kusulubiwa,kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo nk.
5) Mohamed, Quran na uislamu ndiyo mpinga kristo mwenyewe aka DILJAL. Mpinga kristo ni nani? Ni yule anayepinga mafundisho na unabii wake.
(a)Uislamu unapinga kwamba yeye sio mwana wa Mungu (Luka 1:35).
(b) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakusulubiwa (Marko 15:42)
(c) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakufa (Mathayo 27:45-56)
(d) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakufufuka (Luka 24:1-12)
Quran ni copy ya story za manabii iliyochakachuliwa, lakini pia mtunzi wale anadai kitabu chake ndiyo cha kweli kuliko vya awana
Kama aliwakataa wanafunzi wake wasi muite kristo eti kwa kuogopa warumi (siasa),li yake .
"Yesu mwana wa mungu"Asante kwa dharau shehe, Sababu ya Yesu kuwakataza wasimwite Kristo (Mathayo 16:20) ilikuwa ni ya kisiasa . Hakutaka kusumbuliwa na dola ya Kirumi pamoja na viongozi wa dini ya kiyahudi. Muda wake ulikuwa bado haujatimia.
Matendo ya mitume 11:25 inaelezea jinsi wafuasi wa Yesu walivyoanda kujitambua na kujitambulisha kwa jina lake. Ukristo ina imani kwa Yesu Kristo mwenyewe na sio ishu iliyoletwa na Paulo.
Shida yako ni moja tu ,unasoma Biblia na kutafsiri out of context shehe, siwezi kuja kwenye uislamu kwa sababu zifuatazo.
1) Uislamu ni copy ya imani za kale kabla yake, Mohamed amekopi kutoka kwenye dini ya wayahudi na wakristo kisha akajimilikisha msingi wa imani zao.
2)Allah hajawahi kuwa Mungu wa wayahudi wala wakristo, ukisoma maandiko ya kale kabisa ya wayahudi Mungu wao anaitwa Yahwe. Yawhe sio Allah .
3) Quran imechakachua na kubadilisha historia za manabii wa kale,sio hivyo tu bali pia imechukua story za kufikirika na kuziweka ndani yake.
Mfano
Mfalme Suleiman kuongea na majini, Yesu kuumba ndege kutokana na udongo,kukanusha kusulubiwa,kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo nk.
5) Mohamed, Quran na uislamu ndiyo mpinga kristo mwenyewe aka DILJAL. Mpinga kristo ni nani? Ni yule anayepinga mafundisho na unabii wake.
(a)Uislamu unapinga kwamba yeye sio mwana wa Mungu (Luka 1:35).
(b) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakusulubiwa (Marko 15:42)
(c) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakufa (Mathayo 27:45-56)
(d) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakufufuka (Luka 24:1-12)
Quran ni copy ya story za manabii iliyochakachuliwa, lakini pia mtunzi wale anadai kitabu chake ndiyo cha kweli kuliko vya awali yake .
Mkuu uislamu ni level nyingine, huku ni HAKI NA ukweli mtupu, wewe ongelea unacho kijua, maana hata hiyo Bibilia yako huwezi ibeba na sio wewe hata kwa wenzako pia ni sameAsante kwa dharau shehe, Sababu ya Yesu kuwakataza wasimwite Kristo (Mathayo 16:20) ilikuwa ni ya kisiasa . Hakutaka kusumbuliwa na dola ya Kirumi pamoja na viongozi wa dini ya kiyahudi. Muda wake ulikuwa bado haujatimia.
Matendo ya mitume 11:25 inaelezea jinsi wafuasi wa Yesu walivyoanda kujitambua na kujitambulisha kwa jina lake. Ukristo ina imani kwa Yesu Kristo mwenyewe na sio ishu iliyoletwa na Paulo.
Shida yako ni moja tu ,unasoma Biblia na kutafsiri out of context shehe, siwezi kuja kwenye uislamu kwa sababu zifuatazo.
1) Uislamu ni copy ya imani za kale kabla yake, Mohamed amekopi kutoka kwenye dini ya wayahudi na wakristo kisha akajimilikisha msingi wa imani zao.
2)Allah hajawahi kuwa Mungu wa wayahudi wala wakristo, ukisoma maandiko ya kale kabisa ya wayahudi Mungu wao anaitwa Yahwe. Yawhe sio Allah .
3) Quran imechakachua na kubadilisha historia za manabii wa kale,sio hivyo tu bali pia imechukua story za kufikirika na kuziweka ndani yake.
Mfano
Mfalme Suleiman kuongea na majini, Yesu kuumba ndege kutokana na udongo,kukanusha kusulubiwa,kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo nk.
5) Mohamed, Quran na uislamu ndiyo mpinga kristo mwenyewe aka DILJAL. Mpinga kristo ni nani? Ni yule anayepinga mafundisho na unabii wake.
(a)Uislamu unapinga kwamba yeye sio mwana wa Mungu (Luka 1:35).
(b) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakusulubiwa (Marko 15:42)
(c) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakufa (Mathayo 27:45-56)
(d) Uislamu unapinga kwamba Yesu hakufufuka (Luka 24:1-12)
Quran ni copy ya story za manabii iliyochakachuliwa, lakini pia mtunzi wale anadai kitabu chake ndiyo cha kweli kuliko vya awali yake .
Kweli uislam ni level nyingine na ndiyo maana mpaka Allah anamuombea Mohamed,sijui anamuombea kwa nani!!!Mkuu uislamu ni level nyingine, huku ni HAKI NA ukweli mtupu, wewe ongelea unacho kijua, maana hata hiyo Bibilia yako huwezi ibeba na sio wewe hata kwa wenzako pia ni same
YAANI BAADA YA KUJIBU MASWALI UNANI ATTACK ..PUNGUZA JAZBA KIJANA ,JIBU MASWALI.Wewe huna elimu yoyote hata kiduchu tu kichwani mwako upo full empty Ktk elimu ya dini, Quran kariim kuilewa sio mpaka eti uwe na roho Mtakatifu ( kama kichaka cha dini fulani) Quran kariim ina hitaji akili tu only,
1-3 , hamna hoja hapo
Duniani kote kitabu cha uislamu ni Quran kariim, nenda msikiti wa china, urusi, Australia na popote pale , hii hadi upewe andiko?, surat Fatah itakayo somwa china ndio hio hio itakayo somwa urusi, china na hapa kwa mtoro
Yaani hata kufikria tu huwezi
Yale mashindano ya kuhifadhi Quran kariim wana shiriki watu kutoka Mataifa mbali mbali lakini kitabu kinacho tumika ni kimoja (Quran kariim), lugha inayo Tumika ni moja (kiarabu)
Hata ktk ibada tunafanya pamoja
Mpka hapo ushajua Quran kariim ni maneno ya Allah
Quran kariim haita editwa na haijawahi ku editiwa never
Waislam wenge huanza mashambulizi wakikosa majibu ya mwaswali kuhusu dini yao.YAANI BAADA YA KUJIBU MASWALI UNANI ATTACK ..PUNGUZA JAZBA KIJANA ,JIBU MASWALI.
JAMAA ANAONGOZWA NA JAZBA BADALA YA KUJIBU HOJA..HALAFU ANAPENDA KUWATOA WENZAKE AKILI WAKATI YEYE MWENYEWE NI MWEUPE KICHWANI.Waislam wenge huanza mashambulizi wakikosa majibu ya mwaswali kuhusu dini yao.
Hapo sasa,kwao hawa mabwana Mohamed hakosei.JAMAA ANAONGOZWA NA JAZBA BADALA YA KUJIBU HOJA..HALAFU ANAPENDA KUWATOA WENZAKE AKILI WAKATI YEYE MWENYEWE NI MWEUPE KICHWANI.
Kwanini unasema maisha ya Yesu yamesimuliwa kidogo sana?Mkuu yesu mnasingizie bureeeee, bibilia imejaa maneno ya Paulo na maneno ya mchongo mchongo,
Bibilia imejaa vitabu visivyoeleweka nani muandishi wake na alikua na lengo gani, ili wana theology wanalitambua hili,
Bibilia origin yake ni ki Hebrew mnavyo sema hivi kitendo tu cha kuitafsiri kutoka Hebrew hadi ki italiano then ki italiano hadi kiingereza na kiingereza hadi kiswahili hivi kuna kuna kitu hapo 😂😂😂😂
Bibilia imejaa maswali kuliko majibu,
Hakina ukamilifu, hata maisha ya yesu yamesimuliwa kidogo sana
Huna hoja mkuu, upo empty kichwani kuhusu dini
Biblia haikushushwa (kama Quran) ila iliandikwa.Sawa kwa Quran: Je kwa biblia katika utafiti wako uligundua lugha rasmi ya Biblia?? Maana naona leo kila mtu anasoma biblia kwa lugha yake tofauti na Quran tunaisoma dunia nzima kwa lugha ya Kiarabu, tutajie lugha ya biblia ilivyoshuka hassa ni ipi, lugha biblia ni ipi?
Kumbe hata Korani imechakachuliwa? Basi kuna haja ya kurejea kwenye upagani na dini zetu za asili.Shalom, Salam alaikum.