Kunya ni tusi!?..yaani unaenda kutafuta habari za yanga tv ya simba!!Napokea historia siyo misalaba...
Halafu hiyo Quran ndiyo inakufundisha matusi? 🤔🤔🤔
Haswaa..Tunaambiwa kitabu cha quran kipo mbinguni ..Tujiulize kidogo maswali.
1.Ni nani aliyekiandika na kwa nini akiandike?
2.je kile alichoshushiwa Muhammad kilikuwa hakitoki kinywani mwa Allah bali kilikuwa kinatoka kwenye hiko kitabu kilichohifadhiwa?
3.Na kama hakitoki kinywani mwa Allah kwa nini waseme quran ni maneno ya Allah?
Naomba majibu hapa.Msilikimbie hili swali.
KWA nini nisilitumie,kwa nini lipo pale!?Kwahiyo kwenye kamusi Yako ya Kichwani umetafuta maneno, ukaona Hilo ndilo linafaa...🤔🤔🤔
Kama kawaida yenu kukimbilia kwenye kiarabu,.
Kama una bundle check Hii video ya Quran 26 zikichambuliwa utofauti wake.
View: https://youtu.be/dcoMB8nJWmw?si=RNnSY0dpiT-zRID-
Kisha urudi hapa na maelezo.
kumbe¿??👿Umechelewa kujua.
Caliph Uthman aliifanya hii kazi
Kichwa cha habari hakiendani na ulicho andika, Quran haijawahi kua edited rather published, kipi unachotaka kumaanisha.?
Badirikeni acheni ujinga mliolishwaHuna hoja wewe, tena hautokua na hoja dhidi ya Quran kariim then uka shinda
Wewe ndio mpumbavu tena wa mwisho, iweje umtegmee binaadamu (yesu) eti awe mungu au mwana wa munguBadirikeni acheni ujinga mliolishwa
Sawa sina hoja😂😂,najua ni jambo la imani na hata ukiletewa data huwezi kukubali. Allahu Akbar 🥂.Huna hoja wewe, tena hautokua na hoja dhidi ya Quran kariim then uka shinda
Ulivyo mpuuzi, eti uniletee data, uniletee data wakati akili,macho na masikio ninayoSawa sina hoja😂😂,najua ni jambo la imani na hata ukiletewa data huwezi kukubali. Allahu Akbar 🥂.
Tunaambiwa kitabu cha quran kipo mbinguni ..Tujiulize kidogo maswali.
1.Ni nani aliyekiandika na kwa nini akiandike?
2.je kile alichoshushiwa Muhammad kilikuwa hakitoki kinywani mwa Allah bali kilikuwa kinatoka kwenye hiko kitabu kilichohifadhiwa?
3.Na kama hakitoki kinywani mwa Allah kwa nini waseme quran ni maneno ya Allah?
Naomba majibu hapa.Msilikimbie hili swali

Wewe huna elimu yoyote hata kiduchu tu kichwani mwako upo full empty Ktk elimu ya dini, Quran kariim kuilewa sio mpaka eti uwe na roho Mtakatifu ( kama kichaka cha dini fulani) Quran kariim ina hitaji akili tu only,Tunaambiwa kitabu cha quran kipo mbinguni ..Tujiulize kidogo maswali.
1.Ni nani aliyekiandika na kwa nini akiandike?
2.je kile alichoshushiwa Muhammad kilikuwa hakitoki kinywani mwa Allah bali kilikuwa kinatoka kwenye hiko kitabu kilichohifadhiwa?
3.Na kama hakitoki kinywani mwa Allah kwa nini waseme quran ni maneno ya Allah?
Naomba majibu hapa.Msilikimbie hili swali
Mkuu yesu mnasingizie bureeeee, bibilia imejaa maneno ya Paulo na maneno ya mchongo mchongo,Kwahiyo ulitaka kwa vile Muhammad aliita kitabu chake Quran na Yesu naye angeita jumla ya vitabu vyote 66 vya Biblia au atabilia kwenye vitabu vyake (Gospel) kwamba jumla ya vitabu vyote viitwe Biblia 😀😀😀😀.
Kumbuka alikufa ata kabla ya Biblia kuandika kama ilivyokuwa kwa Quran na Muhammad.
Kama kawaida yenu kukimbilia kwenye kiarabu,.
Kama una bundle check Hii video ya Quran 26 zikichambuliwa utofauti wake.
View: https://youtu.be/dcoMB8nJWmw?si=RNnSY0dpiT-zRID-
Kisha urudi hapa na maelezo.
Kama kawaida yenu kukimbilia kwenye kiarabu,.
Kama una bundle check Hii video ya Quran 26 zikichambuliwa utofauti wake.
View: https://youtu.be/dcoMB8nJWmw?si=RNnSY0dpiT-zRID-
Kisha urudi hapa na maelezo.
Wewe tukana matusi yote ,kwani kukutana Mecca ndiyo kwamba mna kitabu kimoja? Nimeuliza swali hapa, kwanini ukiingiaesaudi arabiyna Quran yeyote isipokuwa Hafs una nyang'anywa airport na kupewa Hafs Quran? Kama kweli Quran ni moja kwanini wanafanya hivyo?Kwanza wewe na hao ktk video ni same akili zenu, alafu wewe ni zaidi ya bogus ,
Hivi kujua kuwa Quran kariim ipo moja akili yako haiwezi hata ku sense, ikiwa wewe una cheti hata cha darasa la saba basi fanya hata kukifungia vitumbua,
Yaani hata hujui kuwa waislamu hukutana Makkah?, tena hu swali pamoja na kufanya ibada pamoja?,
Sasa ikiwa kuna Quran nyingi kama unavyo dai haya hapo Makkah msikitini wana swali vipi?
Oppress kabisa huna hoja wewe mpumbavu ktk dini
Mtume Paul ni bora kuliko Mohamed, Mohamed hastahili hata kufunga kamba za viatu vya mtume Paul.Ulivyo mpuuzi, eti uniletee data, uniletee data wakati akili,macho na masikio ninayo
Uniletee data wakati hiyo Bibilia yako ipo wazi kiasi hadi hao wachungaji wenu wanagombana kila siku
Wakristo almost wote wana mfuata mtume Paul, na wengi wana mpinga huyo yesu 😂😂😂
Kwenye chuki,roho mbaya mpo juu kama wewe